International Forum

News and Stories from rest of the World
Vikwavo vya kuuza na kununua silaha vya UN dhidi ya Iran vilivyo dumu kwa muongo mmoja vimemalizika hii leo. Hatua ya kufika tamati kwa vikwazo hivyo kutaiwezesha Iran kununua na kuuza silaha...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Omar al Bashir ameshitakiwa kwa mauji ya halaiki huko Dafour na kodfona kusini ambapo waarabu waliwau wakulima weusi maelfu. Baada ya kushitakiwa ICC serikali ya mpito ya Sudan imekubali...
2 Reactions
8 Replies
726 Views
Jamhuri ya Uturuki, Türkiye Cummhuriyeti au Republic of Turkey Uturuki ni taifa lenye mipaka baina ya Asia na bara Uropa, asilimia 97 ya taifa limelalia upande wa Asia huku 3 ikiwa Ulaya. Uturuki...
25 Reactions
91 Replies
12K Views
IMF Admits China Has Overtaken The US As The World’s Largest Economy; But Why Is The Media Silent?Published 17 hours ago on October 18, 2020By EurAsian Times Desk. The world is waking up to a new...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Licha ya kutangaza kutoongeza eneo la hali ya hatari, Waziri Mkuu wa Thailand ameitisha kikao maalum cha bunge katika wakati ambapo maandamano ya kumshinikiza kujiuzulu na mageuzi ya mfumo wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Trump kupitia twitter amesambaza video yenye ujumbe huo ambayo imepingwa sana na watu. Wewe unaonaje? === Trump-supporting Navy SEAL fumes after the president pushes fake news about Osama bin...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
jeshi la marekani kitengo cha maji(us navy seal)limeanzisha operesheni maalamu kusini mwa china na meli yao ya kivita na yenye teknolojia ya hali ya juu(uss carl vinsion). lengo la doria hii ni lipi?
6 Reactions
55 Replies
9K Views
Rais Donald Trump akiwa kwenye mkutano wa kisiasa amesema Biden ndio mgombea mbovu kuwahi kutokea kwenye siasa za Marekani toka taifa la Marekani lilipoundwa. Trump anasema ikitokea akashindwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wiki moja tu tangu Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kusema uislamu ni janga la dunia mambo yamemgeukia. Muda aliotamka maneno hayo ulinasibiana na kuachiwa huru kwa mateka muhimu na raia wa...
7 Reactions
95 Replies
7K Views
Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo - FAO, limejulisha kwamba watu karibu milioni 22 wanakabiliwa na ukosefu wa chakula katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Leo ni Siku ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
| Jamhuri ya Peru / República del Perú / Republic of Peru Peru ni taifa linalopatikana bara la Amerika Kusini likiwa na mipaka baina ya Colombia, Chile Bolivia, Brasil, Ecuador na bahari ya...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Tena mtu mzima mwenye heshima zake kama kiongozi, ameanikwa kwenye runinga ya taifa la Brazil na sasa taarifa zake zimeenea duniani kote Chico Rodrigues reportedly had 30,000 reais (more than...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini jeshi la sasa la Iraq lina maafisa waandamizi wa vyeo vya juu kama Major General Saleh Nasser ilhali...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Hivi vichwa vyengine sijui huwa hawaviangalii kabla? Na Hapo ni kabla ya kuwa rais,Leo hii wanaanza kumsema kumbe si kosa lake ni kosa lao..😂😂 Naomba wampitishe tena..😅
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, yaani utadhani ni movie la kivita:D:D😂😂🤣 Kuanzia 1:44:37 hadi 2:11:00 ndio mijisilaha mbali mbali ya kisasa yaoneshwa na kuna wachambuzi wanazichambua kwa lugha ya kiingereza. Wameshindwa...
6 Reactions
4 Replies
1K Views
A Popular Sudanese Model has just entered her name into the Guinness World Record Books after she was confirmed to have the Darkest Skin Tone in the World. Nyakim Gatwech who born was born on...
11 Reactions
54 Replies
10K Views
Trump ametunga sheria au maarufu kama Executive Order inayoagiza watumishi wa umma kuajiriwa kwa kigezo cha ujuzi na ufahamu na sio elimu. Hili jambo mimi binafsi natamani lingekuja Tanzania. Kwa...
10 Reactions
32 Replies
4K Views
Wapiga mbizi wa jeshi la Poland wameanza operesheni ya hatari ya kunasua bomu kubwa la Uingereza lililotumika kwenye vita vya pili vya dunia lililo chini ya bahari. Karibu wakazi 750 wameondolewa...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
HATIMAYE RAIS TRUMP AKUBALI KUACHIA MADARAKA AKISHINDWA RAIS Donald Trump wa Marekani amesema yupo tayari kuachia madaraka baada ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Novemba mwaka huu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Sio mara ya kwanza, sio kituko tena bali ni tatizo kubwa. Ni dhahiri kabisa kitu pekee alichobeba ni mdomo tu huku akili ikiwa imelala Hali take ya afya ni dgahiri kabisa hata miujiza ikitokea...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom