Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Vidonda vya tumbo ni michubuko inayotokea kwenye kuta za mfumo wa chakula, hasa kwenye sehemu ya tumbo au pia sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo. Ukubwa wa vidonda hivi hutofautiana, kuanzia...
3 Reactions
17 Replies
13K Views
Salaam, Ninaomba kufahamu hili kutoka kwa wataalam wa afya waliomo humu ndani. Nina shemeji yangu mmoja hivi amekuwa na tatizo la kupata mtoto kwa miaka kadhaa sasa. Ana mtoto mmoja lakini...
1 Reactions
4 Replies
473 Views
Habari zenu jamani?naomba mnisaidie sifa zote za blood group "o+"(positive)mimi ndyo group yangu.
3 Reactions
137 Replies
100K Views
Habar JF Doctor, Nina mwanangu ana miezi sita, anatokwa na jasho ana kichwan akiwa amelala, amekaa au anakula. Je, hali hii inasababishwa na nini? Je, ina madhara gan kwenye afya yake? Naomba...
2 Reactions
12 Replies
21K Views
Hospital hakuna Tiba ya cataract zaidi ya upasuwaji je wataalam wa miti shamba nao ugonjwa huu umewashinda?
2 Reactions
17 Replies
956 Views
Unasumbuliwa na homa kali na kukosa hamu ya kula siku ya 4 hii. Jana nilipima nikaambiwa ni minyoo, kichocho na U.T.I. Lakini nimetumia dawa homa na kukosa hamu ya kula vimegoma kabisaaa hata...
1 Reactions
7 Replies
423 Views
Naombeni kuelimishwa,mtoto wa chini ya mwezi mmoja kucheua maziwa na mengine kutokea puani inaweza kusababishwa na nini?Je ni hali ya kawaida au ni tatizo kubwa?
0 Reactions
9 Replies
36K Views
Sitaki kuwachosha niende kwenye lengo moja kwa moja, Ni wiki ya pili sasa napatwa na joto ikiambatana na baridi kali kichwa kuuma viungo vya mwili kuuma mda mwingine kuchoka hamu ya kula sina...
0 Reactions
4 Replies
582 Views
Nina mtoto wa kiume umri miaka 2.5, huyu kijana wangu akiwa na hasira ana tabia ya kujibonda chini au sehemu yoyote kwa nguvu sana na pia anang'ata sana, kufinya, angali akiwa toka mdogo nikajua...
22 Reactions
151 Replies
6K Views
Wakuu poleni Sana Kwa usumbufu naweza sema JF nimekuwa mtu wa kulalamika Sana.Kwanza napenda kuwatakia wote ambao mna afya migogoro uponyaji Toka Kwa muumba na tulizo la Moyo kwenu. Wakuu...
1 Reactions
3 Replies
554 Views
Habari za mida wakuu, Penye wengi pana mengi katika pitapita zangu mtandaoni nikaona post MTU akielezea kuwa ...kusimama kwenye Mawe madogo madogo kama kokoto ni tiba nzuri ya maumivu ya miguu Na...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Je, umekuwa ukitafuta njia bora ya kutatua suala la miguu kuwaka moto usiku kucha au kujisikia ganzi mara kwa mara? Ungependa kuondoa maumivu ya mgongo ili uweze kufurahia maisha yako kikamilifu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MBEGU za PARACHICHI hutibu magonjwa ya fuatayo. 🌿High blood pressure 🌿High cholesterol 🌿Asthma 🌿Low immunity 🌿Cancer of the blood 🌿Obesity 🌿Candidiasis Unachotakiwa kufanya ni kuchukua MBEGU ya...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Tangu jana nimekuwa nikiharisha damu. Sina maumivu yoyote ya tumbo na wala sipandishi homa. Leo nimeenda hospitali wamenipa dawa za minyoo. Je minyoo inaweza kusababisha uharishe damu? Au ndio...
4 Reactions
54 Replies
2K Views
Jirani yangu kaja yuko anaumwa sana kwa kung'atwa na ng'e. Pls kwa anayejua dawa tafadhali nisaidie
0 Reactions
24 Replies
34K Views
For those hammering on a weight loss regimen, the moringa leafy greens are known to rev up the metabolism. (Photo via X) It is more than just a flying trend of the year. It is a wellness plant...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau wa Elimu wa JF Ni matumaini mko poa baadh yetu tumeona matokeo ya Form four 2023 Ku mtahiniwa binafsi amepata dMoja kati ya masomo yake nauliza anaweza kupata leaving certificate...
0 Reactions
2 Replies
309 Views
In China, Coca-Cola will be sold as a sewage cleaner, and the Coca-Cola soft drink produced by the American Coca-Cola Company will be transferred according to the decision of the Chinese Central...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau wa Afya Heshima kwenu! Nina Ndugu yangu anasumbuliwa na Nimonia kali! Kiasi kwamba Upumuaji wake ni wa shida sanaa na Tatizo ka Muda Mrefu! Je, aende hospital gani Nzuri kati ya Muhimbili...
0 Reactions
4 Replies
474 Views
Wakuu kwa miezi kadhaa kama minne hivi ninekuwa na tatizo la kuota mapunye sehemu za tumboni, mguuni, mikononi n.k Mapunye haya yanawasha sana na ukijikuna yanatoa kama unga unga hivi. Nimeenda...
0 Reactions
18 Replies
946 Views
Back
Top Bottom