International Forum

News and Stories from rest of the World
ECUADOR: TAKRIBANI MAITI 800 ZA WALIOKUFA KWA #COVID19 ZAKUSANYWA Wakazi wa Guayaquil wamekuwa wakiweka video zinazoonyesha maiti zilizoko mitaani, huku wakiweka ujumbe wa kuomba msaada wa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Hakuna cha coronavirus wala nini, ni upuuzi mtupu...! Njia ya waongo ni fupi sana...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Tume ya uchaguzi ya Korea Kusini imetangaza kuwa chama Rais Moon Jae, Democratic Party kimepata viti 180 kati ya viti 300 kwenye bunge, upinzani, United Future Party wamepata viti 103 Huu umekuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mary Agyapong (28) nesi aliyekuwa mjamzito, amefariki huku mwanae aokolewa. Japo mtoto bado hajapimwa kuthibitisha kama ana #Covid19 au la Kutokana na hali mbaya ya afya yake alilazimika...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Ambapo 19 inasemekana walitoka nacho Afrika, China imelazimika kutoa hili tamko baada ya kusemwa sana kuhusu wanachowafanyia weusi kule ====== A total of 111 Africans in China's southern city of...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
US President Donald Trump said on Tuesday that he had instructed his administration to suspend funding to the World Health Organization (WHO) over its handling of the coronavirus pandemic, in a...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Russian collusion, impeachment ( Ukraine scandal ) .Trump ameishia kidedea Democratic Party na member of the media wamechanganyikiwa. Sasa Hivi hamna cha kumfanya .Wafanye nini haswa Trump ashindwe
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Kiongozi mkuu wa kidini nchini Iran, Ayatollah Ali Khamenei amesema Iran haitopokea msaada wowote kutoka Marekani, katika kubadili hali ilivyo kutokana na wimbi la maambukizi ya virusi vya corona...
7 Reactions
97 Replies
7K Views
USS Theodore Roosevelt sailor has died of complications from the coronavirus A sailor with the USS Theodore Roosevelt has died in Guam of complications from the coronavirus, the Navy said Monday...
0 Reactions
4 Replies
994 Views
Hili liwe ni fundisho kwa wale majirani wenye kuiga kila jambo toka Marekani bila hata kujiuliza na kutumia akili zao, mkiendelea na ujinga wa kupima bila kudhibiti watu badala yake mnawaruhusu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ukikutwa kule China unaandika chochote kuhusu Corona, utajua kilichomkuta mtema kuni, au kuhoji au kutafiti chochote cha Corona, wameambiwa wakae hivyo hivyo na kutulia maana nchi iko salama na...
3 Reactions
74 Replies
7K Views
Wiki iliyopita Kapteni Moore alisema anatembea mizungoka 100 kwa madhumuni ya watu kuchangia mfuko aliuanzisha kusaidia NHS. Kapteni Moore ambaye alifanyiwa hip replacement operation na NHS siku...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
CAPE TOWN - South African police on Tuesday fired rubber bullets and teargas in clashes with Cape Town township residents protesting over access to food aid during a coronavirus lockdown...
1 Reactions
1 Replies
744 Views
Wanajamvi, US yaendelea kupambana na corona. Hata hivyo, pamoja na juhudi zote imeshika nafasi ya kwanza kwa uwingi wa idadi ya vifo. Ikiwa na vifo zaidi ya 20,000 huku ikiipita Italy na Spain kwa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Taifa teule la Israel laendeleza mapambano dhidi ya corona huku likiwa limerikodi visa zaidi ya 10,800 na vifo 103. Hata hivyo maabara za nchi hiyo zimekumbwa na uhaba wa vifaa vya kupimia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mabalozi wa Nchi za Afrika wamekutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje China, Chen Xiaoding kuzungumzia changamoto zinazowakabili baadhi ya raia wa Afrika katika mji wa Guangzhou, Chen amewaeleaza...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
By John Njoroge, Africa54, SA. The anti Covid-19 crusade(s) in Africa is yet again bringing into perspective diverse leadership from the Continent that is known for its strong immunity after...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii NHS ya Uingereza ikoje?Naona inasifiwa Sana ..je USA hawana kama hiyo? Italy? France? Why hii ya UK inatajwa sana? Tz tunayo mfano wa huo? Tunaweza kuwa nayo? What's so special na hiyo NHS...
0 Reactions
7 Replies
835 Views
Author Dean Koontz eerily predicted the coronavirus outbreak in his 1981 thriller "The Eyes of Darkness." The fictional novel tells the story of a Chinese military lab that creates a new virus to...
7 Reactions
265 Replies
52K Views
Footage has emerged of Barack Obama giving a clear and concise way for the United States to effectively combat a pandemic – back in 2014. As Donald Trump continues to deflect blame for the spread...
0 Reactions
4 Replies
932 Views
Back
Top Bottom