Kwa muda mrefu nimekua nikipita sehemu nyingi kila mtu anasema lake juu ya ingredients za kuboost wanaume kuhusu swala la kitandani.
Hii imepelekea wengi kutapeliwa na wengine kulishwa na...
My wife kajifungua wiki moja iliyopita, mtoto wa kwanza huyo, kwa jinsi ninavyomuona huyu mtoto atakuwa na chogo kama la mimi baba yake.
Nimeshawahi kusikia kwamba unaweza ukamfanyia mazoezi...
Hello wana jamvi (Jamiiforums)
Nime detect hii kitu kwa mara ya kwanza mwaka 2016
Tangia hapo inashuka na kupanda
Nimetumia dawa za hospital
Bado hazileti nafuu
Angalau dawa za mitishamba(kisuna...
Wanawake wajawazito wanaweza kuwa hatarini zaidi wakati wa joto kali kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Joto kali linaweza kuzidi uwezo wa mwili wa kudhibiti joto la mama mjamzito, na hii...
10 Januari 2022
Maelezo ya picha,
Hadithi ya dhahabu, ubani, inahusishwa na Yesu Kristo
Mapambo yanayotengenezwa katika onyesho la Krismasi huonyesha vitu vitatu vikitolewa kama zawadi. Hadithi...
Habari za midaa wakuu, ninashida ya miguu & viatu kutoa harufu baada ya kuvaa, hata nikivaa masaa 6 baada ya kuvua lazima vitoe harufu.
Mwenye anajua tiba naomba maelezo
Boga ni nini?
Pumpkins ni miongoni mwa vyakula vilivyopo katika kundi la mimea ya Cucurbitaceae au familia ya squash. Maboga huwa yana umbo kubwa, la dura na rangi yake huwa ni ya kijani...
TUMIA DAWA HII HAPA CHINI
ITAKUSAIDIA :
Tiba (1)
Matatizo ya macho Asali ni bingwa
kwa ajili ya macho, Pakaa asali katika macho
huzidisha nuru ya macho, pia husaidia katika
matibabu ya trachoma...
Jinsi ya kuiandaa dawa ya Mbaazi
Chukua Majani, au maua au mizizi kiasi cha nusu kilo (Ni vizuri kama utachanganya vyote) Pondaponda na uloweke kwenye maji safi kiasi cha lita mbili (2) kwa muda...
Nguruwe ana-protein nyingi sana kuliko mnyama yeyote,Hiyo ndiyo inayomfanya kuwa host wa parasite wengi zaidi kwani nyama yake ina-create conducive environment for breeding and feeding hivyo...
Kumekuwa na malalamiko humu ndani watu wanapoleta matatizo yao ya kimwili na baadhi ya watu kuanza kuleta mizaha.
Mjadala wangu leo umebase sana kwenye magonjwa yasiyoambukiza kisukari, pressure...
Wiki ya 8-12
Miadi yako ya kwanza ya kliniki inatakiwa kuchukua nafasi wiki ya 10 ya ujauzito ili mkunga wako akufanyie vipimo na uchunguzi mapema kama anahisi ni lazima. Ila inaweza fanyika kati...
Habari ndugu wadau?
Nina maumivu ya mgongo nyuma ya kifua. Je, naweza kua ni dalili mbaya?
Kuanzia mwaka 2009-2012 niliwahi kuugua aina fulani ya jipu mguuni, na nilifanyiwa Operation mbili kwa...
Hello members
Mimi ni kijana wa miaka 24. Week iliyopita Jumatano nilitumia vumbi la kongo ila cha ajabu kwenye show uume ulisimama legevu sana! Yani ulikuwa unasimama halafu nikitaka kuingiza...
1. The less you say, the more your words will matter.
2. Don't take everything personally. Not everyone thinks about you, as much as yourself does.
3. When you focus on problems, you'll have...
Zamani iliaminika kuwa vidonda vya tumbo vinasababishwa na mawazo. Baadaye zikaja stori za Helicobacter pyrori kidudu ambacho kipo kwa karibia 80% ya watu.
Ipo hivi; Kidonda chochote ukiumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.