Mamlaka za Kusini mwa nchi hiyo zimesema watu 58 wamefariki dunia katika mashambulizi mawili, 17 hawajulikani walipo na inadhaniwa wametekwa
Waasi wa Allied Democratic Forces (ADF), Kundi ambalo...
Bahrain normalizes ties with Israel
Bahrain and Israel agree to the establishment of full diplomatic relations in an agreement brokered by the US.
US President Donald Trump, King Hamad bin Isa...
Hatimaye taifa la Malawi lina rais mpya kutoka upande wa upinzani kufuatia uchaguzi wa marudio uliokumbwa na mbwembwe za kila aina kati ya rais anayeondoka na upinzani.
Lazarus Chakwera ambaye ni...
Marekani imewawekea vikwazo waendesha mashitaka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) siku kadhaa baada ya mahakama hiyo kuidhinisha uchunguzi kuhusu tuhuma za uhalifu wa kivita unaodaiwa...
Shinikizo linaongezeka kwa Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa kuongeza kasi ya mabadiliko kwenye sekta za nishati na mawasiliano kwenye nchi hiyo inayoongoza kwenye uchumi wa viwanda barani...
Baada ya kushindwa kupenya ngome zinazoizunguka Tripoli kwa zaidi ya mwaka mmoja na hatimae kurudishwa nyuma mbaali kabisa,sasa makao makuu ya kamanda muasi Khalifa Haftari huko Benghazi...
COVID-19 is the cause of every death across the World in 2020 and beyond…
It’s a smart virus, highly virulent in parks, gyms, churches, schools, mosques etc.etc.
It has no effect on the...
Marekani imetangaza kuwafutia Visa Wanafuznzi na Watafiti zaidi ya 1,000 kutoka China ambao wanadhaniwa kuwa hatari kwa usalama wa nchi hiyo
Hatua hiyo inafuatia tangazo la Rais Donald Trump Mei...
Asubuhi ya Septemba 11 ingekuwa asubuhi tulivu kama ilivyo asubuhi ya siku nyingine yoyote katika mji wa Phoenix, Oregon, Magharibi mwa Marekani, lakini haikuwa hivyo!
Matt Manson anasimama...
Baada ya miaka 13 mji wa florida nchini Marekani umeondoa katazo la kuvaa milegezo kwa jinsia zote ambayo ilikua inazuia watu kuvaa nguo zinazoonesha nguo za ndani.
Mamlaka ya mji wa Opa-loka...
Baada ya miezi 6 ya kukaa majumbani, wanafunzi nchini Sudan Kusini wanarejea darasani kuanzia Jumatatu, Waziri wa Habari wa nchi hiyo amesema.
Hatua hiyo ya Sudan Kusini inafuatia uamuzi wa...
Taarifa za wiki iliyopita zilieleza kuwa takriban wachimbaji 50 walifukiwa na kifusi baada ya mgodi mmoja wa dhahabu kuporomoka katika Mji wa Kamituga
Meya wa Kamituga, Alexandre Bundya amesema...
Vuguvugu maarufu la upinzani wa Mali limekataa mkataba wa serikali ya mpito inayoungwa mkono na maafisa wa jeshi walio muondoa madarakani Rais Ibrahim Boubacar Keita kwenye mapinduzi ya kijeshi...
British man tells African migrants to "Don't come to England"
Katika video hapo chini mzungu anawaambia wahamiaji wa kiafrika kuwa wasiende Uingereza kwa kuwa wana wahamijai wa kutosha na watu...
Serikali ya mpito inayoliongoza Taifa la Afrika Kaskazini imefikia makubaliano ya kutenganisha utawala na dini. Hatua hii ni baada ya miongo 3 ya utawala wa kidini
Waziri Mkuu wa Sudan, Abdalla...
Hii ndiyo tofauti ya kiongozi na mtawala.
Wengi wanalaumu jinsi Trump anavyoongoza wanasema kuwa ana ubaguzi. Lakini mimi naona ubaguzi wake ni wa kuwafanya wananchi wake (indigenous citizens)...
Rais George Weah ametangaza Ubakaji kama dharura ya kitaifa na kuagiza taratibu mpya kuchukuliwa ili kukabiliana na tatizo hilo
Uamuzi huo unakuja baada ya maelfu ya Wananchi kuandamana dhidi ya...
Hii hapa chini ni statement ya Petra diamonds leo asubuhi kwenye soko la hisa London(LSE)
Petra Diamonds Limited
("Petra" or the "Company")
Statement regarding allegations of human rights...
Mwanajeshi wa majini wa Jeshi la Marekani amekuwa akiishi na Virusi vya Ukimwi kwa zaidi miongo miwili bila kujijua kutokana na kile anachodai kuwa wafanyakazi afya wa serikali hawakumpa majibu...
Baada ya vikwazo vya Marekani, kampuni ya Huawei imetangaza kuacha kuzalisha flagship chipsets za Krin zinazotumika kuendesha simu za viwango vya juu ama flagship phones kama Huawei P series na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.