Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Eti WanaJF kuna kijana mwenzangu hapa anapata maumivu wakati wa kumaliza kuSex na Demu wake anasema anapofika Mshindo zile shahawa zikiwa zinapita katika mshipa huwa anahisi kama zinamuunguza...
4 Reactions
11 Replies
932 Views
Wadau wenye utaalam hii presha inamaanisha ipo kawaida au imezidi? N je nini kifanyike kuiweka sawa?
0 Reactions
19 Replies
772 Views
Nimekuwa napata matangazo mengi kwenye simu yangu kuhusu hii feel great again program inayozungumzia kupata unafuu mkubwa wa maradhi ya kisukari na mengine yasiyoambukiza. Kama kuna mwenye ufahamu...
0 Reactions
0 Replies
231 Views
Ni takribani wiki sasa napitia hii changamoto ya kiafya. Upande wa kushoto kifuani(Kwenye moyo) nahisi maumivu hasa baada ya kuvuta hewa. Kuna dalili kama kichefuchefu na uchovu viliambatana...
1 Reactions
6 Replies
431 Views
Kuna watu ambao kwa asili yao wana harufu fulani ya tofauti ambayo kwa mtu mwingine inaweza kuwa ni ya kukera kwa kiasi fulani. Mhusika au wahusika wengi wenye hali hii mara nyingi ni watu...
2 Reactions
10 Replies
497 Views
habari zenu wadau yeyote anayefahamu faida za hizi mambo manake nimeanza kutumia ashagwandha(Mmea unaokua huko india) nilikua natatizo la Depression na anxiety kuna daktari akanishauri nitumie...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Amani iwe kwenu, Nina ndugu yangu amepatwa na tatizo la kuweweseka, kuona vitu visivyo na uhalisia (hallucinations). Kuna muda anakakamaa mwili hadi inapelekea kuanguka kama mgonjwa wa kifafa...
3 Reactions
14 Replies
656 Views
Habari wakuu, Naomba niende kwenye mada, mwanangu ana umri wa miaka minne,juzi ndio tumegundua kuna kinyama kimening'inia kwenye koo (kimeo). Na hili wazo la kumchunguza lilikuja baada ya kuwa...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Je, Mwanaume naweza kuathirika kwa kukosa tendon la ndoa kwa mudamrefu?
1 Reactions
2 Replies
428 Views
Hii video inaongelea madhara ya madawa ya kulevya. Mhandisi wa Mawasiliano Bob Williams. Alijifunza kutumia Crack Cocaine kutoka kwa mchumba wake wa kwanza. Anadai kuwa alitumia dola 50,000 katika...
1 Reactions
0 Replies
346 Views
Kuna vitu wenzetu mnatumia au ndo inatokea tu kama mambo mengine yanavyotokea kwa ntu kwa ntu? Napiga mswaki kama kawaida kwa hizi dawa za kawaida kolgate, whitedent...lakini naona nakoelekea...
10 Reactions
76 Replies
5K Views
Eti wakuu hii kitu inakuwaje au ndo hainaga formula maalum?
1 Reactions
5 Replies
508 Views
TANZANIA NURSING AND MIDWIFERY COUNCIL (TNMC) Kwanza Hongereni sana kwa kazi nzuri mnayofanya ya kuwakumbusha wauguzi na wakunga wajibu wao, nadhani ni vizuri na nyie kama chombo kinachosimamia...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Bila shaka hamjambo na wale mnaoumwa nawatakia afya njema. Baada ya salamu naomba niwasilishe mada muhimu mahususi kwa vijana ambao ni mustakabali wa taifa letu. Tafadhali soma yote itakufaa...
9 Reactions
14 Replies
1K Views
Miaka ya nyuma nikiwa chuo nilikuwa nasumbuliwa na meno kuuma hasa baada ya kutafuna nyama. Pia nilkuwa nikila mua tu naona damu zinatoka kwenye vizi. Muda mwingine hata nimechill maumivu ya...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna aina ya miwasho ambayo ni mikali mno katika sehemu mbali mbali za mwili kwa maana haitibiki kirahisi na inasumbua kwa muda mrefu kweli. Dawa kama predilone na cetrizine wala tube za kujipaka...
0 Reactions
0 Replies
433 Views
Siku ya Afya ya Akili Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 10 Oktoba. Lengo la siku hii ni kuongeza uelewa kuhusu masuala ya afya ya akili, kupunguza unyanyapaa, na kusaidia kutoa msaada kwa...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi nakunywa konyagi ndogo 250 mls kwa siku, tena nakunywa na maji lita moja kwa pamoja. Nakunywa kidogo kidogo kwa masaa matatu kutoka saa moja usiku mpaka saa nne usiku, nachangamka kidogo...
2 Reactions
8 Replies
721 Views
Habari wapenzi! Umri wangu miaka 29 nina tatizo la kukojoa mara kwa mara nyakati za usiku yaani siku nyingine naweza aamka hata mara nne kwenda kukojoa na hii hali ni tangu utotoni. Mama yetu...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari za muda huu wananzengo, bila shaka mko Salama na mnaendelea na shughuli za kujijenga Nilikuwa nataka kufahamu kuhusu huduma hii ya bima ya afya Kwa sisi watu binafsi inapatikanaje. Mwenye...
0 Reactions
6 Replies
621 Views
Back
Top Bottom