Joe Biden mistakenly endorsed President Donald Trump during a speech in St. Louis, and Donald Trump responded with "I agree with Joe!" on Twitter.
In his speech, former vice president Joe Biden...
Rais wa Guinea, Alpha Condé,amekubali hatua ya chama chake kumteua kugombae muhula tata wa tatu madarakani.
Bw. Condé, ambaye mwanazo alichaguliwa 2010,alishinikiza marekebisho ya katiba kupitia...
Zambia imekanusha madai yaliotolewa na msemaji wa zamani wa waasi wa FNL mahakamani kwamba Rais Edgar Lungu alifadhili kundi hilo kushambulia Rwanda.
Mwaka jana, Callixte Nsabimana ambaye pia...
Wapinzani (Democrats) Hatimae wameuona Mwanga baada ya safari ndefu kwenye handaki, sasa ni dhahiri hata kwao kwamba Kumsdinda Trump kwa kumtumia mgombea wao Joe Biden ni kama kumchuna ngozi kupe...
Takriban watu tisini wamefariki na wengine karibu elfu 400 kuachwa bila makao kufuatia mafuriko makubwa Sudan.
Umoja wa Mataifa unasema mafuriko hayo yamesababishwa na mvua kubwa inayoendelea...
Rais aliyetolewa mamlakani wa Sudan Omar al-Bashir alifikishwa kortini siku ya Jumanne katika kesi yake iliyoanza kusikilizwa juu ya mapinduzi ya kijeshi ambayo yalipelekea kuchukua madaraka mnamo...
Australia imekumbwa na mporomoko mbaya zaidi wa uchumi katika robo ya kwanza tangu kutokea kwa mdorororo mkubwa kabisa wa kiuchumi duniani wa miaka ya 1930. Hali hiyo inatokana na janga la virusi...
Mafuriko wiki hii nchini Afghanistan yamegharimu maisha ya karibu watu 160 na waokoaji wanaendelea kutafuta watu ambao wamekwama kwenye matope na chini ya vifusi vya nyumba zilizosombwa na maji...
Israel will not tolerate an Iranian threat on its border with Syria and will do whatever is necessary to stop the terrorist regime.
====
The Israeli Air Force (IAF) on Monday night bombed...
Serikali ya Ethiopia inataka ufafanuzi kutoka kwa Marekani kuhusu madai kwamba imepunguza ufadhili wake kutokana na mzozo unaoendelea kuhusu bwawa kubwa la uzalishaji umeme katika mto Nile
Wiki...
Hali inazidi kua mbaya kwa Biden na wapambe wake ambao walitegemea Corona kumshinda Donald Trump.
Toka mwezi July visa vipya vya Corona nchini Marekani vimekua vikipungua hivyo kumuongezea Credit...
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amesaini sheria inayozuia shule za serikali kuwatenga wasichana ambao ni wajawazito kuhudhuria masomo.
Chini ya marekebisho hayo ya Sheria, walimu pia...
Viongozi wa serikali ya mpito nchini Sudan na wakuu wa makundi ya waasi katika jimbo la Darfur leo wamefikia makubaliano ya kihistoria ya mkataba wa amani unaoelezewa ni hatua muhimu ya kwanza...
Baada ya Ian Khama kumaliza muhura wake kama Rais wa nchi ya Botswana, akili yake,malengo yake na ndoto zake ilikuwa ni kumwachia mdogo wake kuwa Rais wa nchi hii yaani ni kama unavyoona namna...
Alianza Bush, alipohitaji kura za wananchi wake, aliwajia na hadithi za Saddam kuhusika na 9/11, akaunda zengwe la maana na mwishowe akaivamia Iraq ilia pate pa kuponea, kilichofuatia ni historia...
Sisi kama wadau wa China na wapenzi wa nchi ya China na tunaopenda kuiona siku moja china inatimiza ndoto yake ya kuwa china moja yenye nguvu kwa maendeleo ya dunia kwa ujumla
Wadau hoja zenu...
Vikosi vya Urusi na Marekani vimelaumiana kwa mgongano wa magari ya kijeshi ya nchi hizo mbili kaskazini mashariki mwa Syria ambapo wanajeshi kadhaa wa Marekani wamejeruhiwa.
Video inayoonesha...
@mod nilikusudia kutumia neno "onyesho"
Licha ya Japan kukumbuwa na majanga ya kila aina, ila wao huko kwao hufanya mambo ya kiajabu sana yanayohitaji ubongo, Waafrika huku tuna kila kitu ila bado...
Maandamano yameanza tena katika jimbo la Wisconsin nchini Marekani baada ya polisi kumpiga risasi kadhaa mtu mweusi mara kadhaa wakisema kwamba ilikuwa ni kujibu kile walichokiita mzozo uliotokea...
Ukisikia mara Marekani watu wengi wamekufa kwa Corona. Lakini video na picha za hivi karibuni tunaona watu hawavai barakoa na wala hakuna cha social distance. Kwenye mikutano yao ya vyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.