Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari zenu wanajamvi, naomba msaada kwa mtu anayefahamu daktari mzuri wa masikio. Nina mtoto wa miaka mitano lakini nimegundua uwezo wake wa kusikia unapungua jinsi anavyozidi kukua.
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Habari zenu wanajamii hasa kwenye hili jukwaa la afya.mimi Nina tatizo la jicho langu la kushoto mboni ya juu kutetemeka sana na inatokea mara kadhaa ndani ya dk 5. nikiongea hivyo naamini wengi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Vinatokea ghafla tu kama vile umeng'atwa na kutolewa ngozi na sehemu vinapotokea ni usoni na mikononi tu. Mwanzoni dr alisema ni fungus nikatumia dawa lakini haikufanya kazi, niliporudi wakanambia...
1 Reactions
3 Replies
481 Views
Wakuu, habari za muda. Kuna hii dawa inaitwa Honeymoon for Men & Women. Ni Vifurushi vya asali ambavyo unapewa unatakiwa umeze kimoja baada ya siku 3. Nimeambiwa kabla ya hapo ilikua ni...
2 Reactions
36 Replies
9K Views
■Tuache vitu vitamu sana kama soda na carbonated drinks ■Tupunguze nyama nyingi nyekundu e.g nyama ya ng'ombe na maini. ■Tupunguze beer ■Tuache sex za kavu kavu ■Tupunguze mafuta mengi katika...
46 Reactions
181 Replies
8K Views
KITU USICHO KIJUWA KUHUSU JUISI YA BOKSI BILA shaka unapoingia dukani au supermarket kununua juisi ya box, huwa unaamini kuwa iliyoandikwa ‘100% Puer Juice’ huwa ni halisi na ndiyo bora. Kwa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu, nilichelewa kufanya tohara, Ni wiki tatu sasa tangu nifanye tohara, na kwa mara ya kwanza nimeshiriki tendo kwa siku mbili bila kumaliza. Yaani siku ya...
0 Reactions
9 Replies
967 Views
Habari za majukumu wana jukwaa? Nimekuwa nikijiuliza hili swali. Ikiwa ugonjwa wa kisukari ni matokeo ya organ ya kongosho kushindwa kuzalisha kimeng'enya cha insulin cha kutosha kwenda ku...
3 Reactions
17 Replies
921 Views
Nisiwachoshe, mimi ni mwathirika wa ukimwi, niligundua muda tu, sasa kutokana na zile post za yule jamaa kwamba dawa ndio zinaenda kukimaliza nikamfata yeye, sijawahi kutumia ARV, nikawa tu...
13 Reactions
127 Replies
6K Views
Habarini ndugu, Nipo macho mpaka muda huu nashindwa kulala macho yanauma misuli ya macho inavuta nkifumba macho nilale yanauma naskia kizunguzungu kichwa kinauma mwili unaishiwa nguvu, hii hali...
0 Reactions
4 Replies
463 Views
Jamani nisaidieni kwa anayekujua dawa ya tumbo, mtoto wangu baada tu ya kutimiza wiki mbili toka kuzaliwa kwake gafla alianza kuumwa tumbo la ajabu yaani akimyonya tu ile anameza fundo la maziwa...
0 Reactions
50 Replies
110K Views
Habari wakuu, nimefanya vipimo juu ya tatizo langu la nguvu za kiume..shida imekuja kuonekana kuwa mirija yangu ya kwenye uume ni miembamba haileti damu nyingi kwenye uume ili kuweza kufanya tendo...
13 Reactions
329 Replies
15K Views
Mazoezi ni muhimu kwa afya haijalishi ni ya aina gani mfano Mimi napenda kufanya mazoezi dakika 15 asubuhi na JIONI hasa kupiga pushup, kuruka kamba haya mazoezi hayahitaji eneo kubwa Sana hata...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
SIKU KAMA YA LEO Mwaka 1967 kwa mara ya Kwanza Daktari Christiaan Barnard kutoka nchini Afrika Kusini aliandika historia ya Kuhamisha Moyo wa Binadamu kwenda kwa mwingine (human to human heart...
1 Reactions
1 Replies
598 Views
CHANZO CHA PICHA,SCOTT FRANKS Maelezo ya picha, Leah Cambridge alikumbwa na mshtuko wa moyo mara tatu alipokuwa amedungwa sindano ya ganzi katika kliniki ya Uturuki. Mwanamke wa miaka 23...
0 Reactions
1 Replies
755 Views
Mwanagu wa miezi 7 nane kasoro kashaota meno mawili ya chini ila kinachonishangaza upande wa juu limejitokeza jino pembeni (meno chonge ) yameota kabla ya meno ya mbele . Je hii ni hali ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimepatwa na mtihani mmoja mzito na sijui kinachoendelea kwa sasa naomba kama kuna doctor humu asiye judge makosa ya mtu nimuelezee anipatie ushauri kwa sababu ni jambo gumu kidogo kulielezea ana...
5 Reactions
82 Replies
6K Views
Wana JF katika pitia pitia zangu kwenye Net, nikafanikiwa kukutana na dawa hizi za Asili zinazosaidia kupunguza makali ya HIV, nikaona bora niziweke hapa, ila naomba kutoa tahadhari kwamba sijui...
1 Reactions
18 Replies
17K Views
Maana tumbo linauma sana nateseka
1 Reactions
94 Replies
9K Views
Habari wadau, Recently nimekua nikipata maumivu makali sehem ya kiunon na korodani la upande wa kushoto. Linaweza kua tatizo gani maana nimeenda hospital nimepima uti majibu yakaja niko fit.
0 Reactions
12 Replies
17K Views
Back
Top Bottom