Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mdogo wangu haoni mbali na matatizo hayo yalianza miaka 13 alipewa dawa za hospital za kuweka kwenye macho lakini wapi! akaenda ccbrt wakamcheki wakamwambia kuwa hana matatizo yanahitaji upasuaji...
1 Reactions
15 Replies
16K Views
Habari za mida hii wanajukwaa? Kwa takribani siku ya tatu nahisi njaa muda mfupi baada ya kula. Huwa nakula mara tatu Kwa siku, lakini Hali ya Sasa hivi inanipa wasi wasi hasa ni nini nakosa...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii njia inapigiwa chapuo sana haswa na wanawake ambao hawapendi kutumia njia za uzazi wa mpango ,sasa tatizo langu ni kwamba baada ya kumwaga nje kuna mizigo mingine inakuja kwa mwendo wa...
2 Reactions
7 Replies
889 Views
Baadhi ya watu wana kasumba ya kuongea na simu na wapendwa wao kwa muda mrefu. Licha ya kupata maumivu ya masikio, kichwa na matatizo ya macho, wataalamu pia wamebainisha madhara makubwa...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu. Kuna mama /dada ni mjamzito. Sio ujauzito wake wa mara ya kwanza. Anapitia changamoto hizi. ★Tumbo kuuma chini ya kitovu, linauma baadae linaachia lenyewe na kujirudia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
BAWASIRI kama unataka kupona kabisa na kwa uhakika just call this number 0755780631,0620448976 Usipopona unarudishiwa hela yako...na ni ndani ya siku mbili unaona mabadiriko.
1 Reactions
5 Replies
905 Views
Muda mrefu nasumbuliwa na vinyamanyama vimefanya sehemu ya Siri bawasili watu wananiambia lakini nishatumia dawa nyingi bado cjafanikiwa naomba msaada wenu please
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Nimeandikiwa na daktari 2x1 kama mnavyoona kwenye picha
3 Reactions
116 Replies
9K Views
SOMA KWA UMAKINI Kuna kitu kinaitwa cellular adaptation. Ukijua hii huwezi kununua dawa za kuongeza uume au matako. Iko hivi cells za mwili wa binadamu ukiziweka kwenye stress iwe ya muda mrefu...
2 Reactions
6 Replies
841 Views
Samahani naomba kuuliza nina tatizo ambalo lilianza mwaka jana, Usiku nilipokua nimelala nilistuka nikiugulia macho yanauma sana...Nilipoenda hospital nikaonana na doct wakanichek pale...
0 Reactions
0 Replies
355 Views
Kwa nini mtu akiugua haya magonjwa huambata na homa kali na ndoto za kutisha. 1. Typhoid 2.Malaria
0 Reactions
0 Replies
268 Views
Jaman naomben kujua Je Water Guard nisalama ukiweka kwenye maji tuu na kunywa maana naskia wanasema siyo salama mpaka uchemshe maji pls tusaidiane wapa wataalamu
0 Reactions
15 Replies
7K Views
KUNAWA kwa kuingiza vidole sehemu za uke, kujifukiza na matumizi ya bidhaa mbali mbali ikiwemo asali kuwekwa ukeni, wapenzi wengi, kujamiiana katika umri mdogo, maambukizi ya virusi vya ukimwi...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Chumvi, kwa Kimombo ikijulikana kama Table salt, kwa Kihaya Omwonyo, na kwa kisayansi sodium chloride ni muhimu kwa afya ya binadamu, lakini unapaswa kuitumia kwa kiasi sahihi. Matumizi mabaya ya...
8 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu Wakuu, Kuna ukweli wowote kuwa ukitumia mafuta/lubricant unaweza kuzuia maambukizi ya magonjwa ya ngono? NAOMBA MNIJIBU WAKUU
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Helloo JF!! Hili sikulijua kabla au nililichukulia poa. Ni week ya tatu tangu nianze ratiba ya ufanyaji mazoezi kila siku tatu za juma saa 11 alfajiri. Hii ni baada ya siku moja kulazimika...
32 Reactions
36 Replies
7K Views
SIGN OF VITAMIN B12 DIFICIENCY SYMPTOMS JICHUNGUZE KWENYE ULIMI WAKO UKITOKEA ALAMA KAMA HIZI KIMBIA HARAKA HOSPITALI KAMUONE DAKTARI UTAKUWA UNA UPUNGUFU WA VITAMIN B12 MWILINI MWAKO NI HATARI...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama wewe ni wale ambao tunakunya Kwa neema Njoo hapa haraka Sana. Imefikia hatua nakula nikilala usiku nasali kesho nipate choo. Nakula Sana lakini sijui chakula kinaenda wapi. Tumbo linauma pia...
13 Reactions
124 Replies
5K Views
Habari, Wadau Mimi nina mdogo wangu aliteguka begi wakati anadaka mpira na kupelekea bega kushuka na kushindwa kubeba vitu swali langu amefanya vipimo cha MRI ya UTI wa mgongo kilingana na...
1 Reactions
3 Replies
527 Views
Back
Top Bottom