Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Upinzani wa antimicrobial unarejelea uwezo wa vijidudu, kama vile bakteria, virusi, kuvu, na vimelea, kuhimili athari za dawa za antimicrobial. Hii inaweza kufanya matibabu ya kawaida kutofaa, na...
0 Reactions
0 Replies
458 Views
Ni mda sasa wa mwezi 1 yangu tatizo hili linikute nashindwa kabisa kupata hisia Wala kusimamisha uume pale tu ntapoitaji kushiliki tendo. Nimekuja kugundua kuwa ni hofu nilionayo Moyon mwng ndo...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Ndugu zangu naulizia dawa ya vidonda vya mtu aliyeungua na maji ya moto. Ndugu yangu ameungua anatumia dawa ya kupaka inaitwa Silverex ila analalamika maumivu bado ni makali. Halafu ana...
0 Reactions
15 Replies
43K Views
Kuna mtaalamu mmoja anatrend kwenye mitandao akihojiwa na kituo kimoja cha radio na kusema wanaoandika majibu ya malaria kwa mtindo huo ni waongo huku akienda mbali zaidi na kusema waripotiwe...
1 Reactions
3 Replies
590 Views
Nawasalimu kwa upendo mtakatifu Jamani wapendwa nina tatizo kwenye ndoa yangu takribani miezi sita sasa tangu kufunga ndoa mke wangu hajabahatika kushika mimba nimejaribu kufanya tendo la NDOA kwa...
2 Reactions
30 Replies
9K Views
Muuguzi ngazi ya diploma, naombeni maoni yenu wakuu.
1 Reactions
5 Replies
510 Views
Maridhiano yameshindikana juu ya tafsiri sahihi ya dhana ya upungufu wa nguvu za kiume. 1. Wengine husema upungufu wa nguvu za kiume humaanisha mwanaume kuwa na mbegu kidogo kwamba hawezi kuzitoa...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
The Best Fruits and Veggies for Your body. 1 Apples This is obvious, right? Apples are full of fiber and antioxidants that are great for keeping you healthy and fighting illness. 2 Bell Peppers...
2 Reactions
4 Replies
605 Views
Wengi wanataka kulinda ndoa zao, lakini hawajui njia halisi ya kufanya. Hili hapa Suluhisho la kisaikolojia na Afya ya akili katika mahusiano: Msisubiri magomvi ndio muweke vikao vya ndoa, kila...
3 Reactions
37 Replies
998 Views
Kwenye sikio la kati kuna vipuli vitatu (ossicles) ambavyo hupitisha mitetemo ya hewa kutoka sikio la nje hadi sikio la ndani ili kuchakatwa kama sauti. Kipuli cha kwanza ni 'Malleus' mfupa...
0 Reactions
9 Replies
640 Views
Hali ya maambukizi ya ukimwi inatisha, ni ya kasi ya 4G. Wathirika wakuu ni vijana kwa wazee, wanaoedekeza starehe, pombe na ngono zembe. Wazee wanapenda dogodogo na pisi kali, huku vijana...
16 Reactions
74 Replies
5K Views
Milk And Garlic Is A Cure For Asthma, Tuberculosis, Pneumonia, Insomnia, Heart Issues, Cough, Arthritis And More! This food combination sounds really strange we know but, it is worth a try. Many...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wasalaam nyote, Ushiriki wa watu wa afya unahitajika sana hapa. Kutokana wimbi kubwa la pisi kali kuzagaa mitaani, majumbani na sehemu za kula bata, na wimbi la sisi wanaume kutaka kufaidi na...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Dear, Nimekuwa muhanga wa tumbo kujaa gesi kwa muda mrefu, nikatambulishwa bidhaa ya mwani( seaweeds) toka nimeanza kutumia naona mabadiliko makubwa ya; 1.Gesi imekata kabisa 2.Pressure iko...
1 Reactions
1 Replies
865 Views
Green, refreshing and aromatic are the three words that come to our mind when we think of Mint. But this "super herb" is not just restricted to these three words, once you will finish reading this...
1 Reactions
2 Replies
31K Views
Peleni wakubwa zangu kwa majukumu. Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda mrefu sasa kuhusu usalama wa kiafya wa yale mafuta ya kondomu. Watalam wanawaasa watu (wanawake) wasiingize kitu...
19 Reactions
100 Replies
4K Views
Matumizi ya super black dyes kwa ajili ya kupendezesha nywele yamekuwa maarufu sana hivi Sasa kwa Jinsi na Rika zote. Kwa ufupi yafuatayo ni madhara ya kutumia dye hizi ambayo ni vema...
3 Reactions
4 Replies
4K Views
Figo ya nguruwe ambayo ilipandikizwa katika mwili wa Binadamu kwa zaidi ya mwezi mmoja, imefanya kazi kwa ufanisi ikiwa ni hatua ambayo Madaktari wa upasuaji wana matumaini makubwa kwamba siku...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Siku ya jana nimeamka na kukutannina vipele kwenye mapaja na hata sijui vimetokana na nini nimejaribu kuwaza labda ni matokeo ya medisoft repellent lakini nimepaka kwenye mapaja mara mbili tu na...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
SUNDAY HEALTH: Water Balance in Humans Body Dr. Ali A. Mzige Daily News; Sunday,October 28, 2007 @00:03 WATER accounts for about one half to two thirds of an average persons weight. Fat tissue...
2 Reactions
2 Replies
11K Views
Back
Top Bottom