International Forum

News and Stories from rest of the World
Shirikisho la Soka Duniani, FIFA, limeifungia Chad kushiriki michuano ama michezo yoyote ya kandanda ulimwenguni la baada ya serikali ya nchi hiyo kuingilia kati namna ambavyo shirikisho la soka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Chuo Kikuu cha Oxford kimesitisha majaribio iliyokuwa ikifanya kwa Watoto na Chanjo ya Virusi vya Corona iliyotengeneza kwa ushirikiano ya AstraZeneca, ikisema inasubiri taarifa zaidi kuhusu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Aisee, nmeona walibya wanavyouawa na kuzikwa kwa pamoja inauma sana jamani. Yani pale Libya sasa hivi hata sungusungu tu wanatawala na kufanya wanalotaka kwa raia. Hakika sasa Demokrasia na...
27 Reactions
288 Replies
16K Views
Tulipopiga kelele kuhusu hili suala tulionekana ni mazuzu, viongozi wa Bakwata walikuwa busy kumsifu na kumtukuza mfalme huku wakisema hili jambo ni story za kitaa. Muda ni mwalimu mzuri, haya...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza tangu kuanza mlipuko wa Virusi vya Corona, Brazil imerekodi zaidi ya vifo 4,000 katika siku moja. Kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Afya, watu 4,195 wamefariki dunia Jumanne...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mchambuzi wa masuala ya kivita Bing West, ambaye ni mstaafu wa Pentagon na chuo cha kijeshi ametoa sababu kwanini Marekani imeshindwa vibaya kwenye vita vyake vitatu katika kipindi cha miaka 50...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Ureno itapeleka wanajeshi nchini Msumbiji katika kipindi cha nusu ya mwanzo ya mwezi Aprili kufuatia shambulizi la wanamgambo wa itikadi kali lililofanywa dhidi ya mji wa Palma. Wanajeshi hao wa...
7 Reactions
30 Replies
4K Views
Kuna mambo yanatakiwa kufichwa as "the less we know, the safe we are" but kuna issues zinatusaidia kiusalama pia na tunapaswa kujuzana! Leo nimesikiliza BBC dira ya Dunia na VOA swahili, haya...
11 Reactions
113 Replies
11K Views
Korea Kaskazini yafyatua makombora ya masafa marefu katika bahari ya Japan CHANZO CHA PICHA, REUTERS. Maelezo ya picha: Kiongozi huyo wa Korea Kaskazini amerudia kufanyia majaribio makombora ya...
5 Reactions
35 Replies
5K Views
Wakuu, Habari za asubuhi, Hayati Magufuli alikuwa anaona mbali sana kuhusu hili gonjwa la corona, japo baadhi ya watu wa ndani ya nchi, mataifa jirani na nchi za magharibu walikuwa wakibeza sana...
28 Reactions
116 Replies
7K Views
Korea Kaskazini imetangaza kuwa haitoshiriki michezo ya Olimpiki ya Tokyo kwa mwaka huu ikisema uamuzi huo umefikiwa ili kuwalinda Wachezaji dhidi ya mlipuko wa Virusi vya Corona Inakuwa Nchi...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
1. Industrial and Commercial Bank of China Benki hii ni kubwa na yenye uwezo zaidi duniani ikijulikana kwa kifupi ICBC na ikiwa na raslimali za zaidi ya Dola tril. 3 na thamani ya masoko ya Dola...
8 Reactions
46 Replies
7K Views
Mshindi wa shindano la urembo nchini Sri Lanka amevuliwa taji hilo jukwaani muda mfupi tu baada ya kuvikwa kwa madai hakustahili ushindi kwani alishaachana rasmi na Mumewe Aliyemvua taji hilo kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Umoja wa Ulaya umetoa wito wa kuondoka kwa wanajeshi wa kigeni na wapiganaji mamluki nchini Libya ukisema hilo ni sharti muhimu kuelekea kurejea kwa uthabiti wa taifa hilo liloharibiwa kwa vita...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nadhani Aliko Alhaj Dangote hakuwafahamu vizuri kabila la Oromo ambalo wa Ethiopia wengine wanawaita barbaric kwa kuenda kujenga kiwanda chake cha Sementi kwenye ardhi yao ya Oromia. Yeye...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Urusi imerudishwa mpango wake wa kuuungia mtandao wa twitter, kwa sasa wameuongezea muda hadi Mei 15 ili waweze kuendana na sheria za Urusi. Mamlaka za Urusi Twitter zimekuwa zikiruhusu maudhui...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jeshi la Msumbiji linasema kuwa limeukomboa mji wa pwani wa Palma, ikiwa ni wiki moja toka ulipotekwa na wanamgambo wa Kiislamu. Idadi 'kubwa' ya wanamgambo wameuawa katika shambulio la kuukomboa...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajeshi vamizi wa Marekani wanapora ngano ya Syria Mar 28, 2021 11:03 UTC Wanajeshi vamizi wa Marekani wamepora malori 38 ya ngano ya Syria iliyokuwa katika maghala huko Tal Alou katika mkoa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Sudan’s government has declared a state of emergency in West Darfur state after at least 40 people were killed and 58 injured in three days of tribal clashes in capital El Geneina, according to...
1 Reactions
0 Replies
543 Views
Rais wa Misri, Abdel Fattah al-Sisi amepitisha sheria inayozuia wanajeshi & waliokuwa wanajeshi kugombea Urais, Ubunge au kujiunga vyama vya siasa bila kuomba ridhaa kutoka Baraza la Juu la Jeshi...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom