International Forum

News and Stories from rest of the World
Majumba na magari yamechomwa moto katika usiku wa pili wa maandamano kufuatia kupigwa risasi kwa mtu mweusi kwa jina Jacob Blake siku ya Jumpili. Jacob Blake, 29, yupo katika hali nzuri baada ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Umoja wa Mataifa (UN) umesema Sekta ya Utalii Duniani imeathirika kufuatia mlipuko wa CoronaVirus na kupoteza Dola 320 Bilioni ndani ya miezi 5 ya mwanzo, huku ajira zaidi ya Milioni 120 zikiwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kitengo cha Kuzuia Rushwa nchini Malawi kinafanya Uchunguzi kubaini imekuwaje ujenzj wa daraja uliofanyika wakati wa Rais Peter Muthalika katika Mji wa Blantyre mnamo Aprili 2020 kugharimu USD...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
App ya TikTok inayomilikiwa na kampuni ya Kichina ya ByteDance imefungua mashtaka dhidi ya Serikali ya Marekani kupinga jitihada za utawala wa Rais Donald Trump kuzuia kampuni hiyo kufanya kazi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mazungumzo kati ya wawakilishi wa mataifa ya Afrika Magharibi na viongozi wa jeshi la Mali yameshindwa kufikia makubaliano ya jinsi ya kurejesha utawala wa kiraia nchini humo baada ya mapinduzi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mshauri wa Ikulu ya Marekani, Kellyanne Conway ametangaza kujizulu nafasi hiyo akisema ataacha rasmi kazi mwishoni mwa mwezi huu Katika taarifa yake, Conway amesema anaacha kufanya kazi chini ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hebu vuta picha, ni saa nane za usiku unakimbizana na muda kuwahi kurudi nyumbani baada ya kuchelewa kwenye mihangaiko yako, ukiwa unakatiza mitaa ya karibu na ikulu, unakutana na kitu...
4 Reactions
124 Replies
23K Views
Wafuasi wa upinzani wamefanya maandamano makubwa katika Mji Mkuu wa nchi hiyo, Minsk kushinikiza Rais Alexander Lukashenko aachie madaraka Wiki mbili zilizopita nchi hiyo ilifanya Uchaguzi Mkuu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Viongozi wa Jeshi lililofanya mapinduzi nchini humo wamependekeza taasisi ya kijeshi kuiongoza Mali kwa miaka mitatu na wamekubali kumuachia Rais Ibrahim Boubacar Keita Wapatanishi wa ECOWAS...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Takriban watu 10 wameuawa na wengine makumi kujeruhiwa baada ya kutokea kwa shambulio kusini mwa nchi ya Ufilipino. Shambulio hili limetekelezwa katika eneo la Jolo ambalo wakazi wake wengi ni...
1 Reactions
1 Replies
877 Views
Wafungwa 20 wamepoteza maisha katika mapigano na Polisi wakati wanataka kutoroka katika gerezani. Wizara ya Sheria imesema zaidi ya wafungwa 10 waliwavamia walinzi na kupora bastola Imeelezwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Marekani (FDA) imetoa idhini ya dharura ya matumizi ya maji maji ya damu kuwatibu wagonjwa wa corona. Mfumo huo wa tiba unatumia maji hayo kutoka kwa watu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wafuatao wamefaulu mchujo wa awali wa nafasi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu Wa Mahakama Ya Kimataifa Ya Uhalifu (ICC) •Susan Okalany - Uganda •Morris Anyah - Marekani/Nigeria •Fergal Gaynor - Ireland...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
19-year-old Korean-Nigerian, Han Hyun-min is South Korea's first black Model to walk the runway. He was discovered at age 15 on Instagram. He faced racism over his skin colour in 2017. He...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Rais wa Rwanda Paul Kagame amepotoka kwa kusema Strive Masiyiwa ambaye ni mfanyi biashara kutoka Zimbabwe ashirikiane na Rais mojawapo wa Afrika ili Waafrika waweze kupata vaccine itakapopatikana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Maharamia wa Somalia wameiteka meli ya yenye bendera ya Panama-iliyokua ikisafiri kutoka Muungano wa Kiarabu ikielekea kwenye bandari mjini Mogadishu. Meli hiyo ilishambuliwa usiku wakati...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
My Take: Tanzania nasi tupige kitu kama hii tuwe wa-tatu; napendekeza ijengwe Morocco au Magomeni junction. Ili Wakenya watukome tuwe wababe wa miundombinu E.A. Hatushindwi, fedha tunazo.
9 Reactions
55 Replies
8K Views
Marekani imeufahamisha rasmi Umoja wa Mataifa kuhusiana na matakwa yake ya vikwazo kwa Iran virudishwe. Hayo yamepelekea upinzani kutoka kwa Urusi na wanachama wengine wa Baraza la Usalama la...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Mkuu wa kitengo cha usafirishaji wa anga ( Nigeria Civil Aviation Authority) wa nchini humo ametoa tamko rasmi kuwa nchi yake itafungua anga yake kwa safari za kimataifa. Bw Sani Aliyu amesisitiza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watu 13 wameripotiwa kufariki na wengine watatu kujeruhiwa nchini Peru. Watu hao walionekana kukiuka sheria ya kubaki ndani na polisi walitaka kuwakamata Watu zaidi ya 120 walikuwa katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom