Rais wa Belarus Alexander Lukashenko amesema kwamba wanapaswa kuandaa jeshi kwa ajili ya vita kwa sababu ya hatari zilizoelekezwa kwa nchi yake kutoka Magharibi,
"Lazima tufunge mipaka na...
Mvutano kuhusu mchakato wa kugombea Urais umetokea baada ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Konan Bedie kutaka uamuzi wa Mamlaka kupingwa, kufuatia Rais Alassane Ouatarra kugombea muhula wa 3
Bedie...
Baada ya miaka 54 tangu iwe huru,leo taifa la Barbados limeamua kumuondoa Malkia Elizabeth II wa UK kama kiongozi wa juu wa taifa hilo. Mataifa mengine kama Canada na Jamaica yanaendelea kumtambua...
Bunge la Japan limemthibitisha Yoshihide Suga kuwa Waziri Mkuu mpya wa Japan, akichukua nafasi ya Shinzo Abe ambaye amejiuzulu kutokana na changamoto za kiafya.
Suga, mwenye umri wa miaka 71...
Wanakijiji ambao walikamatwa na Polisi kwa makosa ya kutokuvaa barakoa wamepewa adhabu ya kuchimba makaburi ya watu waliokufa kwa maambukizi ya CoronaVirus
Adhabu hiyo imelenga kuwafanya waone...
Saudi Arabia announced Wednesday that it would allow any flights going to and from the United Arab Emirates to fly over its territory, a move that would give Israel access to some of the kingdom’s...
Wakuu salaam.
Nasubiri kwa hamu kusikia wakubwa zangu
mtu chake
zitto junior
mng'ato
Na wengine wadau wa siasa za maziwa makuu mngesema neno kuhusu kurejea kwa Kabila Joseph kwenye seneti ya Congo...
Raia wa Marekani anayeshikiliwa nchini Venezuela kwa madai ya kufanya ujasusi nchini humo hakutumwa na serikali ya Marekani, taarifa ya kiongozi wa ngazi ya juu katika serikali ya Marekani...
Afrika Kusini ilitekeleza amri ya kutotoka nje tarehe tarehe 27 MachiImage caption: Afrika Kusini ilitekeleza amri ya kutotoka nje tarehe tarehe 27 Machi
Afrika Kusini, ambayo ilikuwa ni moja ya...
Kuanzia 1 October safari za kutoka na kuingia South Africa zimerejea.
Pongezi kwa awamu ya tano sorry pongezi kwa Ramaphosa
======
SOUTH Africa’s borders including Beitbridge Border Post will...
Wanajihad kaskazini mwa Msumbiji waliviteka visiwa viwili vidogo vya bahari hindi na kutishia usafiri wa baharini katika eneo hilo ambapo mradi wa gesi yenye thamani ya mabilioni ya madola...
Hivi majuzi, Umoja wa Mataifa umepitisha azimio moja kuhusu maambukizi ya virusi vya Corona kwa kura 169 za ndiyo dhidi ya kura 2 za hapana. Marekani na Israel zimekuwa nchi pekee zilizopiga kura...
Iran imemnyonga bingwa wa kupiga filimbi ambaye alidai kuwa aliteswa kwa kuchukuliwa video akilazimishwa kufanya maungamo ya uongo kwenye kesi ambayo iliibua kilio cha kimataifa.
Navid Afkari 27...
Rais wa zamani wa Ivory Coast Laurent Gbagbo amezuiwa kugombea urais katika uchaguzi ujao baada ya mahakama kuidhinisha uamuzi wa tume ya uchaguzi.
Wakili wake Claude Mentenon amelimbia shirika...
Wapendwa Wenzangu wa JF,
Kama tujuavyo, taifa langu China sasa linakabiliwa na changamoto kubwa. Virusi vya korona vinalivamia taifa langu, viwe vikali zaidi siku za mbele. Virusi hivyo vimewaua...
Katika interview ya tarehe 2 November mwaka 2007 chini ya miezi miwili kabla ya kuuwawa kwake, Benazir Bhutto aliulizwa na mwanahabari wa idhaa ya kiingereza ya television ya aljazeera bwana David...
Col. Muammar Gaddafi, an African soldier who became known for his great ideas to liberate Africa from the yoke of neocolonialism. Under Gaddafi, Libya had foreign reserves of $150 billion and 0...
Rais Donald Trump amezungumza kuhusu vitendo vya kuondolewa kwa sanamu za viongozi mbalimbali nchini humo akisema ni kampeni iliyolenga kufuta historia
Ameongeza kuwa vitendo hivyo vilivyofanywa...
Makosa hayo yamefanywa na Taasisi ya Public Health Wales ya nchini Wales na taarifa hiyo ilidumu mtandaoni kwa takriban saa 20
Kwa sehemu kubwa taarifa hizo zilionesha tarehe za kuzaliwa, maeneo...
Raia wa Nigeria walioshiriki "Kuchakachua" matokeo ya Uchaguzi wa Majimbo hawataruhusiwa kuingia nchini Marekani baada ya kuwekewa vikazo
Imeelezwa kuwa uchaguzi uliofanyika mwaka jana katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.