Wana JF habali za wakati huu natumaini nyote ni wazima wa afya, na wale ambao hamjisikii poa Mungu atawasaidia. Miim ni mzima wa afya japo sio sana, namshukuru Mungi hivyo hivyo.
Nimekuwa...
Ni tumaini langu wote mu wazima wa afya.
Kama mada ilivyo hapo juu,leo nimekuja kuomba msaada.
Nina ndugu,mwana mama mtu mzima. Kwa mda wa miaka 10 sasa,ana tatizo la kuanguka. Kwa siku inaweza...
Tutuko zosta
"Zoster" inaelekezwa hapa. Kwa the ancient Greek article of dress, tazama Zoster (costume).
"Shingles" inaelekezwa hapa. Kwa matumizi mengine, tazama Shingle (disambiguation)...
No matter how much we love our lives, some nastiest viruses will always surround us which could be horrifying and deadly. Regardless of the era humans have always had to deal with diseases like...
Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vinavyojulikana kama 'Plasmodium' ambavyo huenezwa na mbu jike aina ya Anofelesi.
Ugonjwa wa Malaria huenea kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni hivyo mume wangu ana nch 5 ikisimama na ikilala nch 2 nisaidieni mawazo nifanyeje nimsaidie aondokane na hadha hiyo au atumie nini au dawa gani hata...
Novemba 17, 2023, Dunia iliadhimisha siku ya Mtoto aliyezaliwa kabla ya wakati, siku moja kabla, nilibahatika kufika katika Wodi maalumu kwenye mojawapo ya vyumba vya kutunza Watoto hao katika...
Preeclampsia ni nini?
Preeclampsia ni tatizo kubwa la ujauzito ambalo linaweza kusababishwa na matatizo kadhaa madogo madogo kutokea yote kwa wakati mmoja. Unaweza kupata shinikizo la damu...
Ugonjwa wa Malaria kwa wanawake wanajawazito huleta athari kubwa za kudumaza ukuaji wa mtoto tumboni au kuufanya ujauzito husika uharibike.
Ili kuondoa athari hizi, Serikali kupitia Wizara ya...
Habari wakuu, kusema kweli nimekumbwa na tatzo la kujamba kila wakati, ila haina harufu yaani haipiti dakika 30 sijapollute, tena kwa kishindo kuna mda hadi nakosa kujiamini nikiwa kwa watu maana...
Nataka kujua sababu za mimba kutunga nnje ya kizazi, tatizo inakua ni mbegu za mwanaume au mwanamke ndio mwenye shida kwenye kizazi?
Pia kama ikitunga nnje ya kizazi matibabu yapi yanatakiwa...
Mara nyingi tunasikia haya matatizo.
Ila watu wengi hatujui chanzo, nini kinasababisha?
Je mimba ikishatungwa nje ya Kizazi, mwanamke hawezi kuendelea kubeba hiyo mimba?
Kama mwanamke akibeba...
Nisipoteze muda, nawezaje kupata taarifa ya figo zangu kabla majanga hayajanikuta ukizingatia mimi naishi maisha ambayo siwezi kumudu hospitali ya zaidi ya laki moja (sina uwezo kifedha)...
Niseme kuwa hizi taarifa anazozitoa mara Kwa mara kuhusu tahadhari mbalimbali za afya ...ni nzuri Sana lakini pia zinaibua maswali mbalimbali..
Ni vizuri Dkt Janabi au Muhimbili kama Taasisi...
Kutokana na changamoto ya magonjwa ya Moyo ambayo yamekuwa yakisumbua watu wengi hasa miaka ya hivi karibuni, nimezungumza na Dkt. Pedro Pallangyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ya...
KWANZA KABISA NAOMBA MODS MSIUHAMISHE HUU UZI UBAKIE HAPA HAPA KWENYE JUKWAA LA HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO
Mliopona maumivu ya mgongo, kiuno, na viungo mlitumia dawa gani?
Ndugu zangu mliowahi...
REKEBISHA AFYA YA UZAZI, UBORA WA MBEGU, NGUVU ZA KIUME, HAMU YA TENDO, UUME KUWA Mdogo & KUONGEZA TESTOSTERONE.
Kutokana na mtindo mbaya wa maisha uanaume umeshuka sana, mixer matrix, p0rn...
Nimeishi na mke wangu kwa zaidi ya miaka 7 lakini huwa kuna wakati tunakuwa mbalimbali kama mwezi hivi kutokana na biashara
Kama siku 5 zimepita ananiambia anaumwa sehemu za siri nimeenda kumuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.