Ikiwa zimepita wiki kadhaa tangu Mji jirani kushambuliwa na Wanamgambo, Kampuni ya Total imesitisha shughuli za kuchunguza eneo kubwa la gesi Kaskazini mwa Msumbiji
Kampuni hiyo kubwa ya Nishati...
A powerful explosion took place on Tuesday at a sensitive defense factory during a test in central Israel. There are so far no reports of casualties.
The explosion occurred during a 'routine...
Marekani yakiri kuhusu nguvu ya Iran ya ndege zake zisizo na rubani (droni)
Apr 22, 2021 02:52 UTC
PAKUA
Jenerali Kenneth McKenzie, Kamanda wa Kamandi Kuu ya askari wa kigaidi wa Marekani...
Serikali ya Ivory Coast imewasimamisha Wakaguzi wote wa majaribio ya kuendesha magari Nchi nzima ikisema inasafisha sekta hiyo
Miongoni mwa sababu za uamuzi huo zimetajwa kuwa ni udanganyifu...
Hakika hayati magufuli atazidi kukumbukwa vizazi na vizazi kwa maneno yake yenye maono alikuwa mara nyingi kwenye hotuba zake anasema "vita ya kiuchumi ni mbaya sana kuliko vita vingine vya...
An Indonesian navy submarine that sank off the coast of Bali on Wednesday has been found split into three pieces on the sea bed, officials say.
All the vessel's 53 crew have been confirmed dead...
Milio mikubwa ya mabomu na risasi zinaendelea kusikika tangu mchana bila kupoa ambapo yamezuka ndani ya jeshi makundi yanamuunga mkono rais aliyeongeza muda wake Muhammad aka farmajo na wale...
Mamlaka za Afya Nchini Malaysia zimesema Chanjo ya AstraZeneca ni salama kwa matumizi na itatolewa kwa Wananchi walio na umri wa zaidi ya miaka 60
Imeelezwa, Chanjo hiyo inafaa kwa matumizi kwa...
Baraza la Jeshi Nchini Chad limekataa mazungumzo na Waasi ambao wamekuwa wakipigana nao tangu kutokea kifo cha ghafla cha Rais Idriss Deby aliyeongoza kwa miaka 30.
Msemaji wa Baraza hilo, Azem...
Meja Jenerali Cyrille Ndayirukiye alihukumiwa kifungo cha maisha jela Januari 2016 kwa kuhusika jaribio la kuipindua Serikali ya Mwendazake Piere Nkurunziza.
Jaribio hilo lililoshindwa...
Halafu bado kuna mtu bado anasema Iran inaweza kushindana na Israel kweli!
In less than nine months, an assassin on a motorbike shot & killed a top al-Qaida commander who was a guest of the...
Msichana wa miaka 16 amefariki dunia baada ya kupigwa risasi na Polisi wa Colombus, Jimbo la Ohio kutokana na kile kilichodaiwa kuwa alishika kisu kuwadhuru Wasichana wengine
Ma’Khia Bryant...
Watu wa Bugis kusini mwa Sulawesi ni jamii yenye nguvu na pia inajulikana kwa kutambua jinsia tano.
Kisiwa cha Indonesia cha Sulawesi kinachofahamika kwa pweza kinaendelea kupanuka magharibi mwa...
Watu 82 wamefariki wengine zaidi ya 100 wamejeruhiwa baada ya mitungi ya oksijeni kulipuka katika hospitali ya Ibn Khatibu ambay ina wagnjwa wa COVID19, Jumamosi Usiku.
Waziri Mkuu wa Iraq...
Israel yaishambulia Syria baada ya hujuma karibu na kituo cha nyuklia cha Dimona
Apr 22, 2021 11:12 UTC
Jeshi la Anga la Syria limetungua makombora ya utawala haramu wa Israel ambayo yalikuwa...
UINGEREZA imeiweka India katika orodha nyekundu, red list, ya vikwazo vya safari. Rais wa Uingereza peke yao ndio watakaoruhusiwa kuingia kutoka India. Zuio hilo linaanza kesho Ijumaa. April 23...
A powerful explosion has rocked a sensitive Israeli missile factory during a test for advanced weapons, according to a report.
The explosion took place on Tuesday during a 'routine test' by the...
Wazee wa baraza katika kesi ya mauaji ya mwafrika mmarekani George Floyd wanatarajiwa kurejea mchana huu na majibu ya hatia kwa mashtaka yote matatu.
Derek Chauvin ambae alikuwa askari polisi...
Iran yazindua mitambo mipya kabisa ya makombora katika gwaride la "Siku ya Jeshi"
Mitambo mipya kabisa ya makombora ya vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imezinduliwa katika...
Hivi Rais kama Idriss Deby wa Chad ( sasa Marehemu ) Kwanza amedumu Madarakani kwa miaka 30, Katesa na Kuua sana Watu, Kaharibu Demokrasia nzima ya Chad, kazaa na Wake za Wateule wake, alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.