Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wataalam wa afya kwa yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili. Maiti huanza kuoza baada ya muda gani kupita na hutumia muda gani kuweza kumalizika yote na kubaki mifupa tu? Note. Kwa maiti zote zilizo...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Hakuna gonjwa baya kama bawasiri. Ni ugonjwa unaokera sana. Yale manyama yanavyochungulia kwenye shimo la ikweta yanaleta ukakasi mkubwa sana licha ya madhara mengine mengi. Ukichuchumaa linyama...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Habari Wana JF , Kuna mtoto hapa wa ndugu yangu umri wake ni miezi kama kumi hivi au zaid ila hajafikisha mwaka mmoja , ni mtoto wa kiume ila anatatizo sehemu zake za Siri muda mwingine zina...
0 Reactions
8 Replies
561 Views
Uric Acid ni kemikali ya asilia ambayo inapatikana katika mwili wa binadamu. Kemikali hii hupatikana baada ya kuvunjwa vunjwa kwa vyakula ambavyo ndani yake kuna kundi la kemikali aina ya “Purine”...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wana JF.! Naomba kuuliza kuwa mtu anayetumia ARV inasemekana kuwa anauwezekano mdogo sana wa kumwambukiza HIV mtu ambaye ni negative kwakuwa akishaanza kumeza ARV virusi vinafubaa pia...
2 Reactions
109 Replies
14K Views
Wakuu habarini za wakat huu Kwa mwenye ujuzi hiki ni kidonge gan hakina jina na kinatibu nn? Asanten
2 Reactions
30 Replies
1K Views
Mwenzenu nimekuwa na tatizo la kukoroma saana usiku mpaka imekuwa kero kwa mke wangu. Kuna kipindi alikuwa ana lalamika eti namkosesha usingizi kwasababu ya kukoroma kwangu. Nilibisha nikaona...
4 Reactions
34 Replies
6K Views
Habari wapendwa mwenye kujua dawa ya gesi na acid anielekeza kwani za hospitali hazinisaidii nabeua sana
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuchelewa hatua za ukuaji Kwa mtoto (Delayed milestone) na ufumbuzi wake. Mtoto anapozaliwa anatakiwa kukua kimwili, kiakili, lugha na kijamii. Wengine hukua haraka au hufuata hatua za ukuaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuchelewa hatua za ukuaji Kwa mtoto (Delayed milestone) na ufumbuzi wake. Mtoto anapozaliwa anatakiwa kukua kimwili, kiakili, lugha na kijamii. Wengine hukua haraka au hufuata hatua za ukuaji...
1 Reactions
0 Replies
669 Views
Boost homoni yako ya Testosterone kwa kutumia natural foods. Chukua Popcorn [emoji897] tushuke nayo taratibu: •NDIZI MBIVU: Ndizi ni chakula kizuri kwa ajili ya afya ya uume wako. Ndizi zina...
5 Reactions
13 Replies
7K Views
Mimi ni mmpenzi sana wa mazoezi ya aerobikale na ya kunyanyua vitu vizito(vyuma) sasa kuna hili swala linanitatiza sana kwa mabaunsa/wanyanyua vitu vizito wengi hapa DSM na sehemu nyingine za TZ...
1 Reactions
83 Replies
33K Views
Wakuu habari. Natumaini ni wazima wa afya. Nna kijana wangu anasumbuliwa na gono na amepata matibabu mapema na kama liza dozi. Lakini halia ake bado ni ngumu haileti matumaini. Ushauri wenu...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Ndugu wapendwa mimi ni kijana wa miaka 22. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nasumbuliwa sana na tatazo la uoga tena uliopitiliza. Katika kipindi chote ambacho nimeishi hapa duniani nimeishi...
8 Reactions
88 Replies
4K Views
Hii hali imenianza Jana sasa sijui ntakua na shida gani, nikikaa na nikilala ndo nasikia hayo maumivu. Mnisaidie nateseka sana!
1 Reactions
7 Replies
442 Views
Na Mwandishi wetu – Dar Es Salaam. Upasuaji mdogo wa moyo wa kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic Valve Implantation procedure –...
0 Reactions
1 Replies
369 Views
Mwanangu anatatizo la ugonjwa wa ngozi. Ametoka vipele kama vya tetekuwanga . Vilianza mabegani naona sasa vinasambaa mwili mzima. Vinavimba kama uvimbe wa mtu aliungua na moto baadas vinapasuka...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Wakuu hebu tujibu hili swali, Ni wangapi kati yetu wanajua wako kundi lipi la Damu? Kama unajua litaje. Leo nimegundua watu wengi sana hawajui kabisa hili jambo dogo na muhimu kwenye maisha...
13 Reactions
159 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu kitaalamu, mtu anayetumia mkono wa kulia na kutumia mguu wa kushoto huyu mtu brain functioning yake inakuwaje Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
1 Reactions
4 Replies
514 Views
Back
Top Bottom