Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI duniani kila Mwaka huikumbusha Jamii juu ya mapambano ya kumaliza unyanyapaa kwa Waathirika, mi fursa ya kuwaheshimu wale tuliowapoteza, na wito wa kujitolea kufanya...
Habari ya mudaa huu wakuu, nilishawa kuja kuomba ushauri kuhusiana na tatizo la mwanangu, baadhi ya watu walipa ushauri tukafanya CT SCAN pale benjamini lakini hakuwa na tatizo lolote kwenye...
Habari wakuu,
Tupo tunalea mimba ina week 8 now, but tangu week ya 4 mwenza amekuwa akipata shida ya kutokwa vitone vya damu ukeni.
Inaweza chukua siku mbili isitoke lakini siku ya 3 ikatoka...
Wakuu nawasalimu Kwa jina la Jamuhuri.
Nini kinasababisha kuwa na wasiwasi ya kupita kiasi na je huu ni ugonjwa gani na tiba yake ikoje?
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Kwa kipindi sasa jambo hili la utoaji mimba kiholela limeshamiri na limeanza kuzoeleka na kuonekana la kawaida kabisa mtaani. Utaskia tu mtaani wakiongea, aah pisi fulani kafinya bana, si unaona...
Habari za mda huu wakuu,naomba kuuliza kama mwanaume anaweza kupata PID,na kama ndyo,inakuwa katika mfumo upi,na namna gani,maana wanawake wanapata PID kupitia njia ya tendo la ndoa!
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo ya picha,
Maharage huwa na rangi na aina mbali mbali
Binadamu wanakabiliwa na vitisho vingi, kuanzia mabadiliko ya hali ya hewa, utapiamlo hadi kupanda kwa...
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Miili yetu ina matrilioni ya bakteria ambayo hatuwezi kuishi bila kuwa nayo idadi kubwa ya bakteria hao wakiishi zaidi katika matumbo yetu. Lakini je, tunaharibu...
CHANZO CHA PICHA,NATASHA KERR
Maelezo ya picha,
NATASHA KERR
Serikali ya Uingereza imesema itakutana na maafisa nchini Uturuki kujadili kanuni kuhusu utalii wa kimatibabu na urembo, kufuatia vifo...
Kwa muda wa miezi 3 sasa, jicho langu la upande wa kushoto limepoteza uwezo wake wa kuona kwa 50%. Lilianza kama ukungu, kila nilipofikicha niliendelea kuona kama kuna ukungu. Baada ya kama wiki...
Wakuu
Naomba kuuliza dawa za mzizi mkavu zile za kumrefusha bwana mkubwa zinafanya kazi kweli au ndo wajanja wa town. kuna yeyote aliwahi kutumia akapata matokeo chanya? Kama kweli zinatibu...
Nawasalimu wana JF wote,
Nielekee moja kwa moja kwenye mada mimi nimekuwa nikisumbuliwa kwa muda mrefu na, "social anxiety disorder" na " loss of appetite" niwaombe msaada wenu Kwa hilo...
Pengine mada ilishawahi kujadiliwa siku zilizopita ila naomba Docs. mnifahamishe in simple language madhara ya kitabibu/kiafya ya kula na kuliwa Tigo. Napoangalia 'X' naona kama wanafaidi sana...
Wakuu habari,
Nilipata ushauri kufanya hiko kipimo(EEG TEST) kulingana na kadhia ya mwanangu, naomba kupatiwa jina la hospitali nitakayompeleka kwaajili ya hiko kipimo maana Anayo bima ya...
Ni mfanyakazi mwenzangu imemtokea,ni rijali wa uhakika ila baada ya kukutana na msichana uume umeshindwa kusimama.
Ni mara ya kwanza kumtokea hali hiyo,ushauri wenu ni muhimu.
Habari zenu wana JF,
Mimi ninasumbuliwa na maumivu ya jino kwa muda mrefu sasa,nimevulia kwa muda mrefu tatizo hili japo wengi wananishauri niende kwa doctor nikang'oe jino!
Je, kuna...
Wanajf;
naomba mnisaidie kwa wale wanaofahamu nini madhara ya kula/kutumia sana karanga na korosho? Kwani nimekuwa natumia karanga au korosho zilizokaangwa kila siku. Sasa naomba kwa wale wenye...
Wana JF.
Kuna rafiki yangu ana mtoto mchanga, amekuja nimpatie ushauri na maelezo juu ya swala zima la kubemenda (Sina hakika kama ni neno rasmi).
Hasa ningependa kujua 'mechanism' na njia...