Shirika hilo limezitaka Mamlaka kumuachia huru Pascal Affi N’Guessan na wapinzani wengine ambao walikamatwa siku chache baada ya Mahakama ya Kikatiba kuthibitisha Alassane Ouattara kama Rais...
Ana madhaifu mengi kama binadamu, alifanya makosa kama binadamu lakini ukimfuatilia vizuri huyu Mzee utatambua kwamba ni moja kati ya watu waungwana mno.
Kuna baadhi ya mambo mabaya alikuwa...
Idadi ya visa vilivyothibitishwa vya maambukizi ya virusi vya Corona nchini Ujerumani imepanda hadi 815,746, baada ya visa vipya 14,419 kuripotiwa siku moja kabla, kulingana na takwimu...
Shirika la kujitegemea la utetezi wa haki za kibinadamu nchini Ethiopia, lilitoa maelezo kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter na kuarifu kutekelezwa kwa shambulizi la silaha kwenye basi la abiria...
Polish cardinal dies 10 days after being disciplined by Vatican
===
Cardinal Henryk Gulbinowicz, retired archbishop of Wroclaw, Poland, died Nov. 16 at the age of 98. His death came just 10 days...
Bunge limemteua Francisco Sagasti kuwa Rais wa mpito, akiwa wa tatu kuiongoza Taifa hilo chini ya siku 7. Anatoka Chama pekee kilichopinga kuondolewa kwa Rais Martin Vizcarra madarakani kufuatia...
Misri na Sudan kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi kukabiliana na Ethiopia
Nov 15, 2020 08:11 UTC
Majeshi ya Misri yametoa taarifa kuhusu mpango wa kufanyika luteka na mazoezi ya pamoja ya anga...
Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden akiwa Delaware ameonya uwezekano wa vifo ikiwa utawala wake utaendelea kuwekewa vizuizi na Rais Donald Trump, akisisitiza ushirikiano unahitajika kupambana na...
Kaimu Mjumbe wa Umoja wa Mataifa kwa Libya, Stephanie Williams, amewaambia waandishi wa habari kwamba wameamua kuendelea na mkutano mwengine ndani ya wiki moja kuhusu jinsi ya kuupata uongozi huo...
The Swedish government on Monday moved to cut the size of public gatherings sharply as it sought to come to grips with a second wave of the pandemic that has seen record daily numbers of new cases...
Washauri wa Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden wametaka hatua za haraka kuchukuliwa ili kudhibiti janga la Coronavirus wakati maambukizi nchini humo yakifikia Milioni 11.
Wameonya kuwa...
Waziri wa Afya ya Umma, Manaouda Malachie amesema watoto zaidi ya Milioni mbili hawana Vyeti vya kuzaliwa, jambo ambalo linaweza kuathiri upatikanaji wa huduma muhimu za Serikali zikiwemo Afya na...
Abu Mohammed al-Masri, mmoja wa wanachama waanzilishi wa kundi la kigaidi Alqaeda , aliuawa kwa risasi tano zilizopigwa kutoka kwa bastola ya silencer alipokuwa amekaa kwenye gari lake katika mji...
Screenshot chat between an angry lady and her boyfriend that has surprised internet users
Relationship nowadays are turning into something else. Guys now feel their girlfriends are obligated to...
Wakati ambapo Rais wa Marekani, Donald Trump alifurahia ulinzi wa kipekee wa kikatiba kutokana na hatua za kisheria , iwe ya jinai au ya kiraia unaelekea kukamilika.
Sasa, baada kushindwa...
Serikali ya Msumbiji yakana tuhuma za Umoja wa Mataifa kuhusu ununuzi wa silaha kutoka kwa Korea Kaskazini.
Msumbiji imekana tuhuma hizo kuwa inanunua silaha na vifaa vya kijeshi kutoka kwa...
Kiongozi wa Tigray, Debretsion Gebremichael ametoa wito kwa Umoja wa Mataifa (UN) na Umoja wa Afrika (AU) kuionya Serikali iliyo chini ya Waziri Mkuu Abiy Ahmed kwa kutumia teknolojia ya juu...
Ni jambo jema na kubwa sana Mwafrika mwingine anaongezwa kwenye tuzo yenye heshima sana duniani ya Alfred Nobel.
Mpaka aasa Waafrika ninaowakumbuka ambao wamepata hii tuzo ni:
- Nelson Mandela
-...
HOTUBA YA JOE BIDEN BAADA YA USHINDI
My fellow Americans, the people of this nation have spoken.
They have delivered us a clear victory. A convincing victory. A victory for “We the People.”
We...
Toka ateuliwe Abiy Ahamed kuwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Kiongozi huyo amechukua hatua za haraka sana kuleta mabadiliko makubwa katika nchi hiyo haswa masuala za haki za binadamu, uhuru wa vyombo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.