International Forum

News and Stories from rest of the World
Furaha ya viongozi wa Dunia baada ya Trump baadhi ya wanaJf pia walilia! Furaha ya viongozi wa dunia kufuatia kubwagwa Trump, nembo ya kufeli Washington kimataifa Nov 09, 2020 05:54 UTC Baada...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wizara ya Afya nchini humo imetoa taratibu mpya ambazo zinadhibiti shughuli za Taasisi zisizo za Serikali (NGO's) ambazo zinafanya kazi katika sekta hiyo Miongoni mwa kanuni 10 zinazopo ni...
2 Reactions
1 Replies
855 Views
Ofisi ya António Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa imekiri kwamba utawala wa Kizayuni wa Israel unayasaidia magenge ya kigaidi. Uhakika usio na shaka ni kwamba, Israel ndiye muasisi wa...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Bunge la Peru limepiga kura ya kumuondoa madarakani Rais wa nchi hiyo, Martin Vizcarra (57) kufuatia tuhuma za ufisadi. Jumla ya Wabunge 105 kati ya 130 walipiga kura ya kumvua Uongozi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Wakimbizi (UNHCR) limesema wananchi 3,600 wamekimbia nchini humo kutokana na hofu ya kutokea machafuko baada ya Uchaguzi Mkuu UNHCR imesema idadi...
1 Reactions
2 Replies
877 Views
Rais wa zamani wa Mali, Amadou Toumani Touré (72) aliyeongoza taifa hilo kuanzia mwaka 2002 hadi Machi 2012 alipopinduliwa na Jeshi amefariki dunia Kwa mujibu wa taarifa, amefariki akiwa nchini...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Tofauti na Donald Trump Joe Biden anaamini kuwa Marekani inatakiwa kuhamasisha dunia kwenye mambo mbalimbali ikiwepo mambo ya mazingira na demokrasia. Baada ya huu "uchaguzi" nategemea "rais"...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Ni juzi tu Rais Trump kapata nyomi la watu elfu 57 lakini hutakuja kusikia CNN wala MSMBC, n.K wakiripoti hivi vitu. Kwa ukweli ni kwamba Wamarekani wenggi wameacha kufatilia main stream media...
9 Reactions
52 Replies
5K Views
Huku Jeshi likiendelea na mashambulizi katika Jimbo la Tigray, Waziri Mkuu, Abiy Ahmed amewafuta kazi Mkuu wa Jeshi, Mkuu wa Shirika la Ujasusi na Waziri wa Mambo ya Nje. Watu wa Kabila hilo...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama kawaida yake, Trump huwa hajali! Hata wakati Marekani inahangaika kukimbizana na Corona, mwamba alikuwa bize na gofu! Na leo tena, Biden anatangazwa mshindi, yeye yupo bize na gofu. Nadhani...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimejaribu kumsikiliza Rais Museveni wa Uganda wakati wa kuapishwa kwa Rais Dr Magufuli ili kuelewa anasema nini hasa. Nakubaliana nae juu ya mambo manne aliyoyasema- liberation, prosperity...
1 Reactions
2 Replies
772 Views
Mabibi na mabwana huu ndiyo ukweli wenyewe: Donald Trump mgombea aliye madarakani huko Marekani kama angekuwa hapa Afrika (hasa Afrika mashariki), tayari angesha tangazwa kuwa ni ushindi, tena...
9 Reactions
12 Replies
1K Views
Imebaki wiki tatu lakini naamini Biden keshashinda na Trump keshashindwa. Nimeangalia factors tofauti 1. Pesa -- siku zote mgombea anaeweza changisha hela nyingi anashinda. Biden kamzidi Trump...
21 Reactions
316 Replies
25K Views
Malawi imefikia uamuzi wa kufungua ubalozi nchini Israeli katika Mji wa Yerusalemu na kuwa nchi ya kwanza ya Afrika kuwa na ubalozi mjini humo. Waziri wa Mambo ya Nje wa Malawi, Eisenower Mkaka...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Nukuu zangu:- "(Homosexuals have a right to be a part of the family. They’re children of God and have a right to a family. Nobody should be thrown out, or be made miserable because of it.” While...
6 Reactions
87 Replies
7K Views
Polisi katika mji mkuu wa jimbo la Georgia, Tbilisi, wamewafurumusha makundi ya watu waliokuwa wakiandamana kupinga matokeo ya wabunge katika uchaguzi wa juma lililopita. Maelfu ya watu...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Rais mteule wa Marekani Joe Biden ameashiria kwamba ananuia kuiunda serikali yake kwa haraka akilenga kupambana na janga la virusi vya corona ambalo yumkini litakuwa juu kwenye orodha ya mambo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Shirika moja la kimataifa limesema ushindi wa Donald Trump unachukuliwa kuwa miongoni mwa hatari 10 kuu zaidi zinazokabili dunia. Shirika hilo la Economist Intelligence Unit linaonya kuwa iwapo...
2 Reactions
76 Replies
9K Views
Maambukizi mapya kwa siku nchini humo yameongezeka kutoka wastani wa 25 hadi 130 katika siku 14 zilizopita na kupelekea hofu ya wimbi la pili ya mlipuko huo Rais Nana Akufo-Addo amesema Serikali...
1 Reactions
1 Replies
718 Views
Shirika la Amnesty International limetoa wito kwa Mamlaka kuacha kutumia Sheria nyingi zilizopitwa na wakati ili kukandamiza uhuru wa kujieleza kupitia mitandao Takriban Wanablogu, Wasimamizi wa...
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Back
Top Bottom