International Forum

News and Stories from rest of the World
Mamlaka za Afya Nchini Marekani zimetoa rai ya kusimamishwa kwa matumizi ya Chanjo ya Virusi vya Corona ya Johnson & Johnson, baada ya ripoti za ugandaji damu. Mamlaka ya Chakula na Dawa (FDA) na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ametangaza Baraza jipya la Mawaziri, hatua ambayo inakamilisha mabadiliko ya Serikali ya Rais Felix Tshisekedi na kuimarisha madaraka yake...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais wa Jamuhuri ya Demokrasia ya Congo, Félix Tshisekedi, aamua kuweka mpango wa kuvunja Serikali ya Muungano na wafuasi wa aliyekuwa rais wa taifa hilo, Joseph Kabila. Katika hotuba yake...
4 Reactions
44 Replies
6K Views
New Mexico imekuwa Jimbo jipya kuhalalisha matumizi ya Bangi kwa Watu wenye umri wa miaka 21 na zaidi baada ya Gavana Michelle Lujan Grisham kutia saini miswada miwili kuwa Sheria. Gavana Lujan...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Iran imesema kuwa imemkamata mtu aliyerekodi kipande cha video kinachoonesha tukio la kutunguliwa kwa ndege ya abiria ya Ukraine. Inaaminika, mtu anayeshikiliwa atakabiliwa na mashtaka...
6 Reactions
16 Replies
3K Views
India inakuwa Nchi ya pili ulimwenguni kuathirika zaidi ya mlipuko wa Virusi vya Corona baada ya kuripoti maambukizi mapya 168,912 na kupelekea jumla ya visa kufikia Milioni 13.53. Taifa hilo...
0 Reactions
4 Replies
879 Views
Tukio lilolotoea hivi karibuni Machi 12, 2021 nchini India limeibua mjadala mkubwa baada ya mwanamke kwa jina la Hitesha Chandranee ambaye ni mshawishi wa mitandao ya kijamii (social media...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Naungana na wote wanaoomboleza msiba wa baba wa maadili ya familia Prince Phillip huku nikikumbuka kuwa ndie akiyemkabidhi mwl J.Nyerere bendera ya uhuru wa Tanganyika kwa niaba ya Malkia...
3 Reactions
23 Replies
38K Views
Shirika la kimataifa la misaada ya kibinaadamu limesema katika msimu huu mamilioni ya watu nchini Somalia hawatakuwa na chakula cha kutosha kufuatiwa na wimbi kubwa la nzige, hali mbaya ya hewa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa kwamba nchi tajwa hapo juu bado ni za kijamaa?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Rais Ismail Omar Guelleh ameshinda muhula wake wa tano akipata zaidi ya 97% ya Kura katika Uchaguzi huo ambao wapinzani wengi walisusia Zakaria Ismail Farah ambaye aligombea amekuwa mshindi wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya kutangaza hapa awali kuwa itampeleka mwanamke mwezini kwa mara ya kwanza, Shirika la Marekani la Anga za Juu (NASA) sasa limesema kuwa itampeleka mwezini mtu mweusi katika Mpango wake wa...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakati masharti yaliyowekwa kudhibiti janga la Virusi vya Corona Uingereza yakiendelea kulegezwa, Waziri Mkuu Boris Johnson amewataka Wananchi kuendelea kuchukua tahadhari Maduka yatafunguliwa...
0 Reactions
1 Replies
831 Views
Iran yamkamata jasusi wa Israel katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki Maafisa wa usalama nchini Iran wametangaza kumkamata jasusi wa utawala wa Israel katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki katika...
7 Reactions
35 Replies
4K Views
Mahakama Kuu nchini Brazil imeamuru Baraza la Senate kuchunguza jinsi serikali ya nchi hiyo ilivyodhibiti maambukizi ya virusi vya corona, huku ikikataza makanisa kufunguliwa na kuzidisha...
0 Reactions
1 Replies
659 Views
Je, siri ya China kupunguza umaskini ni nini? ------mama mkulima wa China aondokana na umaskini kwa kutengeneza fagio la mabua ya mtama Na Hassan Zhou Ofisi ya habari ya Baraza la Serikali la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Algeria inatarajia kuanza kutengeneza Chanjo ya Urusi ya Sputnik V mwezi Septemba, ikishirikiana na Moscow. Kwa mujibu wa Serikali, sehemu ya Chanjo hizo zitaelekezwa kwa Mataifa ya Afrika...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa amemteua Mohamed Dewji kuwa mshauri wake wa Masuala ya uwekezaji. Mohamed dewji 'MO' atashiriki vikao vyote vinavyohusiana na uwekezaji na atakuwa miongoni...
19 Reactions
61 Replies
8K Views
Mzuka wanajamvi! Hii imekkaje? CCM kwa propaganda nimewaanyooshea mkono. Yani walianza tangu enzi zile Rais Magufuli alipokuwa anatembelea mahospitali na madawati hii ilitangazwa sana huko Africa...
9 Reactions
82 Replies
7K Views
Ivermectin imekuwa ikitumiwa kutibu virusi vya corona katika Amerika Kusini lakini bado haijathibitishwa kwa matibabu. Dawa ya Ivermectin, ambayo imewagusa wengi kama dawa yenye ufanisi kwa tiba...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Back
Top Bottom