Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ametoa wito kwa mataifa mengine ulimwenguni kuiunga mkono bara la Afrika ili liweze kujenga upya uchumi ulioathirika kufuatia mlipuko wa COVID19
Akizungumza...
EU imesema Alexander Lukashenko sio Rais wa nchi hiyo halali na uapishwaji wake wa ghafla uliofanyika jana umeenda kinyume na matakwa ya wananchi
Umoja huo umesema uapisho wake umekosa uhalali wa...
Wanajeshi wa korea kaskazini wameonyesha mfano wa kutovumilia yoyote anayehatalisha hali ya usalama ya taifa hilo.
Wanajeshi wa kim jong un jumanne ya wiki hii wamemchoma moto na kumpiga risasi...
Rais wa Marekani Donald Trump ameapa kujibu mara "1,000’," kwa shambulio lolote la Iran.
Hii ni baada ya taarifa kwamba Iran ilikuwa inapanga kumuua balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini, Lana...
#ALGERIA KUAGIZA SU-57
Taarifa nyepesi nyepesi zinasema Jeshi la anga nchini Algeria limesaini upya makubaliano kuagiza ndege 14 za kivita za kizazi cha tano kutoka #Urusi aina ya #Sukhoi #Su_57...
Mkurugenzi wa Kituo cha Kudhibiti magonjwa (CDC) barani humo, Dkt. John Nkengasong amewasifu viongozi kwa kuunga mkono jitihada za pamoja kukabiliana na mlipuko huo
Amesema mikakati ya kuongeza...
Rais wa Belarus, Alexander Lukashenko (66) ameapishwa rasmi kutumikia muhula wake wa 6, hafla ambayo wapinzani wamedai ni kinyume cha Sheria
Hafla hiyo ambayo kwa kawaida ingetangazwa kama tukio...
Ripoti za hivi karibuni zinasema Iran inajipanga kumuua Balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini ili kulipiza kisasi kwa kuuawa kwa Qassem Soleiman aliyekuwa Mkuu wa Vikosi vya Quds
Marekani...
Kuwaua wageni nakunyang'anya mali zao sio utu.Hata Marekani imeendelezwa na wageni
Fanya hivi fanya kampeni ya kuchunguza wageni wanaoishi kinyume na sheria warudishe kwao hata nchini Tanzania...
Mfanyabiashara wa zamani, Ren Zhiqiang ambaye pia ni mkosoaji mkubwa wa Rais wa China, Xi Jinping amehukumiwa kifungo cha miaka 18 kwa tuhuma za ufisadi
Mahakama Mjini Beijing imemkuta na hatia...
Katika miaka 49 iliyopita tangu China irejeshewe kiti chake halali kwenye Umoja wa Mataifa mwaka1971, imekuwa ikitoa msaada na mchango mkubwa na kuwa mshiriki hai kwenye shughuli mbalimbali za...
Umoja wa Mataifa unatimiza miaka 75 mwaka huu; Mkutano Mkuu wa Baraza la Umoja wa Mataifa ulitakiwa kuwa mkutano mkubwa hasa kutokana na kusherehekea Jubilee hiyo ya Platinamu. Kama ilivyokuwa kwa...
Mamlaka nchini Niger zimeahirisha kufunguliwa Shule kufuatia mafuriko ambayo yamesababisha vifo zaidi ya 70 na kupelekea mamia kukosa makazi
Idadi kubwa ya wahanga wa mafuriko hayo wamepatiwa...
Islamic State (IS, formerly ISIS/ISIL) has claimed responsibility for the terrorist attack in Manchester on Monday night.
According to Amaq, a news outlet linked to the terror group, an IS member...
Kitabu cha Rais wa zamani wa Marekani kitakuwa mitaani siku chache baada ya uchaguzi wa Novemba 3, kwa mujibu wa taarifa ya Kampuni ya Penguin Random House mchapishaji wa kitabu hicho, iliyotolewa...
Waziri Mkuu, Boris Johnson leo ametangaza masharti zaidi ili kudhibiti maambukizi ya COVID19. Amesema anatarajia masharti hayo yatakuwepo kwa muda wa miezi 6
Amewataka wanaoweza kufanya kazi...
November 4, 2019
Source: Roland R. Martin
More info:
AFRICAN UNION (AU ) FACES A BACKLASH AFTER TERMINATING AMBASSADOR'S APPOINTMENT
By Bukola Adebayo of CNN
The African Union is facing a...
Bah Ndaw aliyekuwa Waziri wa Ulinzi ameteuliwa kama Rais wa Serikali ya mpito, na Kanali Assimi Goita aliyeongoza mapinduzi ya kijeshi mwezi Agosti atakuwa Makamu wa Rais
Jumuiya ya Kiuchumi ya...
COVID-19 has rapidly affected our day to day life (health, social and economy, businesses disrupted the world trade and movements). This virus creates significant knock-on effects on the daily...
UPDATE: 21/08/2020
Nchi tatu za EU ambazo ni UK, France na Germany zimekataa kutii mapendekezo ya US juu ya kurejesha vikwazo dhidi ya Iran katika misingi ya JCPOA. Nchi hizo zina sema US hana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.