International Forum

News and Stories from rest of the World
Itakumbukwa kuwa mwaka 2015 Bunge la Congress la Marekani lilipitisha sheria ya kuipa serikali ya nchi hiyo mamlaka ya kutafiti na kutumia madini na nishati nyinginezo zilizopo kwenye mwezi, na...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Waziri wa usalama wa kitaifa wa Zimbabwe, Owen Ncube, anadai kuwa upinzani unafanya kazi na nchi za magharibi kuingiza silaha kimagendo nchini humo kwa lengo la kumuondoa madarakani Emmerson...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Word of warning: you will probably begin to question all of your life's accomplishments after reading this list. 10.) Rescue Of Capt. Phillips Captain Richard Phillips was...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mahakama Maalum ya Umoja wa Mataifa inayosikiliza mashtaka dhidi ya rais wa zamani wa Liberia, Charles Taylor imesema kiongozi huyo wa zamani ataendelea kutumikia kifungo chake nchini Uingereza...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
(CNN)It was the moment when Donald Trump's "Art of the Deal" fabulism, billionaire tycoon bluster and populist standard-bearing for forgotten Americans was revealed to be what it always looked...
0 Reactions
2 Replies
589 Views
Tangu rais wa sasa wa Marekani Donald Trump aingie madarakani, amekuwa akiendesha sera ya “America First”, sera anayodai kuwa inatoa kipaumbele kwa maslahi ya Marekani, na maslahi hayo ya Marekani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The New York Times says Donald Trump paid just $750 (£587) in federal income tax both in 2016, the year he ran for the US presidency, and in his first year in the White House. The newspaper -...
0 Reactions
2 Replies
713 Views
Maafisa wamethibitisha vifo vya takriban watu 22, wengi wao wakiwa wanafunzi baada ya ndege kuanguka karibu na kusini mwa Mji wa Kharkiv wakati inatua Imeelezwa kuwa, watu 27 walikuwemo katika...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Takriban watu 10 wamepoteza maisha baada ya jengo la makazi ya watu lenye ghorofa tatu kuporomoka mapema leo asubuhi katika eneo la Bhiwandi lililopo katika viunga vya jiji la Mumbai, India...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kaskazini mwa Msumbiji, mapigano yanaendelea na kuongezeka hali ambayo imelazimisha maelfu ya watu kutoroka makazi yao. Sasa hivi idadi kubwa ya raia hao wanakimbilia nchi jirani ya Tanzania...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Ugomvi wa seneta wa Minnesota Ilham Omar mwenye asili ya kisomali na raisi Trump hauishi. Juu ya kwamba huyu dada ni mwanamke lakini tabia ya kidomodomo cha Trump ndiyo inayoendeleza ugomvi huo wa...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Yule msomi wa kimarekani aliyepewa sifa kubwa Sudan na kukabidhiwa serikali ya mpito baada ya kuanguka kwa Omar Albashiri na ambaye wiki kadhaa zilizopita aliponea chupuchupu kufa kwa bomu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais wa Guinea Alpha Conde amemchochea makonde Waziri hadharani kwa kile alichodai Waziri kampiga hela za kununua barakoa. Mwingine nae kajenga daraja bovu nae kala konde, safi sana.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Mustapha Adib aliyeteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo mwisho wa mwezi Agosti amejiuzulu na kusema anajivua jukumu la kuunda Serikali mpya Adib ambaye alikuwa Balozi wa Lebanon nchini Ujerumani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ilikuwa ni Oktoba 28, 1958 mjini North Carolina US ambapo watoto wa kiume wawili wenye asili ya Afrika David Simpson (8) na Hanover Thompson (9) raia wa Monroe walipewa kesi kwa kumtazama tuu...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Rais wa Marekani Donald Trump amemteua Jaji Mhafidhina wa jimbo la Indiana Amy Coney Barrett kuchukua nafasi ya Ruth Bader Ginsburg katika mahakama kuu, akitarajiwa kuidhinishwa na Seneti. •Leo...
0 Reactions
2 Replies
768 Views
Chombo kimoja cha habari huko nchini Vietnam kimeripoti kukamatwa kwa maelfu ya kondomu zilizo tumika zikifanyiwa Recycling kinyume na utaratibu. Maafisa wa polisi nchini humo walifanikiwa...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Waziri wa mambo ya nje wa Palestina Riyad al-Maliki amekataa kuchukua uenyekiti wa jumuiya ya nchi za kiarabu unaozunguka ikiwa ni kupinga kitendo cha baadhi ya nchi za kiarabu kurudisha...
3 Reactions
51 Replies
4K Views
Taarifa ya Rais Faure Gnassingbe imeeleza kuwa Komi Selom Klassou ambaye amekuwa Waziri Mkuu tangu Juni 2015 amejiuzulu pamoja ya Serikali yake Klassou aliwasilisha maombi ya kujiuzulu kwa Rais...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Takriban wiki tano baada ya mapinduzi ya kijeshi yaliyomuondoa madarakani Ibrahim Boubacar Keita, Rais mpya wa Mali anatarajiwa kuapishwa leo Bah Ndaw (70) ambaye alikuwa Waziri wa Ulinzi katika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom