Virusi vya homa ya ini vipo vya aina 5 (A, B, C, D,E). Aina mbili za virusi (B Na C) zimetajwa kuwa ndio sababu kuu za ugonjwa wa homa ya ini ambayo husambaa kupitia damu na majimaji ya mwili...
MATATIZO YA AFYA YA AKILI.
-Shirika la Afya Duniani (WHO) linataja kuwa kabla ya janga la COVID19, takriban mtu 1 Kati ya 8 Duniani kote walikumbwa na matatizo ya kiakili, hata hivyo Msaada...
Habari ya leo ndugu zangu, ninatatizo hilo kipindi cha mwaka sasa ilitokea kama viupele vinawasha nikakuna ikawa hivyo nini chanzo au dalili ya nini.
Asanten sana.
Kama ambavyo mtu utaanza kugundua umekuwa mkubwa pale unapoanza kusalimiwa na vijana wadogo basi ndivyo utavyojigundua kwa mabadiliko ya uwezo wako kwenye shoo.
Hali sio tena kama niliyoizoea...
Kwa vile huwezi kupata ukimwi hadi uchubuke wakati wa tendo la ngono, sasa je unaweza kupata ukimwi iwapo uume wako ni mdogo na umekutana na mwanamke mwenye uke mpana? yaani muda wote wewe ni...
Hello
Mwezi ulopita nimetoka kupokea majibu ya kipimo cha HIV kwa njia ya ELISA! Aisee hatari
Kuna vipimo viwili vya HIV
Rapid test
DNA test
Rapid test ndio hivi wanavyopima kwene hospitali...
Jinsi ya kuavoid thinking about negativity all the time!!
Jamani nina ndugu yangu yupo insecured muda wote na most of the times anawaza vitus negative sasa naombeni msaada nifanyaje??
Habari wadau hope mko salama,
Nina kidonda kichwani nilikipata kwenye barbershop nimejaribu kutumia dawa haviishi kinakauka leo kesho tena maji maji naweza Pata msaada wowote.
Ahsante sana
Habari za muda huu wanabodi.
Nimekuwa ni nikisumbuliwa na tatizo la "kiungulia" kwa muda mrefu, nimeenda referral hospital, wakanipima wakanambia ni dalili za awali za ulcers, walinipatia dawa...
Magonjwa ya akili ni matatizo ya ubongo ambayo humfanya mtu kuwa na hisia, fikira na matendo tofauti na yale yanayotarajiwa na jamii na kushindwa kukabiliana na changamoto za maisha.
Magonjwa ya...
Hii ni dawa ya Asili(dawa ya kienyeji)
Mtoto mchanga kama ana mafua au amevuta maji wakati wa kujifungua hivyo akashindwa kupumua.
Fanya kitu kimoja:
Tafuta kondoo, mshikilie huyo kisha...
Habari Wana Jamii Health. Siku Ya Jana Nimejikata Na Wembe Wakati Nikijaribu Kuutupa Ili Usije Dhuru Mtu. Hapa Karibu Kuna Watu Wameathirika, nimejawa na Uwoga Napataje PEP?
Masaa Yanayoyoma...
Watalamu wa hizi kazi msaada tafadhali.
Nimekuwa nikijiuliza swali hili muda mwingi sana ila sipati jibu.
Imekuwa ni kawaida mtu kukatazwa kunywa maziwa pale tu pindi amezapo dawa kwakuwa...
Duniani Kuna magonjwa uku ya hatari. Ambayo mengine hayana majina
Najisikia hali fulani hivi Ambayo na shindwa kuhelewa kama ni ugonjwa au ni maumivu
Yaani kichwani mwangu sijui kama kuna tatizo...
Nimeoa toka 2020,Mimi na mke wangu tumefanya juhudi mbali mbali za kupata mtoto, lakini mpaka sasa imeshindikana. Mke wangu anaingia period kama kawaida japo sio kwa mzunguko ulio rasmi...
Wadau nimekutana na hiki kitu kwamba ni hatari kwa Binadamu yeyote kula vyakula kama Kababu, Suya, vinywaji vya Coca, Nyama ya Kukaanga kwa Mafuta na Mikate yenye Ngano kabla ya kwenda kulala. Je...
Usafi wa uke ni jambo muhimu sana kwa afya ya wanawake. Mambo usiyostahili na unayostahili kufanya ili kutunza afya ya uke
Usiingize kidole ndani ya uke kwa lengo la kujisafisha hiyo huondoa...
Kinyesi cha kawaida huwa na rangi ya hudhurungi (brownish) kutokana na kuwepo kwa kemikali ya 'stercobilinogen' kwenye utumbo. Kinyesi cha watoto wachanga huonekana kahawia-njano au kijani-njano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.