Wakuu, heri ya mwaka mpya 2019
Kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu "Viagra" naomba anisaidie kwa kunipatia maelezo yake mafupi. Matumizi yake, faida na hasara zake pamoja na zinakopatikana...
Ndugu wana JF mada tajwa hapo juu inahusika, mtoto wangu ana zaidi ya mwaka sasa lakini hawezi kutambaa wala kutembea mwenyewe, alipotimiza mwaka mmoja kamili nilimpeleka hospitali ya rufaa...
Habari zenu, huenda ikawa hili jambo nalipitia mimi peke yangu au hata labda kwa wengine lakini wameshindwa kuliexpose public. Kuna aina fulani ya hali ambayo vinyama ktk sehemu za mwili (sehemu...
Wanajamii Forum habari
Mguu wangu umeteguka naombeni ushauri nitumie dawa gani kama huduma ya kwanza, manaake nahisi maumivu makali sana nashindwa hata kukanyaga chini.
Msaada wenu ndgu zangu
Habari zenu WanaJF, Nnateseka sana na hii kitu (KIFAFA) Juzi Nimeanguka hadi nmevunja jino na kutoka Jino kabisa, Nshazunguka Sana Bila Suluhisho kama kuna mwenye kufahamu tiba anijuze Tafadhali...
Aisee jana mida ya saa 7 usiku niliumwa tumbo la kuvuruga nikaenda chooni kupush naiikaanza choo ngumu hapo tumbo linauma sana baadae nikaanza kuharisha huku tumbo inauma sana je nitumie dawa gani...
Ndugu zangu ndani ya JF habari zenu.
Mimi nina matatizo ya vipele mwisho wa nywele za kichwani upande wa kisogoni ambavyo vinatokana na kunyoa.
Nimepata ushauri kwa madaktari mbalimbali juu ya...
Wakati wanawake walio wengi wanaamini kukandwa maji ya moto baada ya kujifungua ni tiba, wataalamu wa afya ya uzazi wanaonya kuwa kufanya hivyo kuna madhara zaidi ikilinganishwa na faida ambazo...
Nimecopy comment ya mdau kama ilivyo kutoka hapahapa Jamii Forums.
Moral of story: naomba mwenye kufahamu suluhisho serious la kumaliza kabisa tatizo hili. Asanteni sana
"Likely una sleep...
Wataalamu wanasema kuwa wanawake wenye umri kati ya miaka 25 na 50 ndio huathirika zaidi na saratani ya matiti, na kiwango cha vifo ni kikubwa kutokana na kutobainika mapema dalili za saratani...
E bwana kwema wakuu? Nna week ya pili inaenda hii nimepata fangasi /weupe kwenye ulimi sasa nilienda pharmacy nikaambiwa nI fangas ila hakuna maumivu yyte wakuu nkapewa dawa ya Miconazole...
Kwa mwenye ufahamu kuna hali imenikuta baada ya kutumia dawa za maumivu za dawa tatu.
Nikipapasa kichwani nahisi ngozi ina manundu manundu na hali kama ya kufa gazi hivi licha ya kwamba sihisi...
Mwezi wa Uhamasishaji kuhusu Saratani ya Matiti Duniani hutumika kuongeza uelewa kuhusu Saratani ya Matiti, Kuhamasisha Uchunguzi wa Mapema, Kutoa Msaada kwa wale wanaoathiriwa na Ugonjwa huo, na...
Ni sayansi ambayo ina tibu uti wa mgongo kwaku-focus kwenye ufanyaji sahihi wa kazi wa uti wa mgongo wenywe, nyonga, mpangilio wa pingili za uti wa mgongo (Alignment) na athari zake kwenye...
WanaJF ambao mmeshawahi kutumia vidonge hivyo, naomba kujua kutoka kwenu kwa maslahi ya wengi kama ni kweli unaweza kuchelewa kwa kutumia hizo.
Pili, haina madhara kwa afya?
Nilisikia tu kutoka...
Habari wanajamvi jamani hivi inawezekana mama mjamzito wa miezi minne kutokwa na damu? Na kama ndio inatokana na nini?
Msaada please
=========
Similar Cases
Mjamzito anatokwa na damu. Rangi ni...
Idadi hiyo ni kwa mujibu wa Wizara ya Afya ambapo kwa Dunia Vifo vimepita Milioni 20 huku Magonjwa ya Moyo yakiripotiwa kuongezeka kwa 9% kutoka 1% ya mwaka 1980. Pia, imebainika kila kwenye Watu...
Habari za wakati huu,
Bila kupoteza naomba mnipe ushauri either wa kitabibu au vyovyote.
ni mieza kadhaa imepita tangu hili tatizo nianze kuliona.
Nimekua nkishiriki mapenzi na mwanamke lakn...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.