Habarini wanaume wenzangu
Huu uzi ni muhimu sana kwako wewe mwanaume ambaye uimara wako umepungua kunako 6x6.
Kunazoezi moja tu yaani moja tu linaleta suluhu ya kudumu na haraka isiyo na madhara...
NA: WAF, Dodoma
Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu, amesema katika kuendelea kuboresha huduma za afya nchini Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha zenye thamani ya shilingi bilioni 1 kwa...
LAUGHTER, BREATH AND WATER
By Sananda (Lord Jesus the Christ Ascended)
Through the body of Debbie Wright
There are three things that the people that come here are told to do.... laugh...
Hospitali ya Taifa Muhimbili imewafanyia upasuaji wa mfumo wa mkojo na haja kubwa kwa watoto 31 na kati ya hao sita walizaliwa na jinsia tata, ambapo upasuji huo umefanywa na Madaktari Bingwa wa...
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Angalizo: Andiko hili linawahusu watu wote wenye umri kuanzia miaka 18 waliyokwenye ndoa. Iwe ndoa ya kimila, kidini au kiserikali...
Binafsi nimekuwa siwezi kufanya mapenzi na mwanamke ambaye muda mchache anatarajia kuanza hedhi au baada kumaliza hedhi. nahisi kinyaa sana hasa nikitafakari kua ni damu chafu imepita au...
Na. WAF - Dar Es Salaam
Serikali imetoa rai kwa jamii kuchukua hatua za mapema kupima ugonjwa wa Saratani kwa kuwa takwimu zinaonesha kuwa kati ya wanawake 100, 25 wana Ugonjwa wa Saratani huku...
Kifafa ni hali ya mshtuko wa ghafla au matokeo yasiyo ya kawaida katika Ubongo wa Binadamu ambayo inaweza kusababisha Mtu kuzimia, kukamaa kwa misuli na mabadiliko ya hisia au fahamu
Hali hii...
Mratibu wa Huduma za Msingi za Macho kutoka Wizara ya Afya Visiwani Zanzibar, Dkt. Rajabu Mohamed Hilali amesema hadi kufikia Februari 1, 2024 watu 7 walikuwa wamepata upofu wa macho kutokana na...
Hbarin wakuu.
Leo nataka nitoe elimi jins ya kujitibu nguvu za kiume nyumban kwako mwenyewe bureeeee kabisa.kwanza nianze na chanzo cha nguvu za kiume kupungua na mtu aliepungukiwa anakuaje ili...
wakuu habari za muda huu, kuna mtu anaomba kusaidiwa direct phone number ya muuguzi yeyote alieko bugando au mawasiliano ya simu sababu kuna jambo anahitaji ufafanuzi na usaidizi, cas cd yake ya...
Habar wakuu msaada wenu tafadhali.
Nna ndugu yangu wa kike umri miaka 45 amepatwa na ukichaa ghafla jioni ya Jana, January 28, 2024.
Sasa huyu ndugu yangu nasikia muda mrefu kuwa huwa...
Baraza la Famasi imesema limekuwa likifuatilia mwenendo wa utoaji wa dawa za macho kwenye baadhi ya maduka ya dawa Nchini ambapo limebaini utoaji holela wa dawa za matone za macho zenye viambata...
Naombeni kuuliza, kuwa kuna mahusiano gani Kati ya maumivu ya kiuno na kufanya tendo la ndoa?
Kwakuwa kuna mahali nlisikia mtu Kasema kiuno kinaniuma mwingine akamuambia ni ham ya tendo la ndoa...
Toka nimeoa nina miezi sita. Huwa tunahesabu siku ya 11 hadi 14 lakini hatujabahatika. Nini inaweza kuwa sababu ya hili? Tiba yake ikoje?
Msaada wa mawazo kwenu wataalamu.
===
Pia soma: Njia...
Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Ukeketaji inayoadhimishwa kila Mwaka tarehe 6 Februari, hutoa fursa ya Wadau kuongeza Uelewa kwa Jamii kuhusu madhara ya vitendo hivyo pamoja na kusherekea...
Baltazari Thobias ( 18) kutoka kijiji cha mtoni wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza afikishwa katika hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando kwa ajili ya uchunguzi na matibabu ya uvimbe ambao amekua nao...
Na WAF - DAR ES SALAAM
Waratibu wa Afya ngazi zote wametakiwa kuhakikisha wanasimamia fedha za chanjo na lishe zinazotolewa na Wadau pamoja na Serikali zinafika zinapokusudiwa kwa wakati ili...
Watoto wawili wa miaka saba na mitano wakazi wa Makole mkoani Dodoma wenye uzito uliopitiliza wamefikishwa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa ajili ya uchunguzi na matibabu ya maradhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.