Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari za muda huu,naomba kufahamishwa kuhusu tatizo la kushindwa kufanya kazi figo.kuna jamaa zangu wawili na ndugu tangu mmoja wamefariki kwa tatizo hilo.naomba kujua yafuatayo 1.tatizo hili...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
-Habari za majukumu? Kuna mtu anahitaji msaada wa nini cha kufanya -Alipaka Dawa ZA kuweka waves kwenye nywele(Movit relaxer), Kwa Bahati mbaya kuna maeneo ya kichwa chalet ni kama yameungua...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwenzenu kwa muda mrefu sasa nimekuwa na tatizo la kuwashwa sana kwenye unyayo wa miguu tena kwa kubadilika badilika miguu. Aidha wakati mwingine nimekuwa na tatizo la kuwashwa sana kwenye...
0 Reactions
14 Replies
44K Views
Habari, Je, kuna aliyewahi kupata Genital herpes na akapona? Alifanya mpaka kupona?
0 Reactions
2 Replies
614 Views
Mtoto mdogo wa mwaka mmoja amekatazwa ana allergy sasa Samaki Maziwa ya unga na ng'ombe Karanga Dagaa Soya maharagwe Korosho Vyakula vyenye rangirangi Uji wa lishe Sasa wakuu huyu anapewa vyakula...
1 Reactions
9 Replies
541 Views
Hivi tatizo la kupoteza usikivu linasababishwa na nini? Na je kuna njia zingine za kutibu tofauti na kutumia hearing aid? Kama kuna mtu mwenye namba za mtaalamu naomba anisaidie tafadhali...
1 Reactions
2 Replies
174 Views
Habari wanaJF, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Kwa sasa ni mwanafunzi wa moja ya chuo kikuu nchini, nilipatwa na tatizo la kupiga makelele au mivumo masikioni mwaka 2016. Nimesumbuliwa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za jioni waungwana wenzangu.mimi nasumbuliwa na vipele maeneo ya karibu na shingo ambapo ndio nywele za kichwa huishia. Je shida ni nini na dawa yake ni ipi naomba msaada wenu.aksante...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Samahani wa ungwana ni mara ya tatu tena nakuja kwenu. Bado nauguza vidonda nilivyovipata huko nyuma kwa matibabu ya bawasiri yasio sahihi. Nataka nikipona vidonda niende hospital kwa matibabu...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Ugonjwa wa kudhoofu kwa mifupa (Osteoporosis). -Ugonjwa huu hufanya mifupa iwe dhaifu, ipungue ujazo wake na iwe kwenye hatari kubwa ya kuvunjika kirahisi pasipo kuhitaji mgandamizo mkubwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Usikivu hafifu ni tatizo kubwa na linalokua Tanzania; lakini linaweza kupungua kama mamlaka husika zikitimiza wajibu wao kisheria kwa dhati. Naanza na mfano mdogo wa kuonesha ukubwa wa tatizo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani hebu wataalamu niambieni. Maana mie ngoma ninayo miaka 20+ situmii ARV lakini nimepima zile oral mara tatu zote zinasoma negative. Sasa sijaelewa hii inakuwaje
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari Naomba kufahamu hili ni tatizo gani? limesababishwa na nini? na kuhusu tiba yake pia tafadhali.
5 Reactions
117 Replies
8K Views
Habari zenu wana JF, Rafiki yangu aliyeangukiwa na kitu kizito kichwani hali yake ni taabani. Kwa hospito wanatuambia kuwa ameingia kwenye Coma Daktari anaendelea kwa kusema huenda akakaa kwenye...
2 Reactions
9 Replies
663 Views
Haya madoa yametokea tu kwenye vidole gumba yanaashiria nini? Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
0 Reactions
0 Replies
311 Views
Habari zenu? Nimevurugwa Niliingia period tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani sielewi imo au haimo?
5 Reactions
86 Replies
2K Views
Dawa hizi muhimu za binadamu zinauzika mno mtaani, mijini na vijijini. Soko lake ni pana na kubwa mno kwa sasa. Store hazikai kabisa, mzigo unatembea fasta mwendo wa ngiri kwenye soko la madawa...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Manjano na asali imekuwa tiba iliyokuwa ikinisaidia sana katika makuzi yangu endapo nilikuwa nasumbuliwa na kikohozi. Unachanganya manjano kwenye asali, pia siku zingine unakamulia maji maji ya...
0 Reactions
5 Replies
640 Views
Conditions Treated: Infectious Diseases...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari Madaktari na wafamasia, watu wengi tumekuwa tukitumia mafuta ya breki kujitibu mba. Nimepita mahali nimesikia yana madhara. Naomba kujua yana madhara gani?
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Back
Top Bottom