Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakuu habari za jioni, kama kichwa Cha habari kinavyosema hapo juu naombeni msaada jamani sikio litaniua. Nina wiki ya tatu saizi nahangaika nalo nilienda hospital mara mbili nikatolewa uchafu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu? Niko na shida kidogo naombeni dalili za mwanzo kabsa za HIV tangu kuambukizwa!! NB kwa anafaham lakin
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi amesema mtindo mbaya wa maisha na kula vyakula visivyofaa, inachangia kwa kiasi kikubwa watu kuzeeka mapema. Profesa...
8 Reactions
34 Replies
4K Views
Kwa wale madaktari bingwa humu (psychologists) na waganga wakuu wa hayo mambo, nimeileta mada kwenu mnisaidie, je mtu anawezaje kupona akiwa ameumwa depression hasa hasa major depression? na kama...
4 Reactions
153 Replies
22K Views
Kuna kijana umri ni 35, anajiweza ana kazi nzuri tuna unasaba nae, leo kaniambia kuwa ana uume mdogo, kiasi anapata hofu kujamiiana na mwanamke. Sasa kaniomba ushauri kama kuna dokta ambae...
4 Reactions
56 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Naomba msaada, nimekuwa nikisumbuliwa na vipele vidogo vidogo katika uume wangu kwa mda ila nilikuwa napata matibabu ya kawaida tu. Sasa mwezi uliopita hali ilikuwa tofauti...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari Wadau, kama wasemavyo mficha maradhi kifo humuumbua, kwa namna moja huenda kuna mtu ashawahi kupitia changamoto kama hii anaweza nipa ushauri? Nilikutana na mwanamke baadae nikasikia hali...
18 Reactions
94 Replies
6K Views
1. Binadamu ana damu ambayo ina seli nyeupe, chembe sahani na sell nyekundu.. hizi seli nyekundu ndio zinabeba oksijeni na kabondayoksaidi na kimiminika chenyewe 2. Seli nyekundu zina protini...
18 Reactions
22 Replies
28K Views
Wadau, naomba mwenye uelewa juu ya utaratibu mzuri wa kula kula matunda anisaidie. Nilishawahi kuambiwa kuwa si vizuri kula matunda mara baada ya kumaliza kula chakula kwani yanasababisha...
1 Reactions
9 Replies
14K Views
Wakuu nina mtoto ana kohoa, anaharisha na mbays zaidi nikimpa dawa anatapika ,hodpitali nimeenda tukapimwa na kulazwa kwa siku moja na nusu then tukaruhusiwa. Lakini bado mtoto anaharisha na...
0 Reactions
11 Replies
878 Views
1. Drink water this morning. Your kidneys will thank you. 2. Eat at least an egg today. Your brain will thank you. 3. Exercise for at least 30 minutes today or take a long walk. Your heart will...
1 Reactions
4 Replies
645 Views
Unafahamu kuwa unashauriwa kula matunda Nusu saa kabla ya kula chakula au mlo kamili, Kula matunda kwa muda huo unaweza saidia mwili wa binadamu kwa njia tofauti. Kula matunda kabla ya chakula...
0 Reactions
0 Replies
986 Views
Profesa Janabi kwenye uzinduzi wa Professor Jay Foundation ametaja dalili za mtu ambaye tayari anaugonjwa wa figo. "Ukiwa na hizi dalili sio za mwanzo tena, tayari wewe umeingia...
32 Reactions
118 Replies
13K Views
Utafiti uligundua kwamba kufichuliwa kwa muda mrefu kwa mwanga mkali wa 'bluu' unaotolewa na simu za mkononi na taa za ofisi zenye taa za LED kunaweza kuwa 'sumu'. Kuwashwa kwa mwili na mwanga wa...
0 Reactions
2 Replies
694 Views
tujadiliane, nini chanzo cha mapaja mekundu?
1 Reactions
8 Replies
791 Views
Ushawah ona mtu ana ulimi halaf karibia koon kuna kaulimi tena kadogo kameota Acha ile ya juu hii ipp kwenye ulimi nimeona binti mmoja anayo anasema inasababisha anakohoa ,kifua kubana na homa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wana Jamii Forum nawasalimu sana wote, wakubwa kwa wadogo. Nina shida ya Afya!. Naombeni msaada; Juzi Jumapili iliyopita, mafua yalinianza na kwa kuwa huwa inanishikaga nikadhani kawaida tu...
0 Reactions
1 Replies
513 Views
Habari Wadau, Tangu nipo Shule nimekuwa nikisikia hoja ya wadau wakisema kuwa, unapiga punyeto mara kwa mara utakumbwa na shida ya kusahau kusiko kwa kawaida. Upi ukweli wa madai haya?
0 Reactions
4 Replies
632 Views
Habari zenu WanaJF: Mwenzenu nimekuja naomba mnisaidie kitu hapa yaan mwaka Juzi mwezi WA Saba nilianza kusumbuliwa na tatizo la macho kuuma tena nikiwa usingizini nikawa na hangaika kama naumia...
2 Reactions
1 Replies
434 Views
Naomba kwa yeyote Ambae anaweza kunisaidia kupata hizo karanga au chakula dawa.
1 Reactions
8 Replies
471 Views
Back
Top Bottom