Mara ya mwisho kukutana na binti huyu ni siku yake ya kumi toka ameanza kubleed. Je, dalili hizi kwake inaweza kuwa ni ujauzito? chuchu kuuma, mwili kukosa nguvu,kupoteza hamu ya kula pamoja na...
Wakuu kuna kitu kinanitatiza maana naishi kwa kujistukia sana hasa sehemu za public kama vyooni na kosa uhuru navizia ndio nautoa mkono wa sweta natoa haja afu naurudisha chap.
Hata nikipata demu...
Wadada/wamama wengi wanadai 'covered penis' japo haifai ktk mambo mengine yenye relation na s.e.x,kwenye majambozi (real action) ni 'tamu' zaidi kuliko 'uncovered ones'.Je, hoja hii ina ukweli...
Nimejaribu kutafuta uzi unaongelea sex prombems hapa jukwaani sijapata majibu ya kuridhisho hivyo basi.
Moja kwa moja nigusie mada yenyewe kuna jambo linalitatizo pindi niwapo faragha na mwenza...
My girl friend ananisumbua eti anatamani kunyonywa uchi wake, what is the side effect of that?
Afu mimi nina kinyaaa sana, naweza nikamtapikia! Afu wanawake wakinyonywa wanahisi nini hasa?
It’s a fact that most people in the same room get more bitten from mosquitos than others. It is indeed an interesting fact and it exists, mosquitos tend to prefer some people than others due to...
Wakuu Leo nimeleta mrejesho wa tatizo langu la kukojoa Mara kwa mwara na kupata mkojo Tena kila napomaliza kukojoa baada ya dakika kadhaa nabanwa Tena na mkojo yaan kiufupi mkojo hausishi.
Wakuu...
Matatizo ya kukosa au kupungua hamu ya kujamiana yanatambulika kama tatizo linalojirudia kwa muda mrefu ambapo huathiri mzunguko wa tendo la kujamiana (kusisimka, kufikia kilele, kurudia) na hivyo...
Kwa miaka ya hivi karibuni watu wanaokuwa diagnosed na UTI imeongezeka maradufu. Katika kutafuta sababu nimekuja na sababu tatu ambazo zinazoweza kuchangia.
Wakuu, je wewe unadhani ipi ni sababu...
Wanasayansi kuna kitu wanaita MULTIPLE ORGASMS, kwa wanawake,
Hii ni hali ambapo mwanamke anaweza kufika kileleni Zaid ya Mara moja mfululizo ndani ya muda mfupi! Tafiti zinaonesha wanawake...
Habari zenu wakuu
Katika maisha yangu kwa asilimia kubwa nimeishi/kusoma/kazi kwenye sehemu zenye baridi. Changamoto kubwa ninayoipata ni mwili mzima kutoka kichwani mpaka miguuni kuwasha na/au...
Makala nyingi huzungumzia kuwa ukomo wa ongezeko la uume ni baada ya kipindi kizima cha upevukaji wa mwanaume kutimia
Wataalamu wamekazia kwa kusema, ukubwa wa uume atakaokuwa nao mwanaume baada...
1. Kadiri ya kichwa cha habari.
2. Ni muhimu siku ambazo uke ni mkavu.
3. Hasa baada ya KY Jelly iliyokuwa maarufu kupigwa marufuku.
4. Mchango wako ni muhimu.
NOTE:
1. Ahsante kwa hekima na...
Kwa nini hua vinapenda kusumbua usiku ukiwa umelala ni mara chache sana kukuta jino likiuma mchana au sikio ata funza akikuingia kwenye mwili hua anawasha usiku wala si mchana kipindi cha utoto...
Kwa nini nafasi za kiharusi ni nyingi katika bafu
VIPIGO huwa vingi kwenye bafu kwa sababu tunapoanza kuoga, tunaloweka kichwa na nywele kwanza, ambayo ni njia mbaya.
Kwa njia hii, ikiwa...
Salamu!
kuna ndugu yangu yangu ana tatizo la pingili ya mgongo. Kwa mujibu ya vipimo ni kuwa pingili mbili za mgongo zimepandana (Maelezo ya Daktari baada ya kusoma matokeo ya MRI (Benjamin...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.