International Forum

News and Stories from rest of the World
Serikali ya kijeshi ya mali imelazimishwa na mkataba wa kisiasa kuanzisha serikali ya mpito ya miezi 18 ambayo inaweza kupelekea kuteuliwa kwa mwanajeshi kama Rais wa mpito , licha ya mapingamizi...
2 Reactions
4 Replies
761 Views
Jimbo la Kaduna lapitisha sheria ya kuhasi wabakaji wa watoto wa chini ya miaka 14 Kumekuwa na maandamano na ghadhabu nchini Nigeria miezi ya hivi karibuni kutokana na ongezeko la vitendo vya...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro amesema kuwa wamemkamata jasusi wa Marekani aliyekuwa akipeleleza kiwanda cha kuchakata mafuta ghafi nchini humo. Maduro aliutangazia umma wa Wavenezuela kupitia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii ilikua baada ya kuskika wakipiga stori za kijiweni huku wakikosoa baadhi ya sera za sasa na kushauri mabadaliko kwenye viwanda, hawakujua mashushushu walikua wanawasikliza, baadaye walikamatwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Takriban wachimbaji 50 wanahofiwa kupoteza maisha baada ya maporomoko kutokea kwenye Mgodi wa Dhahabu, Mashariki mwa nchi hiyo Mamlaka zimesema ajali hiyo imetokea kufuatia mvua kubwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bunge la Peru limeanza taratibu za kumfungulia mashtaka Rais Martín Vizcarra anayetuhumiwa kujaribu kuzuia Uchunguzi wa Ufisadi Hatua hiyo imeungwa mkono kwa kura 65-36 na Wabunge wanatarajia...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
The death of a homeless veteran has been branded a ‘disgrace’ after it emerged that he died after being found on the streets over Christmas. Former soldier Darren Greenfield struggled to adapt to...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ubalozi wa China nchini Uingereza umeomba mtandao wa Twitter kufanyia uchunguzi akaunti ya Liu Xiaoming Balozi wa nchini humo baada kuonesha kupenda maudhui ya picha ya ngono kupitia mtandao huo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajukwaa muda huu kumbukizi shambulio baya la kigaidi ndani ya ardhi ya marekani linafanyika kuwa kuwakimbuka watu zaidi ya elfu mbili na nusuwasio na hatia waliuwawa na kundi haramu la kigaidi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kiongozi mashuhuri wa kidini wa Ukraine Patriaki Filaret, mwenye umri wa miaka 91, amepima virusi vya HIV mapema baada ya kulaumu janga la coronavirus "adhabu ya Mungu kwa ndoa ya jinsia moja"...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Microsoft imesema Wadukuzi wenye mahusiano na Urusi, China na Iran wanajaribu kuwachunguza watu na makundi yanayohusika na Uchaguzi Mkuu Kampuni hiyo imesema vikundi hivyo vya kigeni vimeongeza...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Maelfu ya wakimbizi wameachwa bila makazi baada ya moto mkubwa kuunguza mahema katika kambi kubwa zaidi ya wakimbizi barani Ulaya ya Moria iliyopo katika kisiwa cha Lesbos nchini Ugiriki, kisiwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mahakama nchini Saudi Arabia imewahukumu watu watano kifungo cha miaka 20 jela, mtu mmoja kifungo cha miaka 10 na wawili miaka 7 kwa kumuua mwandishi Jamal Khashoggi. Mwandishi huyo mkosoaji wa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa tarehe ya mwisho iliyopagwa kwajili ya kampuni ByateDace ya China kuuza programu nukushi ya Tiktok nchini humo haitaongezwa. Trump ameyasema hayo...
0 Reactions
1 Replies
959 Views
Umoja wa Mataifa umeagiza kikosi maalumu kwa ajili ya kuhakikisha usalama kwa mshindi wa tuzo ya amani Denis Mukwege baada ya kupokea vitisho kutokana hatua alizochukua kudai haki kwa uhalifu unao...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Umoja Wa Afrika ulichagua Kiswahili kama lugha ya wimbo wa taifa wa Afrika
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Rais Paul Kagame wa Rwanda Jumapili amekanusha kwamba serikali yake ilimteka Paul Rusesabagina ambaye sasa anashikiliwa nchini humo kwa makosa ya ugaidi na mengineyo. Rusesabagina ni maarufu...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Polisi katika mji wa Salt Lake City katika jimbo la magharibi mwa Marekani la Utah wamempiga risasi kijana mwenye umri wa miaka 13 aliyekuwa na matatizo ya akili baada ya mama yake kupiga simu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mahakama ya Kikatiba nchini humo imempitisha Rais Alpha Conde (82) kugombea kwa muhula wa tatu katika Uchaguzi Mkuu ujao unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba Mahakama hiyo ya juu zaidi Guinea pia...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais Donald John Trump anatarajia kuiingiza kampuni kubwa ya kutengeneza vifaa vya elektroniki ya China, Semiconductor Manufacturing International Corporation au SMIC ya China kwenye blacklist ya...
3 Reactions
90 Replies
7K Views
Back
Top Bottom