Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Salamu waungwana. Nisiwe na maneno mengi mimi nina swali hili kwa wataalamu wa afya na wizara ya afya kwa ujumla. Je, mtindo wa watu kuoga maji baridi ili kupooza joto la miili yao ni salama kwa...
1 Reactions
2 Replies
640 Views
Habar wakuu ushauri wenu..mke wangu ana ujauzito wa miezi 8 na siku20 majuzi kaenda kaenda clinic ktk hospital ya mission ya wakatoliki kuangaliwa Hali yake...kapimwa ultra sound mtoto Yuko sawa...
0 Reactions
2 Replies
601 Views
Kaka yangu jirani amepoteza Maisha Leo kwasababu ya tatizo hili Alifunga kupata mkojo Alifunga kupata choo kubwa Tatizo hili husababishwa na Nini ?? Tumepoteza kijana mdogo Sana
1 Reactions
11 Replies
608 Views
Imeelezwa kuwa kasi ya maambukizi mapya ya Virusi vya UKIMWI imepungua kutoka Asilimia 7% Mwaka 2003 hadi kufikia Asilimia 4.3% Mwaka 2022. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya...
0 Reactions
8 Replies
559 Views
Niende moja kwa moja kwenye mada. Wakuu ni dawa gani inaweza kutibu viuvimbe na vidonda sehemu ya haja kubwa,na wakati wa kujisaidia damu inamwagika na maumivu makali, pia vinawasha sana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari great minds, Nina tatizo la fangasi sugu sehemu za siri kwa miaka zaidi ya 4, huwa linanisumbua miwasho japo kuna muda linapungua na kupotea. Nimeshatumia kila aina ya dawa zikiwemo za...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Swali kwa wataalamu: Je, matumizi ya miti shamba kiholela yanaharibu figo? Nauliza kwasababu wagojwa wa figo wameongezeka sana Tanzania
0 Reactions
6 Replies
746 Views
Wana jamvi habari. Ningependa kufahamu nini hasa chanzo cha ugonjwa wa uvimbe wa mifupa ya kwenye joint(rheumatoid arthritis) pamoja na maumivu makali sanjari na viungo kuka kamaa/stiffness hasa...
0 Reactions
15 Replies
51K Views
Habari wanajf naomba ushauri ninandugu yangu kapimwa akaambiwa anaugonjwa wa rheumatoid arthritis na kwa mjibu wa madactari niliowaulizia kuhusu huu ugonjwa wanasema huu ugonjwa hauna dawa ya...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
kwanza Namshukuru sana M/Mungu mimi tangu nijitambue sijawahi kutumia dawa tofauti na za maumivu na mafua! Wakuu nikimeza dawa hizi, muda mfupi baadae nakojoa mkojo wenye harufu ya vidonge...
1 Reactions
5 Replies
485 Views
Habari zenu wana Jf? Moja kwa moja kwenye mada, hivi karibuni nimeanza ku experience muwasho sana kwenye uume pale karibu na kichwa, mwanzo ulikuwa muwasho tu na mchubuko kidogo ila sasa naona...
0 Reactions
30 Replies
25K Views
Habari za leo Ninaomba ushauri kutokana na changamoto inaomkabili mke wangu leo siku ya 11 tangu ajifungue tarehe 5 February 2024. Ilikuwa hivi mke wangu alikua na changamoto ya uchache wa damu...
3 Reactions
9 Replies
719 Views
Maneno yamekuwa mengi tangu vibarazani mpaka kwa madaktari kukisia dawa ya ugonjwa unaowasumbua baadhi ya wanaume. Waganga wa kienyeji nao wanajipatia riziki kwa kuuza dawa wanazosema zinasaidia...
24 Reactions
85 Replies
6K Views
Presha ni ugonjwa unaosababisha vifo na ulemavu wa kudumu. Unaweza kudhibiti presha na kuepuka madhara yake kama utachukua hatua stahiki mapema. Ila.... Ubaya wa ugonjwa huu ni kwamba presha...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Je, ni vyakula gani ambavyo anapaswa kula mwanamke ambaye amejifungua ili kuweza kurejesha hali yake kuwa sawa na pia aweze kuwa na maziwa mengi kwaajili ya kumnyonyesha mtoto?
1 Reactions
3 Replies
484 Views
Jamani kwema? Nimerudi na mrejesho Mimi ni yule niliyeuliza mimba imenasa? Nilisema niliingia bleed tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani nimepima leo...
5 Reactions
38 Replies
1K Views
Vijana tumieni condom, asiwadanganye MTU, condom,zinazuia maambukizi ya virusi vya ukimwi, zingatieni ushauri wangu utawasaidia.
8 Reactions
74 Replies
6K Views
Meno Legelege ni nini? Meno yaliyolegea ni ya kawaida kwa watoto. Wana meno ya maziwa ambayo hatua kwa hatua huchukua nafasi ya meno ya kudumu. Lakini meno huru kwa watu wazima ni suala la...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Natangaliza shukrani zangu kwenu hasa kama nitasaidiwa kwa ushauri niende wapi hapa Dar kupata matibabu. Mchumba wangu na mm wote tunatoka kijiji cha Mwaya-Kyela ya vijijini.Baada ya kumaliza...
21 Reactions
115 Replies
10K Views
Naombeni kufahamishwa kuhusu hili nilikuwa natatizo kipindi fulani ila nikaitumia hii dawa nikapona. Sasa nataka nijue je kuna madhara kutumia mara kwa mara kama utapata magojwa tena au la...
2 Reactions
29 Replies
53K Views
Back
Top Bottom