Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

KWA MAMA MJAMZITO Kwa mwanamke hasa anayependa mimba yake anashauriwa kufanya mazoezi angalau mara mbili kwa siku yaani asubuhi na jioni, kunywa maji mengi ili kupunguza kuvimba miguu na kupata...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Tatizo la ngozi linasumbua sana jamii ya walio wengi kwa rika zote na jinsia zote. Tatizo hili limekuwa likidhibitiwa kwa njia tofauti kwa kila mmoja kulingana na ajuavyo au apewavyo maelekezo na...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
W.H.O SHIRIKA LA AFYA DUNIANI LIMETOA TAKWIMU KUWA MAGONJWA YANAYOONGOZA KWA KUUWA WATU DUNIANI KWA SASA NI BLOOD PRESSURE. 95% CHECK WITH W.H.O OFFICIAL WEBSITE. "LEADING KILLING DISEASE" AMBAYO...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Makala ya leo ni muendelezo wa magonjwa ya moyo ya kuzaliwa nayo, na ugonjwa wa leo hujulikana kama Tundu katika moyo, au Tundu katika kuta za ventrikali za moyo, ni ugonjwa ambao hutokea mara...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu wa jf.... mimi nina swali kuhusu afya yangu....nikiwa kitato cha tano na cha sita miaka kumi iliyopita nilikuwa mwembamba sana kutokana na maisha ya shule lakini nilikuwa na...
0 Reactions
1 Replies
981 Views
Habarini wapendwa,kuna mama jirani yangu anasumbuliwa na ugonjwa wa ajabu,Kuna mda KIFUA KINAPATA MOTO SANA AKIWEKA KITAMBAA CHENYE MAJI BARIDI NACHO KINAPATA MOTO,amejitahd kwenda hospitali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Madaktari mliomo humu tafadhali anagalia hii picha halafu mtujulishe huu ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jaman kwa mwenye kufahamu vzuri kuhusu tatizo hili naomba anieleweshe vizuri sina amani kabisa.msaada jamani!
0 Reactions
3 Replies
995 Views
Ukifuatilia kwa undani zaidi . hata ulimboka alitekwa bar . ma dokta asilimia 90 wanaongelea mishahara, pombe na siasa. na ukichunguza zaidi asilimia 99 ya madokta ni members humu jamii forum ...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
habari zenu,nina tatizo la kutoa harufu na kutoka na utando mweupe sehemu nyeti,nimejitahidi kutumia tiba mbalimbali ila napona hlf baada ya muda hali inajirudia tena.nisaidie sina raha
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF. Jana nilikuwa na rafiki yangu akawa anasema analalamika kuwa anapofanya mapenzi na mwenza wake (mkewe) huwa anapata maumivu sn kwakuwa uume wake ni mkubwa na mkewe njia ni...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Baadhi ya madhara yanayoweza kumpata kiumbe aliye tumboni kwa mama kutokana na unywaji wa pombe kipindi cha ujauzito ni pamoja na: Kutoka/kuharibika kwa mimba Mtoto kuzaliwa akiwa na uzito...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Jumamosi 29/09/2012 nilishtuka kuona mambo ya ajabu nyumbani kwangu, kubwa ni la bint yangu wa miaka 16 ambapo amepatwa na ugonjwa wa kucheka hovyo, sasa imefikia hatua ya kuanguka na kuzirai...
5 Reactions
74 Replies
8K Views
Nimekuwa nikipata maumivu chini ya tumbo la uzazi kila ninapokuwa kwenye danger days. Sijui sababu ila nakumbuka nimeanza kupata maumivu baada ya kujifungua. Hali hii inanipa wakati mgumu sana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau huwa napenda kutumia alozera lakini kutokana na muda wangu kuwa mdogo huwa natengeneza nyingi ambayo huweza kukaa hata siku 5 na siweki kwenye friji nje ya kuwa inaweza kulewesha je kuna...
0 Reactions
12 Replies
19K Views
Stori: Mwandishi Wetu, Songea MTOTO wa ajabu aliyezaliwa hivi karibuni katika Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma, amewasikitisha wengi huku baadhi wakisema hilo ni fundisho kwa wanawake wajawazito...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hello wanajamii. Napenda kuwajulisha kuwa nina uwezo wa kuwasaidia akina dada na akina mama ambao wanapenda kuondoa tatizo la michirizi kwenye ngozi. Ninayo bidhaa nzuri iliyoandaliwa kiasilia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wako watu wengi pamoja na mimi mwenyewe ambao wakitumia dawa ya meno aina ya Whitedent wanatoka vidonda mdomoni vinavyosababisha kikohozi cha mara kwa mara. Idadi ni kubwa sasa imenibidi niwaulize...
0 Reactions
32 Replies
10K Views
Tafadhari aliyesikia hili au anajua anisaidie maana naitaji kujua.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kutokwa na majimaji ukeni na harufu mbaya hata kama unajisafisha kila mara inakuaje yale majimaji yanayo toka yanakua yananuka
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…