International Forum

News and Stories from rest of the World
Global Firepower yakiri kuwa Iran ina uwezo mkubwa wa kijeshi kuliko Uingereza Jul 28, 2019 04:37 UTC Askari wa jeshi la Iran  Mtandao wa habari wa Global Firepower, ambao ni moja ya vyombo vya...
8 Reactions
59 Replies
6K Views
Rais wa Rwanda, Paul Kagame, ametuma salamu za rambirambi kwa Tanzania kwa kuondokewa na Rais John Magufuli aliyefariki Machi 17 Pamoja na salamu hizo Rwanda imetangaza kuwa na siku za maombolezo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
The impact of HIV/AIDS on individuals, communities and organisations is a major bone of resentment the world over. Human Capital Planning (HCP) focuses on helping managers set the direction for an...
0 Reactions
0 Replies
550 Views
Baadhi ya walipata chanjo ya AstraZeneca ya #COVID19 wameonesha kuwa na tatizo la damu kuganda, hivyo Ujerumani, Ufaransa na Italia yamesitisha utoaji wa chanjo hiyo Machi 15. Waziri wa Afya wa...
3 Reactions
86 Replies
6K Views
Iran washaanza kulialia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313] Israel is highly likely to have been behind an attack in the Mediterranean this week that damaged...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wizara ya mambo ya kiislamu nchini Saudi Arabia,leo imeifunga misikiti mitano kwa muda kutoka mikoa mitatu tofauti baada ya kesi saba za virusi vya Corona kupatikana katika baadhi ya waumini...
9 Reactions
393 Replies
18K Views
Meghan, mke wa Prince Harry amefichua kuwa familia ya kifalme Uingereza iligoma kumkabidhi mwanaye haki za kuwa Mwanamfalme (Prince) kwa kile alichotaja kama hofu ya ngozi ya Kiafrika. “Nikiwa...
53 Reactions
549 Replies
46K Views
By THOMAS D. WILLIAMS, PH.D.15 Mar 2021 ROME — Pope Francis insists in a new book things will never be the same in a post-pandemic world, calling instead for the establishment of a “new world...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Shirika la usimamizi na udhibiti wa dawa barani Ulaya EMA, limesema leo kwamba bado linaamini, manufaa ya chanjo ya virusi vya corona ya AstraZeneca ni mengi kuliko athari zake, licha ya nchi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais wa Korea Kaskazini alionekana akiwa hai mara baada ya vyombo vya habari vya Kimataifa kama CNN kuripoti kuwa amefariki dunia. Je, ni kitu gani kilipelekea vyombo hivyo vya habari kutoa...
13 Reactions
121 Replies
11K Views
Urusi imeyaelezea madai ya idara za upelelezi za Marekani kuwa Rais Vladimir Putin huenda alisimamia juhudi za kujaribu kumsaidia Donald Trump katika uchaguzi wa Marekani wa 2020 kuwa yasiyo na...
1 Reactions
0 Replies
862 Views
Habari wadau! Kutokana na vyanzo mbalimbali vya vyombo vya habari inasemekana kikundi cha watu wajulikanao kama Al-shababu wamevamia mji wa Palma. Lakini kuna nadharia mbalimbali zimeenea...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Sri Lanka imetangaza leo kuanza kutumia sheria tata ya ugaidi kukabiliana na itikadi kali za kidini pamoja na kuipa nguvu serikali ya kuwaweka kizuizini washukiwa wa ugaidi kwa lengo kuwabadilisha...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Huyu aliwahi kuwa waziri mkuu wa Israel kati ya mwaka 2001 na 2006 kabla ya kulazimika kuondolewa madarakani baada ya kuugua kiharusi(stroke) mwezi March mwaka 2006. Kwa kifupi, huyu bwana...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Takriban watu 58 wameuawa Nchini Niger kufuatia mashambulizi yakiyotokea karibu na Mpaka wake na Mali baada ya watu waliokuwa na silaha kufyatulia risasi magari manne. Imeelezwa kuwa, magari hayo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Idadi ya vifo kutokana na COVID-19 barani Ulaya imefikia watu 900,000 leo. Hayo ni kulingana na takwimu za mamlaka za afya zilizojumuishwa na shirika la habari la AFP. Idadi hiyo inalifanya bara...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Serikali ya Rwanda imesema haitasitisha mpango wa kutoa chanjo ya Astrazeneca. Afisa mkuu wa mamlaka ya afya Dkt. Sabin Nsabimana amewaambia waandishi wa habari kuwa chanjo ya Astrazeneca haina...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Rais Kagame amefanya mabadiliko hayo kwa mujibu wa mamlaka aliyokabidhiwa na Katiba ya nchi hiyo. Wapo waliotumbuliwa na wapo waliohamishwa. Orodha kamili imeambatanishwa kwa ufafanuzi zaidi
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Rwanda imetangaza kulegeza masharti ya kupambana na kusambaa kwa maambukizi ya Virusi vya Korona. Zikiwa zimepita siku nne baada ya Rais Paul Kagame na Mkewe kupata chanjo Agizo litatekelezwa...
0 Reactions
1 Replies
955 Views
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari na makamu wake Yemi Osibanjo wamekuwa watu wa kwanza kupatiwa chanjo ikiwa ni njia ya kuwahakikishia wananchi kuwa chanjo ndiyo kinga muafaka dhidi ya virusi vya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom