Mimi ni kijana wa kiume nina girlfriend ambaye tunatarajia kuishi pamoja Mungu akipenda,,Huwa tunakawaida ya kufanya mapenzi mara moja kwa mwezi,mwezi huu tumekutana lakini maajabu jogoo wangu...
Juzi lafiki yangu alitumia tiba mbadala ili kutibu matatizo ya tumbo, baadaye kilichompata ilibidi tumkimbizie hospitalini.
Rafiki yangu huyo alitumia juice ya ukwaju ambapo alichanganya kiasi...
Heshma wakuu
Naombeni kuuliza katika pitapita yangu nmekutana na hii kwamba mkojo unatibu vidonda vya tumbo na kwamba mtu anywe asubuhi baada ya kuamka na baada ya siku 10 anapona kabisa je ni kweli?
Hii ni aina ya saratani inayokumba tezi ya thyroid. Ikumbukwe kuwa tezi ya thyroid ipo sehemu ya mbele ya shingo ya mwanadamu ikiwa na sehemu mbili (lobes) moja kila upande wa shingo.
Visababishi...
Tatizo hili la kujikojolea bila sababu yoyote ya msingi ni tatizo linaloathiri watu wengi sana na ambalo huleta usumbufu na aibu kubwa kama litampata mtu. Tatizo hili huwakumba sana wanawake...
Kemikali za sumu zilizoko katika tumbaku ya sigara huharibu DNA za mwili wa binadamu dakika chache tu baada ya mtu kuanza kuvuta sigara. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi karibuni, kemikali...
Jamani naombeni msaada wa haraka, chakula nakula kama kawaida ila choo sipati, nikipata nikidogo sana halafu kinatoa harufu na upatikanaji wenyewe ni washida tena baada ya siku mbili. Nilikwenda...
Mi ni kijana wa miaka 22,lakini nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu sasa(kama miaka 4).Uume wangu hausimami ukakaza maana misuli yake imelegea,nakomea bao moja tu tena nawahi...
Leukemia ni saratani inayoshambulia tishu za mwili zinazohusika na utengenezaji wa damu zikiwemo supu ya mifupa (bone marrow) na mfumo wa lymph (lyphatic system). Kwa maneno rahisi, leukemia...
Leukaemia Treatment 'Cures' Man of HIV
A bone marrow transplant has successfully treated both fatal diseases
An HIV positive man who received a bone marrow transplant after developing leukaemia...
JF Doctor niliumia nikata kovu ambalo limetengeneza nyama iliyovimba kwenye ngozi, nina mpango wa kwenda kufanyiwa oparesheni ili ile nyama iliyovimba juu ngozi ikwanguliwe. Je, ile nyama...
Revivo is the leading Natural ImmuneSupplement and is helping people just like yourself live a more rewarding life
Revivo customers get so much relief and benefit from using itthat we receive...
Human Papilloma Virus (HPV) ni maambukizo yanayotokea sana wanawake na huambukizwa kwa kufanya ngono, unapata maambukizo
haya hata ukitumia kinga (Condom). Baadhi ya maambukizo haya huweza...
Mtoto aliyeambukizwa VVU mara nyingi huugua mara kwa mara ikilinganishwa na wengine. Hii huambatana na mtoto kutoongezeka uzito.
Inashauriwa zaidi mama kwenda katika kituo chochote cha afya...
Global report: Obesity bigger health crisis than hunger
By Danielle Dellorto, CNN
updated 7:49 PM EST, Thu December 13, 2012
Nearly 500 researchers from 50 countries looked at 20 years of...
I have started wondering whether i have a problem. I sweat alot at night even when it is cold. I have consulted the doctors and they have not been able to find the problem. People any idea of what...
Hello JF members! Today I have decided to post the thread on dead bodies as a useful resources in medical field. A dead human body is a valuable resource.Many...
Heshima mbele wakuu.
Nina rafiki yangu (ke) kila akila asali tumbo anadai linakwangua au linamuuma.
Hii mambo inasababishwa na nini?
Ushauri wa kitaalamu.