Mamlaka nchini humo zimetangaza hali ya dharura kwa muda wa miezu mitatu ikisema nchi hiyo ni eneo la maafa ya asili baada ya mafuriko kusababisha vifo vya watu zaidi ya 90
Waziri wa Kazi, Lena...
Watu 300 waliokuwa wakiandamana wamekamatwa Hong Kong na jeshi la polisi kufuatia kukiuka agizo la nchi hiyo la kuwazuia kuandamana.
Mamia ya waandamanaji walikuwa wamejitokeza barabarani...
Kisa hiki kimemhusisha Mzee wa miaka 80 anayeishi katika Kijiji cha Parcoul-Chenaud huko Dordogne Kusini mwa Ufaransa.
Mzee huyo alikuwa akijiandaa kula chakula cha usiku ndipo aliposikia sauti...
Polisi wametumia mabomu ya machozi kutawanya makundi ya waandamanaji waliokusanyika kupinga uamuzi wa Serikali kusogeza mbele Uchaguzi wa Bunge.
Imeelezwa kuwa, takriban watu 300 wamekamatwa kwa...
Nchini Zambia, Mfanyakazi wa benki ya ZANACO amesimamishwa kwa kulala na wanaume zaidi ya 200 wateja na wateja wanaotafuta kazi, kwa mujibu wa ripoti ya ZambiaObserver.
Mwanamke huyo ametambuliwa...
Kulingana na habari katika gazeti la "Washington Post", Msemaji wa White House Judd Deere amesema kuwa Marekani haitashiriki katika Mpango wa Chanjo dhidi ya Covid-19 (Covax), ambao unaratibiwa na...
Papa Francis amekemea tabia hiyo na kusema ni mbaya kuliko ugonjwa wa mlipuko wa #COVID19
Akihubiri katika misa ya Jumapili ya leo Jijini Roma Italia, Papa Francis amesema Shetani ni Mdaku...
- US President Donald Trump's former lawyer Michael Cohen will be releasing a book revealing intimate details of his relationship Trump
- Cohen reveals that back in 2018 when Trump made his...
Nchi za Ulaya zinaonekana kupigwa na wimbi la pili la #CoronaVirus kutokana na kurekodi maambukizi mapya makubwa ndani ya muda mfupi
Wataalamu bado wanashuku kutangaza kuwa hilo ni wimbi la pili...
Moja kwa moja kwenye mada.
Afrika Kusini wamezifunga tena shule zote kwa mwezi mmoja wanapoendelea kupambana na ugonjwa huu.
Mapambano ni pamoja na tathmini ya wazi ya mirejesho pasipo na...
Yametimia, Joe Biden keshachagua mgombea mwenza. Nilikuwa nasoma sehemu kwamba Democrats walishauri achague mgombea mwenza mwanamke tena mweusi: Binafsi nilihisi labda wanatania au wameenda mbali...
Rais wa Marekani Donald Trump amewaambia watu katika jimbo la North Carolina wapige kura mara mbili katika uchaguzi wa mwezi Novemba, licha ya kwamba kufanya hivyo ni kinyume cha sheria.
Bwana...
Nchi ya Equador iliyoko Amerika ya kusini ndio nchi ambayo iko karibu kabisa na mwezi na nyota duniani
Ukiwa kule kwenye mlima Chimborazo ulioko nchi hiyo nyota na mwezi unaziona juu karibu na...
Paul Rudesabagina ambaye aliwasaidia Wanyarwanda wengi wakati wa Mauaji ya Kimbarikwa kuwahifadhi kwenye Hoteli aliyokuwa anaiongoza akamatwa
Ujasiri wake ulipelekea kutengenezwa kwa filamu...
Incident at port of Bushehr latest in series of fires and blasts that could be part of sabotage campaign
Wed 15 Jul 2020 14.27
At least seven vessels have caught fire in a southern Iranian...
Chuo Kukuu cha Namibia kitengo cha sayansi ya mifugo kinawafundisha mbwa kubaini virusi vya corona kwa kunusa.
Mpango wa nchi hiyo ni kuwapelea mbwa hao katika viwanja vya ndege na vituo vya...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Uingereza, Tim Davie amewazuia watumishi wa ashirika hilo kuandika mambo ya kisiasa katika mitandao ya kijamii inayoonyesha mrengo wao wa kisiasa...
Lofa huyo kutoka Afrika Kusini aliwavunja watu mbavu baada ya kuwakusanya mifugo wake na kufanya mkutano nao
- Kwenye kanda hiyo iliyopakiwa Twitter, lofa aliwaeleza mifugo wake chakula kitakuwa...
Mamlaka katika Mji Mkuu wa Addis Ababa,Ethiopia unapanga kutoa bure maelfu ya mikate kwa wakazi kama sehemu ya sherehe za kuadhimisha mwaka mpya wa Ethiopia 2013.
Ruzuku hiyo ya siku moja...
Safari za ndege ndani ya Nigeria zilirejelewa
Nigeria imepiga marufuku mashirika ya ndege kutokanchi kadhaa kuhudumu nchini humo kuanzia Jumamosi hii.
Mashirika kumi ya ndege yamezuiliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.