Somalia imesitisha safari za ndege zinazoingia na kutoka katika Uwanja wa Ndege wa Mogadishu, siku ya Jumatano ambapo uchaguzi wa Rais utafanyika.
Ikiwa ni wa kwanza kufanyika katika kipindi cha...
Wakuu nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana mgogoro huu wa sasa unaoendelea kati ya Armenia na Azbaijan (Nagono-Kalabah).Sasa kuna jambo linanishangaza na kuhusu kuharibiwa kwa mifumo ya ulinzi...
Ikiwa ni takriban mwezi mmoja baada ya mlipuko mkubwa kutokea Bandari ya Beirut, moto umeibuka katika eneo hilo
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya nchi hiyo, makampuni yaliyo karibu na Bandari...
Inakuwaje wanaJF!
Trump aliporuhusiwa kutoka hospitalini alitaka kuchana shati lake kuwaonyesha waandishi na wafuasi wake T shirt ya Superman. Lakini secret service walimsihi sana asifanye hivyo...
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetunzwa Tuzo ya Amani ya Nobel kwa mwaka 2020 kufuatia jitihada zake za kupambana na baa la njaa
Shirika hilo la Umoja wa Mataifa (UN) linakadiriwa...
Muda mchache baada ya Tume kutangaza kuwa mdahalo wa pili wa Wagombea Urais utafanyika kupitia mtandao, Rais Trump amesema hatoshiriki kwasababu uamuzi huo unalenga kumlinda mpinzani wake, Joe...
Botswana aims to introduce Swahili language in the southern African country's local schools, a senior official said Tuesday.
At a language teaching workshop in Francistown, Botswana's...
Kuna siku nilikaa na Mzimbabwe mmoja hivi akawa ananipa story za Zimbabwe sana sana sapota wa Mugabe, jamaa anasema Mugabe alIkuwa na wapambe wengi sana siku za mwanzo za yeye kuanza kushughulikia...
Upcoming Elections in Africa
The United States is committed to supporting free, fair, inclusive elections. The conduct of elections is important not only for Africans, but also for defenders of...
Kuna mlipuko mkubwa sana umetokea Lebanon muda si mrefu, inasemekana silaha na milipuko ya Hezbolah ndio imeharibiwa na intelijensia ya Israel..
Picha linaendelea..
====
Mlipuko mkubwa umepiga...
October 2020
Tanzania, the government appears to be restricting the opposition’s ability to even compete.
Three African countries are gearing up for fraught presidential elections this month...
Moscow "haitakuwa na shida" kuuza mfumo wake wa ulinzi wa anga wa S-400 kwa Irani, Balozi wa Urusi Levan Dzhagaryan amesema.
Air Defence Axis: Russia Would Have ‘No Problem’ Delivering S-400s...
Serikali ya Burundi inatarajia kuiburuza mahakamani Rwanda kwa madai ya kuwaunga mkono waasi na kusababisha mauaji ya raia wake wasiokuwa na hatia kutokana na machafuko yanayoendelea kutokea...
Serikali ya Singapore inawalipa wananchi wake katika kuwashawishi kuzaa watoto wakati huu nchi hiyo ikiendelea kukabiliana na janga la virusi vya corona.
Mpango huo umekuja kutokana na hofu ya...
Citigroup imekubali kulipa faini ya Dola Milioni 400 kwa Mamlaka kutokana na changamoto za muda mrefu ndani ya Benki hiyo kupelekea ishindwe kusimamia ipasavyo shughuli zake za kila siku
Mamlaka...
Kila mtu atakuwa anafahamu namna picha za jela zilivyo kwa kuona mwenyewe kwa macho, kusikia au kuambiwa.
Lakini pia kuna hadithi za uwapo wa maisha ya kifahari katika baadhi ya jela hasa katika...
Rais Lazarus Chakwera ametengua ahadi hiyo aliyotoa wakati wa Kampeni, akisema Serikali inaweza kuajiri watu 200,000 na sio Milioni moja
Rais huyo amesema Serikali pekee haiwezi kutengeneza fursa...
CURRICULUM VITAE
Full name: David William Concar
Married to: Caroline Virginia North
Children: Three
2020 FCO, Director, Protocol
2016 to 2019 Mogadishu, Her Majesty’s Ambassador
2014 to 2016...
Rais Donald Trump wa Marekani amesimamisha ghafla majadiliano na chama cha Demokratic juu ya mpango wa kusaidia kupunguza athari za kiuchumi zinazotokana na ugonjwa wa COVID-19, na kuhamishia...
Rais wa Marekani ambae siku ya Alhamisi iliyopita aligundulika kuwa na virusi vya Corona na kukimbizwa hospitali ya hadhi ya nyota 5 ya Walter Reed Medical center mjini Maryland, ametangaza kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.