Ni sehemu kibao kwa watu tusiojuana hudhania mimi ni kijana mdogo wa miaka 25 kumbe ni mtu mzima nina 33 mwakani mapema tu naingia 34.
Mwili, Ngozi na sura bado vinawachanganya wengi kuhitimisha...
Kwa mfutiliaji na mtu anayejua kiasi sayansi atagundua kuwa hii mimea yote ni jamii ya legumes!
Jamii hii ya mimea ina sifa ya kuweza kugeuza hewa ya Nitrogen kupitia mizizi yake.
Nitrogen...
Hii shida ninayo sana ya usingizi ulioptiliza.
Kila nikipanda gari, daladala hata safari fupi lazima nilale fofofoo. Shida hii imepelekea kupitilizwa vituo sometimes.
Je, hili tatizo dawa yake nini?
A serious liver infection caused by the hepatitis B virus that's easily preventable by a vaccine. This disease is most commonly spread by exposure to infected bodily fluids.
Symptoms are variable...
SWALI langu ni moja tu: Je, kufanya ngono mara kwa mara kunadhoofisha mwili? najua humu JF kuna wataalamu wa afya wa viwango mbalimbali. Naombeni mnisaidie hapo kwa kunijibu kisayansi maana naskia...
Habarini za asubuhi wakuu,
Mimi nasumbuliwa na Macho. Nilianza kuvaa miwani tangu 2008. Na huwa kila mwaka au miaka 2, napima na kupewa miwani mingine. Sasa mwaka huu, macho yakanisumbua...
Natumaini mnaendelea salama ndugu zangu.
Rejea somo tajwa hapo juu
Kumekua na tabia ya kunyonyana ndimi na kunyonya nyonya maeneo mbali mbali ya wapenzi wetu pamoja na kumpa mic mwanamke arapu...
Siku hii inalenga kuongeza uelewa kuhusu umuhimu wa ganzi katika matibabu. Pia kuwawezesha watoa huduma za ganzi Duniani kusherehekea taaluma yao.
Kaulimbiu ya siku hii pia inalenga kuongeza...
Nawasalimu nyote kwa nguvu za huyo atiaye uhai.
Kwa mtanzania wa kawaida asiye na bima ndan ya dar wapi pa uhakika kupima vipimo tajwa hapo juu kwa wakat mmoja?
Bajet yake ni sh ngap?
Mwenye mzaha...
Lishe bora kwa mama anayenyonyesha ni muhimu ili:
Kuwa na afya bora kwani humpatia virutubishi vya kutosha kutokana na ongezeko la mahitaji ya virutubishi wakati wa unyonyeshaji
Kuhuwezesha mwili...
Niende kwenye hoja.
Sijui ni ugonjwa gani huu, mapele na yakipasuka yanageuka madonda. Watoto wanawashwa na akijikuna anazidisha maambukizi na madonda huwa makubwa na kwa dalili ilivo inaonekana...
Habari zenu wana jamvi!! Moja kwa moja kama mada inavyojieleza, kuna mtoto wa miaka miwili hivi sasa ila bado chakula kwake ni kama anapigana vita hadi akabwe na mama yake ndo anyweshwe uji ila...
Habari za majukumu wana Jf.
Moja kwa moja niende kwenye dhumuni.
Rafiki yangu amepatwa na hali ambayo kwangu Mimi ni ya kushangaza lakini pia inaogofya kidogo. Amekuwa akitokwa na aina fulani ya...
Habarini wapendwa Doctors na wakemia,
Napenda kujua je inawezekana kumfanyia DNA mtoto ambae babaake ameshafariki ili kujua ni kweli aliekufa ni baba halisi pindi mtoto anapoletwa na mama ambae...
Ndugu zangu mimi na sumbuliwa na matatizo ya tumbo langu alihumi apana
Bali kuna kipindi na sikia maumivu kama nachanwa na kitu tumboni
Napia na jamba saana na migurumo tumboni na nina sikia miguu...
Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu.
1. Hulinda mwili dhidi ya magonjwa ya moyo.
2. Huongeza ukakamavu wa mifupa.
3. Hupunguza msongo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.