The victim, a 19-year-old Dalit woman, died earlier this week from injuries sustained during an alleged gang rape by four upper-caste men. Local police have been accused of mishandling the...
Chama kikubwa zaidi cha Wafanyakazi nchini humo, COSATU kimeitisha mgomo wa kitaifa na kuwataka wanachama wake zaidi ya Milioni 1 kutofanya kazi na kuandamana.
Wafanyakazi hao wana madai...
Mungu Mbariki D.Trump!
Rais Trump wa Marekani amerejea Ikulu baada ya kutoka hospitali alipowekwa baada ya kukutwa na Virusi vya Corona
Amevua barakoa baada ya kufika ikulu
Mwanzo mpinzani wake...
Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imeondoa vikwazo vilivyowekwa dhidi ya nchi hiyo kufuatia mapinduzi ya kijeshi yaliyomuondoa Ibrahim Boubacar Keita madarakani
Hatua hiyo...
Siri ya Netanyahu na mkewe kubeba nguo chafu Marekani ili zikafuliwe bure hotelini yafichuka
Gazeti la Washington Post limefichua kuwa, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel...
Inasikitisha kuona baadhi ya watu wakitumia jina la Marekani kueneza propaganda za kisiasa. Nimewasikia baadhi ya wajinga wakijigamba kuwa nchi fulani ina demokrasia ya juu kuliko Marekani!
Sasa...
Ralph Lopez
Contact Author
Dr. Mike Yeadon
In a stunning development, a former Chief Science Officer for the pharmaceutical giant Pfizer says "there is no science to suggest a second wave should...
Nobel prize ya Physics 2020 inakwenda kwa Mjerumani, Muingereza Roger Penrose na USA, kwenye kazi yao kuhusu. ,,black holes“.
BREAKING NEWS: The Royal Swedish Academy of Sciences has decided to...
Trump na mke wake Melanie wakutwa na virus vya Corona.
Rais wa Marekani Donald Trump na mkewe wakutwa na #CoronaVirus, amesema ataanza kukaa karantini haraka iwezekanavyo
Rais Trump alipima...
Kauli ya Trump baada ya kurejea White House
Rais wa Marekani, Donald Trump ameruhusiwa kurejea ikulu ya Marekani, White House, hapo siku ya Jumatatu baada ya kulazwa katika hospitali ya kijeshi ya...
Rais George Weah (54) amesema amekuwa akipokea mamia ya ujumbe yenye maudhui ya matusi na malalamiko kutoka kwa wanaodai kuwa wafuasi wake ambao wamekasirishwa kwasababu hawasaidii
Rais huyo...
Rais Donald Trump amefikishwa Hospitali ya Jeshi baada ya kupata maambukizi ya COVID19
Kwa mujibu wa Daktari wake Sean Conley, Rais huyo amepewa kingamwili ya majaribio na alikuwa na uchovu...
Nipo Mascut nchini Oman. Nimeingia kwenye chumba cha mahakama asubuhi hii kusikiliza kesi ya mmoja wa wanafamilia. Kabla kesi yetu kutajwa nikasikia kesi mchanganyiko.
Iliyonivutia ni hii ya...
Nawaza tu. Kwamba ni nchi gani yenye ubavu wa kumkataria secretary of state wa USA kuingia nchini kwao isiweze kulimwa vikwazo kama mvua.
Majuzi Vatican imemkataria Pompeo kuingia Vatican kama...
Bwana Trump aliishia kutukana na kusema uongo, kutumia nguvu ku present urguments, interference kwa mwenzake wakati anaongea ... na vitu kama hivyo.! Hayo ndiyo matokeo ya CNN Instant poll!
BBC wameripoti kuwa miongoni mwa mataifa ya Afrika, Senegal imefanya vyema katika mapambano ya Covid 19.
wamesema bila kupepesa macho.
hongera Senegal kwa kutuwakilisha vyema Waafrika.
======...
Rais wa World Bank, David Malpass amesema janga la CoronaVirus linaweza kusababisha changamoto ya madeni katika baadhi ya nchi
Amesema wawekezaji wawe tayari kutoa misaada ambayo inaweza...
Belarus leo imesema kuwa inauwekea Umoja wa Ulaya vikwazo kama jawabu la umoja huo kuwawekea vikwazo maafisa wake kufuatia uchaguzi uliokumbwa na utata uliompa tena ushindi rais Alexander...
Kuwasili shehena mpya ya nishati ya mafuta ya Iran nchini Venezuela
Sep 30, 2020 02:41 UTC
[https://media]
Licha ya vizingiti, ukwamishaji mambo na mashinikizo ya Marekani, shehena ya pili ya...
Vatican imemkatalia waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Mike Pompeo kuonana na Papa Francis.
Kiongozi huyo wa juu wa Kanisa Katoliki ameelezwa kuwa hawapokei wanasiasa wakati wa kipindi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.