Wakati tukijiandaa kutuma Ndege kwenda Madagascar kuchukua dawa inayosadikika kuponya ugonjwa ambao pia kwa mujibu wa kiongozi wetu mkuu siyo tishio kihivyo
Mganga wa Africa Rais wa Madagascar...
Ripoti mpya imeonesha wananchi Milioni 122 wa India wamepoteza ajira zao ndani ya mwezi Aprili pekee kutokana na agizo la kutotoka nje ili kudhibiti maambukizi ya COVID19
Asilimia kubwa ya...
Kuna kila ground za kuwa- charge baadhi ya viongozi wa Africa of crime against humanity.
Purposeful Mishandling of coronavirus/COVID-19 pandemic nayo inaweza kuwa sababu mojawapo katika nchi za...
Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa serikali, kampuni na matajiri duniani kuchangia dola bilioni 6.7 kusaidia mataifa masikini kupambana na virusi vya corona.
Akizungumza wakati wa mkutano wa...
Shirika la Fedha Duniani leo limeidhinisha fedha kwa ajili ya nchi za Kenya na Uganda.
Fedha hizi ni kwa ajili ya kusaidia kupambana na makali ya kiuchumi yaliyosababishwa na janga la Corona...
Baada ya kujifungia ndani kwa muda mrefu, wafaransa wameamua kama kufa na wafe tu, lockdown haivumiliki tena, wame ‘ease’ lockdown ili kunusuru uchumi.
Source: BBC TV usiku huu
Watu wakipanga...
''Last month, amid dire warnings of shortages of personal protective equipment (PPE) for health workers, ministers publicised the imminent arrival from Turkey of a fleet of RAF cargo planes...
The World Health Organisation warns African Countries against the use of traditional medicine that it claims
" has not been scientifically tested and proven to fight the coronavirus"
WHO launched...
Bishop Sam Zuga to launch “SAMZUGA CHAT” App ON MAY 3, 202012:00 AMIN NEWS Not relenting on his dreams and visions to make Nigeria a better place by providing alternative job opportunities for...
Germany's parliament has passed a law banning so-called "gay conversion therapy" for young people nationwide.
The legislation is intended to stop groups offering the service - which claims to be...
Mmoja wa Wanajeshi Marekani ambaye anafanya kazi Ikulu ya Nchi hiyo (White House) amebainika kuwa na corona,
Mwanajeshi huyo Mwanaume ni miongoni mwa wasaidizi wa Rais Trump Ikulu ambao...
More than half a million illegal migrants are to be granted the right to live and work in Italy under government proposals aimed at plugging coronavirus-fuelled labour gaps.
The Times reports...
Germany plans a shakeup of its foreign aid, limiting its "partner" list to 60 nations and dropping Burundi and Myanmar. Minister Gerd Müller says knock-out criteria will be corruption, rights...
Italian scientists claim to develop world’s first COVID-19 vaccine
A team of researchers in Italy has claimed to develop a vaccine which can help them to contain coronavirus which causes...
Rais Donald Trump wa Marekani akiwa pamoja na Wataalamu wa Afya kuzungumzia hali ilivyo kuhusu janga la Corona nchini mwao na namna gani wataweza kushinda.
Huyo Nurse anayezungumza anaitwa Sophia...
Haki miliki ya pichaUNIVERSITY OF PITTSBURGH
Mauaji ya raia wa China, mtafiti wa masuala ya virusi vya corona kwenye ardhi ya Marekani yamesababisha nadharia mbalimbali duaniani kuwa kuna sababu...
BARAZANI KWA INFANTRY SOLDIER
Khashoggi: “Sema unayotaka kusema ujiendee zako”
Na Alexander M Mwakilulele a.k.a Infantry Soldier.
NILIKUTANA na Jamal Khashoggi siku moja tu katika maisha yangu...
Kufanyiwa operesheni ya moyo Rais wa Korea kaskazini, na kisha hali yake kusemekana ni mbaya au pengine amefariki Dunia ila Siri zinafichwa kwanza, inasemekana ni njama za Marekani.
Kwa mujibu wa...
Nchi hiyo imerekodi vifo vipya 615 na idado hiyo inakuwa kubwa zaidi kuripotiwa kwa siku moja. Waziri wa Afya, Nelso Teich amesema Serikali inaweza kuanza kuweka masharti ya kutotoka ndani katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.