Ever Given, the massive container ship blocking Egypt’s Suez Canal for nearly a week, has been partially refloated, the Suez Canal Authority (SCA) said, raising hopes the busy waterway will soon...
Jumla ya watu 114 wameuawa katika maandamano 44 tofauti yaliyofanyika katika miji ya Myanmar kupinga utawala wa kijeshi unaoendelea katika nchi hiyo.
Umoja wa Mataifa(UN), umelaani mauaji hayo...
Jana usiku nlikuwa napitia taarifa kadhaa wa kadhaa mtandaoni, nikakutana na taarifa moja kwambe meli kubwa ya Evergreen iliyokwama pale Suez Canal imeanza kuelea, nikapitia habari kadhaa nipo...
Mamlaka nchini Misri imeamuru kukamatwa kwa watu wanane kufuatia ajali ya treni ya wiki iliyopita iliyosababisha vifo vya watu 18, Shirika la habari la AFP limeripoti, likinukuu ofisi ya mwendesha...
Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch limeitaka Qatar kuiondoa sheria inayowapa wanaume mamlaka ya kuwasimania wanawake ili kuwapa wanawake uhuru wa kujifanyia maamuzi...
Shughuli ya kuondoa meli kubwa ya mizigo iliyokwama katika mfereji wa Suez nchini Misri na kuziba njia kwa vyombo vingine vya maji kupita imeingia siku ya tatu hii leo bila mafanikio yoyote...
| Jamhuri ya Shirikisho la Brazil, República Federativa do Brasil au Federative Republic of Brazil
Ni taifa linalopatikana bara la Amerika ya Kusini, lenye ukubwa wa eneo zipatazo millioni...
Rais wa zamani wa Madagascar Didier Ignace Ratsiraka amefariki akiwa na umri wa 84, rais wa nchi hiyo alitangaza.
"Jumapili tarehe 28 Machi, 2021, rais wa zamani, Admirali Didier Ignace Ratsiraka...
Mahakama nchini Brazil imemuamuru Rais wa nchi hiyo, Jair Bolsonaro kumlipa fidia mwandishi wa habari wa kike kwa kumtolea maneno ya kumdhalilisha.
Uamuzi huo wa Mahakama umekuja kufuatia kauli...
Serikali ya Sudan na kundi kubwa la waasi upande wa kusini mwa Milima ya Nuba kwa pamoja wamesaini makubaliano yatakayofungua njia ya hatua ya mwisho ya mkataba wa amani kwa kutoa hakikisho la...
Waziri mkuu wa Armenia Nikol Pashinyan ametangaza kujiuzulu kuruhusu uchaguzi mpya wa mapema wa bunge ufanyike.
Pashinyan ametangaza uamuzi wake huo leo wakati akizungumza na wakaazi wa mkoa wa...
Imesalia miezi minne kabla ya uchaguzi wa urais nchini Burundi, uchaguzi ambao rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amebainisha mara kadhaa kwamba hatawania.
Hayo yanajiri wakati Bunge la nchi hiyo...
Hasara ya mabilioni ya dola baada ya Mfereji wa Suez nchini Misri kuzibwa na meli kubwa ya mizigo
Mar 26, 2021 08:01 UTC
Inakadiriwa kuwa kuna hasara ya dola milioni nne kwa saa baada ya meli...
Gazeti la The Nation la Kenya liliripoti kuwa kundi la kigaidi la al-Shabaab hivi karibuni limetekeleza mfululizo wa mashambulizi katika kaunti ya Mandera, nchini humo na kusababisha vifo vya watu...
Kuna hatari kubwa ya kuzuka vita baridi au vita kamili kati ya western power ikiongozwa na marekani na Eastern power na China pamoja na Russia hivi karibuni Joe Biden alisema kuwa mkakati wa...
Ripoti hiyo inasema, Serikali ya Marekani ilivuruga hatua za kukabiliana na janga la COVID-19, na kusababisha maafa makubwa ya kibinadamu. Ukosefu wa utaratibu wa mfumo wa demokrasia ulisababisha...
Two trains collided on Friday in southern Egypt apparently after someone activated the emergency brakes, killing at least 32 people and leaving 108 injured.
The collision caused three passenger...
Mtandao wa kijamii wa Facebook umeifunga akaunti ya Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro kwa kutoa taarifa za kupotosha kuhusu Virusi vya Corona
Rais Madura alichapisha kwenye ukurasa wake video...
Kanisa lililoko Makassar nchini Indonesia limelipuliwa na mabomu ya kujitoa muhanga katika kanisa ambalo walikuwa wakiendelea na ibada ya jumapili ya matawi
Mlipuaji alifika kanisani hapo kwa...
Habari JF..
Hizi habari za israel kufutwa kwenye ramani ya dunia na maadui zake nimezisikia toka zamani sana.
Hivi wanakwama wapi hawa wanaotaka kuifuta israel kwenye ramani ya dunia?
Israel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.