Mtandao wa YouTube umefungia Chaneli ya Rais Trump kuweka video na kufanya matangazo mubashara kwa muda usiopungua siku 7 kutokana na kuvunja Kanuni juu ya uchochezi wa vurugu.
Katika taarifa...
The Joint Chiefs of Staff, the group of the most senior uniformed leaders at the Pentagon, issued a force-wide statement Tuesday condemning the riot at the Capitol as a “direct assault” on...
Soko la Hisa la Twitter limeshuka kwa asilimia 12 baada ya Kampuni ya Mtandao huo wa Kijamii kuifungia akaunti Rais wa Marekani, Donald Trump Ijumaa iliyopita
Kuifunga akaunti ya Trump iliyokuwa...
Rais wa Marekani Donald Trump amesisitiza kuwa hatohudhuria kwenye sherehe za kuapishwa kwa Joe Biden kuwa Rais Mpya wa Marekani, Joe Biden amesema ni jambo zuri kwa Trump kutofika maana huenda...
Lingson Belekanyam alipatikana na COVID-19 wiki iliyopitaImage caption: Lingson Belekanyam alipatikana na Covd-19 wiki iliyopita
Malawi imepata pigo kubwa baada ya mawaziri wawe wawili kufariki...
Rais Cyril Ramaphosa amesema mipaka ya ardhi Nchini humo itafungwa kwa Wasafiri wengi hadi Februari 15 akisisitiza hali ya mlipuko wa CoronaVirus Afrika Kusini sio nzuri.
Ameeleza, maambukizi...
Waziri wa Kazi, Familia na Vijana wa Australia, Christine Aschbacher amejiuzulu baada ya kugundulika kuwa baadhi ya kazi zake za chuo amenakili mawazo ya wengine (Plagiarism).
Aschbacher alifanya...
Huo ndio ukweli wenyewe japo vyombo vya Magharibi wanajitahidi kupotezea.
Bibi yake Rashida Tlaib congress woman wa Marekani Mftia Tlaib alimlaani sana Rais Trump alipomfanyia dhihaka na fitina...
Takriban Majimbo tisa Nchini India yameripoti mlipuko wa Mafua ya Ndege, huku maeneo mengine yakisubiri majibu ya vipimo wakati hatua mbalimbali zikichukuliwa kama tahadhari.
Mji Mkuu wa New...
Rais wa Marekani Donald Trump amefungiwa kabisa akaunti yake ya Twitter kwasababu ya hatari ya kuchochea vurugu zaidi", kampuni hiyo imesema.
Kampuni ya Twitter imesema uamuzi huo umefikiwa baada...
Tangazo hilo linakuja siku mbili baada ya Rais Trump kuhamasisha wafuasi wake kuvamia bunge na jinsi watunga sheria walivyoshinikiza kuondoka kwake.
Kulingana na gazeti la wanafunzi, kumekuwa na...
Polisi nchini Marekani wanasema wamekamata gari lililokuwa na mabomu na bunduki likiwa limeegeshwa karibu na jengo la bunge siku ya Jumatano wakati wafuasi wa Rais Donald Trump walipovamia jengo...
Jaji katika korti ya uchunguzi ya Baghdad ametoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa Marekani anayemaliza muda wake Donald Trump, juu ya mauaji ya kiongozi wa jeshi la Iraq wakati wa mauaji ya Jenerali...
Rais wa Zambia Edgar Lungu amemfuta kazi waziri wa afya nchini humo Bw Chitalu Chilufya, ambaye alikamatwa mwezi Juni kwa ufisadi lakini akaachiliwa baadae.
Bw Chilufya alishitakiwa makosa manne...
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis ameiita hatua ya watu kukwepa kupata chanjo ya Covid-19 ni mauaji ya kujitakia akisema wale wanaokataa chanjo hiyo wanacheza na afya zao na pia...
Rais Lazarus Chakwera ameeleza kusikitishwa na takwimu ambazo zinaonesha ongezeko la maambukizi ya Ugonjwa huo Nchini Malawi na kutangaza anaanza mfungo wa siku 21.
Hata hivyo, Wataalamu wa Afya...
Wataalam wa masuala ya Sayansi na Usalama toka Chuo cha Princeton (Princeton's Program on Science and Global Security) wamefanya utafiti wao kutokana na mvutano unaoendelea hivi sasa duniani wa...
Mchakato wa siasa wa Marekani umeshuka daraja.
Kama walivyopanga madaraja ya uchumi, jamii, na siasa k.m dunia ya kwanza pili nakadhalika.
Leo hii tunaona, leo hii ni historia ya "Demokrasia"...
Iran iliaandaa tuzo na zipo kwa muda mrefu wakampa Ugur Sahin mwaka 2019. Ugur Sahin kampuni yake na ubia wa Pfizer kampuni ya Marekani wakawa wakwanza kuja na Kinga ya covid-19.
Ayatollah anadai...
Sriwijaya Air,Ndege ya abiria ya Indonesia ambayo iliripotiwa kupoteza mawasiliano mda mfupi baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa Jakarta,imeanguka ikiwa na abiria 62, Wizara ya usafirishaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.