Hamas yatungua 'drone' ya jeshi la Israel Ukanda wa Gaza
Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imefanikiwa kutungua ndege isiyo na rubani ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel...
Watu nane wamefariki dunia na wengine takriban 5,000 wanaumwa baada ya gesi kutoka kwenye kiwanda cha kemikali kuvuja leo asubuhi. Miongoni mwa waliopoteza maisha ni pamoja na wazee wawili na...
Tumegaiza dawa kutibu corona huku tukiwa hatuna wagonjwa na waliopo mpka sasa hawazidi 300 ukitoa waliopona.
Wakati huo tuna vifo 16 tu toka corona iwasili nchini.
Anayeuza dawa kaifunga nchi...
Believe me, I read through the World Health Organization statement about the coronavirus herbal product being produced by Madagascar and I feel so disappointed. The organization simply said that...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Nigeria imesema raia wapatao 4,000 waliokwama nje ya nchi baada ya mipaka kufungwa kutokana na Corona wataanza kurudishwa kuanzia leo.
Wataorejea wametakiwa kwenda...
Sudan imeteua Balozi wake nchini Marekani, ikiwa ni mara ya kwanza kufanya hivyo baada ya miaka 23. Mamlaka za nchi hizo zimekubaliana kudumisha mahusiano baada ya kupinduliwa kwa Rais Omar...
Baada ya North Korea kuwa na changamoto ya ukame kwa muda mrefu, hatimae wamefanikiwa kutengeneza mvua (artificial rain).
Utafiti huo ambao kwa mara ya mwanzo uliripotiwa mwaka 2017 ambapo Chuo...
Idadi ya jumla ya walithibitishwa kuwa na #CoronaVirus Urusi imfikia 134,687 baada ya watu 10,633 kuthibitika kuwa na #CoronaVirus ndani ya masaa ishirini na nne. Pia jumla ya vifo 1,280...
Rais Kagame amesema Rwanda itategemea science katika mapambano dhidi ya CORONA. Amesema hayo akijibu swali la mwandishi alie muuliza kuhusu dawa ya Madagascar, "tunategemea zaidi Sayansi kuna...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo amedai kuwa kuna ushahidi wa kutosha kuwa CoronaVirus imetokea maabara iliyopo Wuhan nchini China
Akizungumza na Kituo cha ABC, Waziri huyo amesema...
Hatimaye ikulu ya Marekani yatangaza ufaulu wa dawa dhidi ya Corona, mzungu amekomaa mpaka mwisho, mbarikiwe sana wanasayansi wa Marekani, dunia itawakumbuka daima kwa kutuokoa, haya fanyeni...
A doctor administering a vaccine to a patient. [Source/cnbctv18.com]
As the war against the world wide coronavirus pandemic continues, there are many countries and organizations that are trying...
Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) lilisema kuwa mimea ya dawa (mitishamba) kama vile Artemisia annua, ambayo imekuwa ikinadiwa kama tiba ya COVID-19, inapaswa kupimwa ili kubaini ufanisi na athari...
1. Vyafikia 29,427
2. Ndiyo nchi yenye madhara makubwa Ulaya
Sky Eclat kuna nini mbona kunazidi kutisha? What is wrong there? pamoja na measures zote
=====
UK overtakes Italy to record...
China imesema wagonjwa wote wa CoronaVirus Mjini huo ambapo mlipuko ulianzia wameruhusiwa na hivi sasa hakuna wagonjwa waliolazwa Hospitali
Msemaji wa Tume ya Kitaifa ya Afya, Mi Feng amesema...
Idadi iliyokusanywa kutoka mahospitalini na kwenye nyumba za kulea wazee imefika 288 kwa siku. Hii ni idadi ndogo kutangazwa tangu mwezi March.
Waziri Mkuu Boris Johnson ametangaza hatua...
Umoja wa Afrika (AU) unafanya mazungumzo na Jamuhuri ya Madagascar, ili kupata data za kiufundi kuhusu usalama na ufanisi wa dawa ya mitishamba iliyotangazwa hivi karibuni ambayo ilidai inazuwia...
Walipokuwa na kesi moja tu walifunga viwanja vyote vya ndege za kimataifa ikiwa ni pamoja na meli za abiria. Walifunga miji miwili mikuu kwa mwezi mmoja, hakuna kutoka hakuna kuingia ispokuwa kwa...
Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa zaidi ya watu 30,000 wamefariki wakihisiwa ni kutokana na #COVID19, ikiwa ndio idadi kubwa rasmi ya vifo kurekodiwa Barani Ulaya
Ofisi ya Taifa ya Takwimu...
MAMLAKA ya Dawa na Chakula nchini Marekani (FDA) imetoa ruhusa ya dharura ya dawa ya ebola ‘remdesivir’ itumike kutibu wagonjwa wenye virusi vya corona.
Ruhusa ya kutumika kwa dawa hiyo kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.