Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Poleni na kazi. Mwanangu ana mwaka na miezi miwili, huyu mtoto ni wa kiume, tangu aanze kula chakula cha kawaida kwa watoto wadogo ( tunatumia celeriac, pia huwa wanamuandalia vingine kwa kusaga)...
0 Reactions
3 Replies
927 Views
P.I.D- Pelvic Inflammatory Disease. P.I.D Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa wa...
1 Reactions
5 Replies
14K Views
Jamani, nina umri wa miaka 21, nina tatizo la uume kusinyaa na kuwa kama wa mtoto mdogo, na hata wakati wa tendo kabla sijaingiza ukeni huwa unasinyaa na hata ukiingia bado unasinyaa...
5 Reactions
153 Replies
11K Views
Naomba msaada huduma ya kwanza ni ipi. Mtoto mwenye umri wa miaka 6 ameweka BBE machoni pale, sasa kabla hajapelekwa hospital amesafishwa kwa maji macho yake. Je, wana JF kuna kitu Kingine cha...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Anonymous
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya inachafua hali ya hewa na kuhatarisha afya za Wananchi hospitalini na wanaoizunguka kwa kukosekana Incinerator (mashine maalum ya kuchomea taka). Incinerator...
1 Reactions
3 Replies
864 Views
Habarini wanajukwaa la JF Doctor. Nisiwachoshe na niende moja kwa moja kwenye mada, kutokana na matumizi ya vifaa vya kiumeme hasa runinga, kompyuta na smartphone kwa muda mrefu nimejikuta...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Na Dr.Kenge MD, Jini makini,vidole Madini 2024, Tabasamu la furaha linashamiri nyusoni kwa wengi.Ni saa ya Kirumi inaposoma kukamilika kwa Majuma 365 ambayo kwa wanajiografia wanasema "Earth...
2 Reactions
8 Replies
796 Views
Kuna aliepona bawasili kwa dawa asili au aliefanya operation akawa safi
2 Reactions
53 Replies
7K Views
Wanajukwaa nczunguke sana na pia so mwandishi sana wakina ni kutokana na kifaa nnachotumia. Unajua katika mitandao ya kijamii hiv vitu vinazungumzwa kila kona . Tik tok , fb, Instagram na n. k...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Kwa kweli zimekua kero last time kutumia zilinishinda ikabidi niuze mechi lakini nilitumia mafuta. Malalamiko yamekua mengi sana. Ni nzito na hazina flavor. Tunajua zinatolewa bure lakini...
1 Reactions
5 Replies
571 Views
Kwanza nawasalimu wote! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, tatizo langu lilianza mwaka 2009/2010! Nakumbuka niliumwa, nikaenda dispensary nikaambiwa nina Malaria, nilipewa dawa..nilitumia...
0 Reactions
32 Replies
9K Views
Wakuu, Kama mada inavyosema hapo juu, naomba msaada wakujua tiba ya magonjwa hayo mawilii. Maelezo;- Kutetemeka mikono, hii hutokea mara kwa mara na zaidi zaidi pale nipofanya kazi za kutumia...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Anonymous
Kituo cha Afya kilichojengwa Kata ya Mkumbi, Halmashauri ya Mbinga Vijijini Mkoa wa Ruvuma kimechukua muda mrefu kukamilika, tatizo ni siasa na mizunguko kibao. Kwanza tangu mradi uanze aliyekuwa...
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Hii Halifa ya upungufu wa testosterone kwa wanaume imekuwa kubwa Duniani sasa. Wanasema sababu ni: 1. Uzito mkubwa 2. Vitambi 3. Kutofanya mazoezi 4. Matumizi ya madawa ya kupunguza maumivu. Nk...
0 Reactions
5 Replies
749 Views
Habari wana jamii forums naombeni msaada jamani mwenzenu nina tatizo sugu kuna vipele vinanitoka kwenye mkunjo wa mkono ni vidogodogo ila vinawasha sana na nikikaa bila kushiliki ngono vinapotea...
1 Reactions
2 Replies
539 Views
Chipsi ni moja kati ya chakula kinanchopendwa zaidi duniani KIUKWELI katika vyakula vitamu duniani na vinavyopendwa haswaa na watu duniani usiposema chipsi utakuwa mtu waajabu sana. Chipsi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
TATIZO la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huwakumba wanawake wengi waliopo kwenye umri wa kuzaa au wale wanaokaribia kufikia ukomo wa hedhi. Japokuwa wengine huchukulia tatizo hili kama kitu cha...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nina wiki ya 4 sasa nasumbuliwa na maumivu ya mguu wa kushoto kuanzia kiunoni chini ya goti la kushoto mguuni panakua panakufa ganzi kabisa Ninashindwa kuinama kabisa mfano kuokota kitu chini au...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Kwa miaka mingi, mimea asilia imekuwa chanzo muhimu cha tiba katika jitihada za kupunguza uzito kwa njia inayofaa na asilia. Matumizi ya mimea asilia ya viungo chakula kama sehemu ya mlo wa kila...
1 Reactions
0 Replies
391 Views
Maajabu ya mbegu za maboga ambayo ulikuwa huyajui bado. Inatokeaje mbegu za maboga kuongeza nguvu za kiume? Kwanza kabisa zinaondoa msongo wa mawazo kitu ambacho ni namba 1 katika kusababisha...
5 Reactions
14 Replies
5K Views
Back
Top Bottom