Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kujivutavuta nywele kwa kawaida huanza tu kabla au baada ya kubalehe. Wakati wowote, karibu 1-2% ya watu duniani wana ugonjwa huo. Takriban 80-90% ya watu wazima walio na trichotillomania ni...
2 Reactions
2 Replies
440 Views
Habari za wakati huu wadau, poleni na majukumu ya kujenga taifa. Jicho langu moja la kulia ni jekundu sana na ni muda mrefu tangu mwaka 2019.chanzo ni kwamba niliingiliwa na mdudu ambapo...
0 Reactions
3 Replies
560 Views
Kati ya maambukizi yanayowasumbua wanawake wengi duniani ni maambukizi ya fangasi. Inakisiwa asilimia 75 ya wanawake wote duniani hupata maambukizi haya katika kipindi cha uhai wao. Maambukizi ya...
3 Reactions
4 Replies
10K Views
Kuna ndugu yangu alifanya maamuzi fulani yaliyopelekea kumletea matatizo na akapitia kipindi kigumu sana. hali iliyopelekea kuwa na mawazo kupita kiasi. Sasa akiwa katika kipindi hicho kuna siku...
3 Reactions
13 Replies
823 Views
Karibia kila mmoja wetu amewahi kuchoma chanjo ya kujikinga na ugonjwa fulani hasa alipokuwa mtoto. Chanjo za watoto kama chanjo ya kifua kikuu, polio, pepopunda na surua kwa kiasi fulani zimekuwa...
0 Reactions
1 Replies
750 Views
Huu ni ugonjwa unaotokana na mchafuko wa tumbo ambao unasababisha kuharisha kinyesi chenye damu au kamasi au vyote kwa pamoja. Ugonjwa huu usipotibika haraka unaweza kusababisha kifo kutokana na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Wakuu naomba kama kuna mtu anauelewa kuhusu kitu kinaitwa Chango/Mchango kinachowapata watoto wadogo anieleweshe maana nimebaki njia panda! Shemeji/wifi...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
MTOTO WAKO ANAPATA UTI KILA MARA ?FUATA HAYA...... Ugonjwa wa mfumo wa mkojo kitaalamu urinary tract infection(UTI) umekuwa ukisumbua watu wengi. Vimelea vinavyosababisha ugonjwa katika mfumo wa...
2 Reactions
6 Replies
10K Views
Share IMAGE SOURCE,MENNA JONES Image caption, Mnyama wa mwituni ajulikanae kama Tasmanian devil Uchunguzi wa geni wa Tasmanian devils umebaini uwezo wa haraka wa kutibu maambukizi ya saratani ya...
0 Reactions
1 Replies
486 Views
CHANZO CHA PICHA,EPA Watafiti nchini Ufaransa wanasema kuna uhusiano kati ya vyakula vilivyosindikwa na maradhi ya saratani. Watafiti hao wameainisha vyakula ikiwemo keki,kuku na mikate kuwa...
2 Reactions
0 Replies
487 Views
Maelezo ya picha, Jitihada zinashinikizwa kung'amua mapema maradhi ya saratani na kuyashughulikia ipasavyo Kampeni kubwa imesambaa duniani wakati dunia leo inaadhimisha siku ya saratani duniani -...
1 Reactions
2 Replies
686 Views
Aspirini huenda inaweza kusaidia kupambana na saratani sugu ya matiti kwa kufanya uvimbe mgumu kutibika kuitikia tiba ya dawa za kupambana na saratani, madaktari wanasema. Kundi la wataalamu wa...
0 Reactions
2 Replies
558 Views
Maelezo ya picha, Laura Everley,ambaye alipatikana na saratani ya mfuko wa mayai ya uzazi(ovari) mwaka 2014, akiwa pamoja na mwanae wa kiume Harry Ni theluthi moja tu ya wanawake wanaomuona...
0 Reactions
0 Replies
553 Views
Njia Salama na Asilia ya Kubana Uke Uzazi na afya ya uzazi ni sehemu muhimu ya ustawi wa kila mwanamke. Kujua na kuelewa jinsi ya kutunza mwili wako kunaweza kuleta matokeo mazuri katika maisha...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Hello Ndugu zanguni , naombeni msaada wenu waungwana wangu. Nina tatizo kwenye miguu kila ninaporuka kidogo tu kukwepa dimbwi la maji au kamtaro kidogo tuu, miguu inakuwa kama. Inaogopa vile na...
2 Reactions
6 Replies
419 Views
Kiungulia ni tatizo linalowapata watu wengi. Kiungulia ni hali ya kukukosesha raha ya kusikia kuwaka moto kwenye eneo la kifua na kuenea hadi shingoni na kwenye koo. Ukiwa na kiungulia unaweza...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Salam zenu wadau na wataalam wa afya. Nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya tumbo hasa maeneo ya upande wa kulia chini ya mbavu ambapo wataalam wanasema ni maeneo linapokaa INI. Huwa inatokea Kama...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Apple Cider Vinegar Cures Apple Cider Vinegar, that wonderful old-timers home remedy, cures more ailments than any other folk remedy -- we're convinced! From the extensive feedback we've...
2 Reactions
4 Replies
19K Views
Back
Top Bottom