Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza "Ni nini kinafanya Kenya kukusanya mapato zaidi ya Tanzania?" Kwa muda nimekuwa mfuatiliaji wa Budget wa nchi za Jumuiya ya AFRIKA MASHARIKI. Katika ufuatiliaji...
Minister in the Presidency Jackson Mthembu
Minister in the Presidency Jackson Mthembu died of Covid-19-related complications on Thursday, just 10 days after testing positive for the disease...
(CNN)Senate Minority Leader Mitch McConnell is proposing that the Senate give former President Donald Trump's legal team two weeks to prepare for the upcoming impeachment trial once the Senate...
Baada ya hapo jana Bunge la Marekani kumthibitisha Joe Biden na kisha Trump kupokwa silaha zake muhimu ambazo ni social media, hatimae hivi leo Donald Trump ameufyata na kukubali matokeo ya...
Waziri Mkuu wa Mongolia Khurelsukh Ukhnaa amewasilisha barua ya kujiuzulu mbele ya Bunge leo kufuatia maandamano ya umma kulaani jinsi serikali yake inavyoshughulika janga la virusi vya Corona...
Vikosi vya usalama viko nje ya majengo mbalimbali ya serikali
Vikundi vidogo vya waandamanaji - baadhi yao wakiwa na silaha - wamekusanyika nje ya majengo ya serikali ya Marekani, ambapo kuna...
Uvutaji sigara kwenye maeneo ya wazi umepigwa marufuku katika mji wa Milan nchini Italia.
Kulingana na uamuzi wa Manispaa ya Milan, uvutaji sigara hautaruhusiwa katika maeneo ya wazi, bustani za...
Mitandao mbalimbali inaonesha kuwa wandamanaji wamejipanga huku wengine wakijihami kwa silaha, nzito, aidha, makundi kadhaa ya kijamii yanaendelea kutuma maombi ya kupewa vibali vya kuandamana...
Yes wakuu,
Muda si mrefu POTUS anachukua kiti chake kimya.
Maeneo ya Capitol building naona ulinzi umeimalishwa hatari, naona jet fighters za SANDF na SAA zinapita pita flani kuhakikisha ulinzi...
Trump amegoma kushiriki hafla ya kumuapisha mfuasi wake. Hafla hiyo, pamoja na Mambo mengi, anatakiwa kukabidhi nuclear football kwa Rais mpya. State imeridhia aondoke nayo kwakuwa itakuwa de...
Waandamaji ambao wamekiuka taratibu za kudhibiti COVID19 na kuendeleza ghasia kwa usiku wa tano mfululizo wameonywa kuacha vurugu hizo. Hadi sasa, watu zaidi ya 600 wamekamatwa, wengi wao wakiwa...
Kwa kifupi Korea ya kaskazini imeshindikana,haiwezekani Tena,imeingia kwenye klabu ya wababe.
Leo tarehe 15 Januari 2021 imeonesha kombora jipya linalorushwa kutoka kwenye nyambizi.
Korea...
The world including developing countries could not believe in their eyes and ears seeing and hearing the President of a very big and very democratic country loving and commending people who are...
Kaimu waziri wa ulinzi Christopher Miller anasema ingawa hatuna taarifa ya ujasusi inayoonesha tishio la ndani, hatutaacha kuchukua hatua yeyote ya ziada katika kuulinda mji mkuu, Washington...
Wakuu habari yenu
Huu ni ukurasa huru kwa yeyote mwenye kufwatilia kinachoendelea USA ktk kuapishwa kwa Trump ili sisi tulio mbali na TV zetu tujue nini kinaendelea.
Rais mteule Donald J. Trump...
Watu wengi sana wamekuwa wanajiuliza hilo swali na kuona kwamba kitendo cha kuto kiwa na hizo aircraft carrier ni kosa kubwa mno kwa Urusi.
Billi Clinton, Rais wa Zamani wa USA aliwahi kusema...
Vituko, huko New York, mwizi baada ya kuiba gari na kutokomea kusikojulikana, katika harakati za kukagua gari akakuta kuna mtoto ndani yake, ikabidi arudi hadi alipoiiba na kumkuta mama wa mtoto...
Bilionea wa China, Jack Ma ameonekana kwa mara ya kwanza katika video, baada ya kutoonekana hadharani kwa takriban miezi mitatu na kuibua mjadala kuwa hajulikani alipo.
Katika video hiyo, Jack Ma...
Serikali imetangaza kufungwa kwa Shule za Awali, Msingi na Sekondari katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Kigali, kutokana na idadi na visa vya COVID19 kuendelea kuongezeka.
Waziri wa Elimu, Valentine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.