Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari, Ndugu zangu nina mtoto wa kiume wa miezi 3 ananyonya sana mpaka mama yake anachoka na hashibi, ukimtoa analia. Na clinic wameshaur mtoto anyonye tu maziwa ya mama hadi afikishe miezi 6...
8 Reactions
77 Replies
4K Views
Naomba kupata muongozo, ni spitali gani naweza kwenda hapa Dar kwa ajili kuanza taratibu za tiba kwa ajili ya tatizo la nguvu za kiume.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Sasa kama kawaida yangu mimi huwa sina tabia ya kutisha watu au kuwakataza bali najaribu kueleza ukweli kisha wewe kama mtu mzima utaamua nini cha kufanya kwani naamini kabisa kuwa sote ni watu...
14 Reactions
150 Replies
86K Views
Habar wakuu poleni namjukum mke wangu anamimba ya miezi 8 na siku17 ...mjamzito anadalili zinazofannana na uchungu kuuma nyonga maumivu yanakuja nakuachia...je kunauwezekano wakujifungua na mtoto...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Chati ya kinyesi ya Bristol ilitengenezwa mnamo 1997 kama zana ya tathmini ya kliniki. Kuna aina saba za kinyesi kulingana na Chati ya hiyo. Chati ya kinyesi ya Bristol ni msaada wa matibabu...
7 Reactions
47 Replies
3K Views
Utafiti mpya uliofanyika nchini Marekani umegundua kuwa kuvuta au kula bidhaa zozote zenye bangi husababisha athari kubwa kwenye moyo wa Binadamu kama vile kupata mshtuko wa moyo pamoja na...
0 Reactions
7 Replies
565 Views
Kuna aina tano za makundi ya chakula, aina hizi 5 za makundi ya chakula humwongoza mtu kupata afya njema ya mwili na kiakili pia. Vyakula vimewekwa kwenye makundi ma 5 kwa sababu kila kundi huwa...
4 Reactions
141 Replies
95K Views
Habari wanajamiicheck imekuwa ikisikika kwamba matango ni kichocheo cha uimara wa afya kwa wanawake. Tumekuwa tukishuhudia masokoni wadada walio wengi wakishupalia bidhaa hii na kuifanya hata iwe...
0 Reactions
1 Replies
316 Views
Wajuzi wa mambo naomba mnisaidie kabla sijaenda kwa wataalam, sijui ni matatizo ya nguvu za kiume au nini, jana nilimwita bibie geto basi akaniambia saa 12 jion hivi anakuja, sasa ilikuwa mida ya...
0 Reactions
4 Replies
785 Views
Jamani natatizo la kuwashwa zaid miez 10 nmetumia dawa za allergy cream za fungus lakini sponi
0 Reactions
6 Replies
413 Views
Acha Hofu na Wenge kapime ujue afya yako... Kwa kipindi Cha miaka miwili nimekuwa nikiishi kwa Hofu na kujichukulia kama mwathirika HIV aka ukimwi aka Ngoma aka umeme utaongeza aka nyingine Basi...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Naitaji msaada, mwenye kujua tiba ya H. pylori nipo katika dozi ila bado nateseka natumia helgo kit namaliza jumamosi mwenye kujua tiba anisaidie.
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi majani ya mpera ni dawa ya ngozi? Maana nimewasikia watu wakisema ni dawa ya ngozi.
1 Reactions
1 Replies
331 Views
Habari wanaJf wote, Story hii inahusu safari yangu kutokea Zanzibar kurudi Moshi, Kilimanjaro. Ee bana dah nakumbuka ilikuwa ni sa 12 asubuhi makunduchi kwa mwenyeji wangu nikapewa chai ya...
0 Reactions
4 Replies
360 Views
Habari wataalamu wa tiba katika forums hii. Nimekwenda kituo cha afya ikigunduliwa ni pressure iliyojuu sana ambapo iko kwa kiwango cha 180/117 kutokana na kiwango hicho nimeshauriwa nianze...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Madhara yapi yanaweza jitokeza katika afya yatokanayo na ulaji chilli sauce kwa wingi
0 Reactions
1 Replies
746 Views
Habari JF Member ! Nina sumbuliwa na muwasho mkali kwenye sehem za siri {pumbu}. Je, naweza nikatumia Mycota Powder kunyunyizia nyeti kwaajili ya kupambana na fangas ?
0 Reactions
5 Replies
379 Views
Salam wadau wa afya, Nimepata tatizo kwa muda wa week tatu sasa, nikikaa muda mrefu mfano choo cha kukalia nikikaa kwa muda napata kusikia ganzi miguuni. Inaeza kuwa inasababishwa na nn?
0 Reactions
0 Replies
460 Views
Habari wakuu... Kuna mpwa wangu anamiaka miwili. Tangu ajifunze kutembea naona mguu mmoja anaunyanyua kwa tabu tofauti na mguu wa kushoto. Tulienda naye ccbrt ili kumcheck, majibu yakaja ni kwa...
0 Reactions
0 Replies
233 Views
Salaamu wakuu. Naomba ushauri wa kiafya JF doctor. Ni muda wa siku tatu sasa najisikia hali ya mgongo kuchoka, kichwa kuuma, mkojo unauuma napokojoa, halafu usaha mweupe kutoka Kwenye Penis. Nipo...
4 Reactions
19 Replies
573 Views
Back
Top Bottom