Habar za mida...wakuu
Kuna kitu mke wangu..amenambia nkajikuta naishiwa nguvu kabisa
Nmeoa na tuna watoto wawili
Wakike na wakiume
Wakiume ana umri wa miezi sita sasa..anaelekea wa saba by...
Ni muda mwingine najitokeza kuomba msaada, ushauli na mawazo kutoka kwa madaktari, wataalamu wa afya au mzoefu wa hili tatizo.
Ni baada ya kufanyiwa upasuaji (operation) ya kuondoa korodani zenye...
Habarini ndugu zangu wa JF, naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo ambalo kwasasa linaninyima radha ya maisha, nilifanya appointment na binti nikiwa vizuri kabsa na kabla ya hapo sikuwa na...
Wakuu habari na poleni na majukumu , nimekuja mbele zenu sababu najua ndani ya jukwaa hili siwezi kosa solution au mawazo positive kuhusiana na changamoto hii ..
Nina mtoto wangu wa kiume ana...
Hivi ni kweli unaweza ukafanya mapenzi bila kutumia kinga na mdada aliye asirika na
Usipate ukimwi??
.
Maana kuna kesi kadha wa kadha zimewahi ripotiwa
Kuhusu waliowah kupata kweli na kundi...
Waungwana nina tatizo linalonikumba kwa takriban miezi sita sasa, nikiwa katika hali ya kutaka kulala yaani zile sekunde za mwanzo kabisa za kusinzia nashtuka kana kwamba kuna mtu anaminitikisa...
Health benefits of eating green bananas
dnaindia.comDec 30, 2023 2:08 PM
Green bananas are rich in resistant starch, a type of fiber that acts similarly to soluble fiber. It aids in digestion...
Kipindi cha baridi, ni muhimu kula matunda ambayo yanasaidia kukuza kinga ya mwili, kukidhi mahitaji ya lishe, na kutoa nishati. Hapa kuna baadhi ya matunda muhimu unayoweza kula wakati wa msimu...
Faida za kushangaza ambazo pengine hukuzijua za kutumia papai
Papai ni tunda la kushangaza na lenye afya. Ina 'antioxidants' ambayo hupunguza kuvimba na kupambana na magonjwa na kusaidia mtu...
Binadamu huhitaji Vitamini D ili kuimarisha kinga ya mwili na afya ya mifupa, kupambana na aina mbalimbali za saratani pamoja na kuboresha usafirishwaji wa taarifa za mfumo wa fahamu na mijongeo...
#VitaminD hupatikana kwenye Vyakula vichache sana vya asili kama Samaki, Maini, Mayai (hasa ya Kienyeji) na Jibini. Pia, Mwanga wa Jua huzalisha Vitamini D ya asili inayosaidia katika vitu...
Oktoba 20 kila mwaka huwa ni siku ya ugonjwa wa kudhoofu kwa mifupa (Osteoporosis).
Ugonjwa huu hufanya mifupa iwe dhaifu, ipungue ujazo wake na iwe kwenye hatari kubwa ya kuvunjika kirahisi...
Ikilinganishwa na pilipili zingine, pilipili za kengele hujulikana kwa kiwango cha juu cha spiciness(viungo).Pilipili za kengele nyekundu huwa ni tamu, kama aina nyingine za manjano na rangi ya...
Mwili wa binadamu huhifadhi joto lake kwenye wastani wa nyuzijoto 37. Mabadiliko madogo yasiyozidi nyuzijoto 1 yanaweza kutokea muda wowote wa siku kutokana na athari mbalimbali za kimwili na...
Haushauriwi kumuacha mtoto mwenye umri mdogo akiwa peke yake kwenye gari huku madirisha yakiwa yamefungwa hasa wakati wa jua kali au baada ya kuendesha gari husika umbali mrefu. Hali inayoitwa...
habarini ndugu zangu
sina tatzo la bawasiri wala sina tatzo la kukosa choo ,ni hali imenitokea hivi karibuni
ipo hivi
nilisafiri kwenda burundi siku 3 kabla ya Christmas.
Ni mara yangu ya...
Mratibu wa Uzazi wa Mpango kutoka Wizara ya Afya, Zuhura Mbuguni ameeleza kuwa jamii inazapozingatia Afya ya Uzazi wa Mpango ni rahisi pia kusaidia ukuaji wa Maendeleo ya Uchumi wa mtu binafsi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.