Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi amewafuta kazi wakuu majeshi wa ardhini na angani wakati nchi inapokabiliana na wanamgambo wa Islamic States kaskazini mwa nchi hiyo na uasi wa wanamgambo...
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amepiga marufuku uingizaji wa chanjo ya Covid-19 kutoka kampuni ya Pfizer ya Marekani na mshirika wake BionTech, sambamba na chanjo ya Uingereza ya...
Denmark, Norway and Iceland all temporarily suspend the use of AstraZeneca’s COVID-19 vaccine over concerns about patients developing post-shot blood clots, as the manufacturer and Europe’s...
Wakati dunia ikapambana na janga la Corona mambo mengi yanatokea.
Rais Paul Kagame wa Rwanda amekuwa kiongozi wa ukweli baada ya kujitikeza kupata chanjo ya corona ili kuwapa imani wananchi wake...
Thailand leo imejiunga na mataifa kadhaa ya Ulaya kusitisha matumizi ya chanjo ya AstraZeneca kutokana na wasiwasi kuwa inasababisha kuganda kwa damu, licha ya baadhi ya mamlaka za afya duniani...
Shirika la Afya duniani limesema hakuna ushaidi kuwa chanjo ya corona ya Astrazeneca inasababisha damu kuganda.
Msemaji wa WHO - Dr. Margaret Harris amesema nchi zilizokwisha agiza chanjo ya...
Mataifa kadhaa duniani yakiongozwa na Marekani leo yamelaani mageuzi kwenye mfumo wa uchaguzi wa mji wa Hong Kong yaliyoidhinishwa jana Alhamisi na Baraza la Wajumbe wa Chama cha Kikomunisti cha...
Wanajeshi wa Nigeria wamepata ruhusa ya kuwapiga risasi bila kuhitaji kibali, watu wote watakaoonekana wakiwa na bunduki aina ya AK-47, kufuatia agizo la rais Muhammadu Buhari.
Amri hii...
Kwa mara nyingine, Pakistan imeipiga marufuku kampuni ya mtandao wa kijamii ya Tiktok kwa madai ya kukiuka maadili ya kimaudhui, lakini mratibu wa vyombo vya habari nchini humo hakusema wazi ikiwa...
Serikali ya Burundi imepiga marufuku uingizaji wa mahindi na unga nchini humo kutoka nje ya nchi wakihofia kuwemo kwa sumu kuvu katika punje za mahindi.
Marufuku hiyo itadumu kwa miezi sita...
Sudan imemsamahe na kumuachia huru kiongozi wa kundi la wanamgambo wa Janjaweed Musa Hilal, aliyewekewa vikwazo na umoja wa mataifa na kushtumiwa na makundi ya haki za binadamu kufanya ukatili...
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeishutumu serikali ya kijeshi ya Myanmar kwa kuongeza hatua ya matumizi ya silaha pamoja na kufanya makusudi vitendo vya mauaji...
Msemaji wa kasri ya Buckingham amethibitisha kulazwa kwa Prince Philip Mume wa Malkia Elizabeth baada ya kudhoofu kwa hali yake
Alipelekwa hospitali moja Jijini London siku ya Jumanne Februari...
Kituo cha habari CBS kilimlipa Oprah Winfrey takriban dola za Marekani Milioni 8 ili kupewa leseni ya mahojiano yake na mtoto wa Mfalme Harry na mkewe Meghan.
Mahojiano hayo yalifanikishwa na...
Mamlaka mjini Wuhan nchini China wametangaza siku ya tar 19/3/2020 kua ni mwanzo wa ushindi wa vita dhidi ya virus vya corona Mjini Wuhan jumbo la Hubei ambako ndio kiini cha mlipuko huo.
-Siku...
Serikali ya Canada imesema Jana Alhamisi chanjo ya Astrazeneca ni salama na itaendelea kuitumia kwa wananchi wake licha ya nchi za ulaya Norway na Denmark kusitisha kuitumia kwa muda.
Canada...
Ali Mahdi Muhammad amefariki dunia Machi 10 katika Hospitali ya Nairobi, Kenya alipokuwa anapatiwa matibabu baada ya kugundulika kuwa na #COVID19
Alizaliwa Januari 1, 1939 na alikuwa Rais wa...
Buckingham Palace imetoa taarifa kwa niaba ya Malkia Elizabeth kama majibu ya mahojiano yaliyofanywa na Oprah Winfrey kwa Mwanamfalme Harry na mkewe Meghan.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa familia...
Kuna huu uzushi kuwa Rais wa zamani wa Malawi aliwahi kuwa Daktari wa Malkia wa Uingereza na alihasiwa ili asije tembea na Malkia na wakazaa. Eti ndiyo kisa alikufa bila mtoto.
Huu uzushi...
Usalama umeimarishwa katika jengo la Bunge la Marekani kufuatia taarifa za kuwepo na njama za uvamizi. Kutokana na hali hiyo, Baraza la Wawakilishi limesitisha ratiba za leo, lakini Seneti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.