Katika juhudi za kupunguza maambukizi ya #CoronaVirus, nchi ya Ufilipino imeamua kuwaachia wafungwa karibia 10,000 ili kupunguza msongamano kwenye magereza
Awali Umoja wa Mataifa ulizitaka...
The Treatment is worth a short, african countries should intervene as this may help in the fight against the Covid-19 Pendemic.
29th April 2020
128 Covid-19 confirmed cases
0 death...
April 26, 2020
New York City
USA
Gazeti la New York Times lajaribu kutengua kitendawili alipo Kim Jong-un
Ni rahisi wajuvi wa mambo kutambua alipo kiongozi yeyote hata kaliba ya Kim Jong-un...
NHS launches inquiry after Guardian investigation exposes senior official trading protective gear amid pandemic
by Harry Davies and Simon Goodley
A head of procurement for the NHS has set up a...
Masks will be compulsory on public transport in Spain from Monday as the country moves to gradually relax its tough lockdown.
Prime Minister Pedro Sanchez said the government would distribute 6m...
Ndege aina ya Flamingo wamepata uhuru wa kucheza katika mji wa Mumbai kwa kuwa watu wako katika kipindi cha zuio. Kawaida ndege hao huvamia miji hiyo kuanzia mwezi September hadi Mei, kwa mwaka...
Donald Trump is certainly having his worst moments now as President of the United States. Every day that breaks, people keep dying in hundreds. He is being accused of incompetence and calls are...
Madonna asema ana kinga ya korona yuko tayari kuvuta covid-19 bila khofu ya kuambukizwa
Madonna Ready to 'Breathe in the COVID-19 Air' After Testing Positive for Antibodies
Source: the rolling...
ISRAELI HELICOPTER STRIKE TARGETS IN SOUTHERN SYRIA
Israeli helicopters fired several rockets from the Israeli-occupied Golan Heightson targets inside southern Syria, Syrian state media reported...
Rwanda imetangaza kufungulia biashara lakini imewataka wafanyabiashara kufuata hatua mambo yote ya kujilinda. Aidha masoko yatafunguliwa kwa 50% tu ya wafanya biashara waliosajiliwa. Na kusisitiza...
Chuo Kikuu cha John Hopkins kimeripoti jumla ya visa 1,039,909, huku vifo vikikaribia 61,000
Kwa kuwa nchi inahesabu hadi vifo vinavyotarajiwa, Chuo Kikuu cha John Hopkins nacho kitaanza kuhesabu...
Japani imetangaza visa 236 vipya vya #CoronaVirus na kufanya nchi hiyo kuwa na jumla ya visa 14,800. Hadi sasa nchi hiyo ina vifo 428
Mfmo wa afya wa nchi hiyo unachangamoto ya kutoa huduma. 90%...
Maofisa nchini Korea kusini wametoa tahadhari kuwa huenda taarifa za Rais Kim Jong Un kuwa mahututi zisiwe za kweli sababu hawaoni movement za watu katika border ya kazkazini.
Siku ya jana ya...
Idadi ya watu walioambukizwa virusi vya Corona nchini Marekani imeongezeka na kufikia zaidi ya Milioni moja, huku idadi ya watu walipoteza maisha ikifikia zaidi ya 58,000.
Takwimu za kiafya...
Kwa wale wenye taarifa juu ya nchi ya Burkina Faso, nimevutiwa sana na historia ya kiongozi Wa hapo awali Thomas Sankara. Mwenye ujuzi wa mambo yalivyo sasa naomba a share na sisi
France to pay 50 euros per person for bike repairs to boost cycling post-lockdown
"(Reuters) - France will contribute 50 euros per person towards bicycle repairs after a nationwide coronavirus...
Hapo inazongumziwa lile swala linaitwa ‘unemployment rate’ ambayo kwa waasia waishio Marekani imekuwa ni ya kiwango hiko
Wataalamu wanasema ni kwa sababu ya kufungwa kwa migahawa, hoteli na...
Mara ya kwanza ilionekana kama picha nzuri iliyotumwa kwenye ukurasa wa Twitter kuwachangamsha watu katika nyakati hizi za corona.
Lakini wakati ilipogundulika kuwa mwanamume huyo aliyeshirikisha...
Serikali ya China imeahidi kuendelea kushirikiana na nchi za SADC katika mapambano dhidi ya COVID19.
Ahadi hiyo imetolewa leo Beijing na Mkurugenzi wa Afrika wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China...
Kampuni ya huduma za ndege ya Boeing inarajia kupunguza waajiriwa kwa 10% ambayo ni takribani waajiriwa 16,000 wataguswa na zoezi hilo
Hii imekuja baada ya kampuni hiyo kupata hasara kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.