International Forum

News and Stories from rest of the World
Ndugu wanajamvi Sina hakika kama hii hoja imepata kujadiliwa hapa. Je n kwanini hasa Mapinduzi ya Mali yameshutumiwa na ECOWAS, UN NA HATA AU? WHAT IS ACTAULLY BEHIND THE SCENES??
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Polisi wawili nchini humo wamekamatwa kufuatia mauaji Nathaniel Julius (16) Jijini Johannesburg Familia ya Nathaniel ambaye alikuwa na ugonjwa wa 'Down Syndrome' imesema alitoka nyumbani kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa jarida ya Forbes Mkurugenzi wa kampuni ya Amazon, Jeff Bezos anakuwa mtu kwa kwanza duniani kuwa na utajiri wa Dola Bilioni 200 Imeelezwa kuwa, hivi sasa Bezos (56) ana utajiri wa...
7 Reactions
58 Replies
8K Views
Mahakama imemhukumu kifungo cha maisha jela bila uwezekano wa msamaha Brenton Tarrant (29) aliyeua watu 51 kwenye misikiti miwili nchini humo. Mtoto wa miaka 3 alikuwa miongoni mwa waliouawa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Aloys Ntiwiragabo, Mkuu wa zamani wa idara ya ujasusi wa jeshi nchini Rwanda wakati wa mauaji ya kimbari ya 1994 anatafutwa ili kujibu mashitaka yanayomkabili, baada ya Rwanda kutoa waranti wa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Baraza kuu la kitaifa, lililoowekwa na wanajeshi kuiongoza Nchi, "linaarifu wananchi wa Mali na Jumuiya ya Kimataifa kwamba aliye kuwa Rais wa Mali Ibrahim Boubacar Keïta ameachiliwa huru na kwa...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Rais Donald Trump amekubali rasmi uteuzi wa Republican kuwa Mgombea wa Urais katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Novemba ambapo atawania awamu ya pili Katika hotuba yake, amesema amekubali uteuzi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Brookside invests Sh1.3b in Arusha By Brian Adero in Arusha Brookside Dairy has launched a dairy farmers programme in Tanzania which will boost the company’s daily milk sales in the...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Rais wa Marekani Donald Trump atoa pendekezo la yeye na mpinzani wake wa Democratic Joe Biden wote wafanyiwe vipimo vya uchunguzi kama wanatumia dawa kabla ya mjadala wao mwezi ujao, akidai...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
The NBA and its players and coaches have taken myriad measures to make clear their support for the Black Lives Matter movement while standing against all racial injustice and police brutality, but...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Huko USA kazi imeanza, sasa wameanza kutafuta visingizio baada ya kuona D. Trump anawapiga mchana kweupe, “Joe Biden should not concede under any circumstances because I think this is going to...
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Rais wa Marekani Donald Trump amewaonya Warepublican wenzake kwamba wapinzani wao huenda "wakaiba" uchaguzi wa Novemba, wakati chama chake kilipomuidhinisha kuwa mgombea wao. "Wanatumia Covid 19...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limesema mamilioni ya wakimbizi waliopo ukanda wa Afrika Mashariki wapo hatarini kukabiliwa na njaa na ukosefu wa lishe bora Wakimbizi hao wanaishi kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
The Somali government has given Kenya five conditions ahead of lifting the blockade of miraa imports. Nyambene Miraa Traders Association (Nyamita) reckon that talks to end the khat stalemate have...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukipata muda tenga nafasi ya kusikiliza hotuba ya huyu mgombea mwenza wa Joe Biden ( Harris Kamala) Ni Moto wa kuotea mbali na atakuwa tishio kwa Trump kuliko hata Joe Biden mwenyewe na ndio maana...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Yule Rais wa rockets na katili duniani yupo ICU kwenye coma madaraka yote amesha kabidhi Kwa Dada. Kweli ma beberu watu wabaya. Taarifa the Mirror ==== Kim Jong-un is reported to be in a coma...
5 Reactions
47 Replies
6K Views
Mzuka WanaJF! Nilishaletaga uzi humu kipindi cha nyuma kuhusu Belarus na Rais wao Alexander Lukashenko. Huyu mtu Ni Yesu AnamLinda. Ni mkristo wa Orthodox anayemuamini Mungu na hataki uppuuz...
16 Reactions
22 Replies
3K Views
Sarafu za dhahabu zilizozikwa katika chungu chenye uzito wa gramu 845 Vijana waliojitolea kuchimba katika hazina ya kiakiolojia ya Israel wamebaini sarafu 425 ambazo zilikuwa zimezikwa kwenye...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Wabunge wawili wa upinzani kutoka Hong Kong wamekamatwa na polisi kwa tuhuma zinazohusiana na maandamano dhidi ya serikali yaliyoukumba mkoa maalum wa utawala wa China mwaka jana, Chama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za mda huu, Polisi nchini Marekani wamemuua mtu mmoja ambaye kwa taarifa za awali inaonyesha alikuwa anagombelezea ugomvi wa wanawake wawili waliokuwa wanagombana nje ya eneo analoishi...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Back
Top Bottom