Habari zenu, natumaini wote ni wazima. Ninaomba mawazo yenu juu ya swala langu.
Mwishoni mwa mwezi wa name nilianza kupata vipele mfano wa malengelenge katikati ya vidole vya miguuni, upele...
Habari zenu ndugu zangu wanaJF!
Hapa nina tiba maridhawa na suruhisho kwa wale wanaosumbuliwa na maumivu ya kiuno.
Dawa hii ni mchanganyiko wa mimea miwili tu ambayo ni dhahiri ukiitumia...
Nina imani kuna tiba mbadala ya kansa ambazo mgonjwa anaweza kupata nafuu au kupona kabisa, naomba mwana jamii yeyote anayejua au mwenye ushuhuda anielekeze, pamoja na hizo bado tunaendelea...
Habari wakuu,naomba nisiwachoshe.
Hivi maziwa ya mama nanaweza kuathiri ufanisi/utendaji kazi wa dawa kwa mtoto? Yaani kama tunavoshauriwa kuwa hutakiwi kunywa maziwa pale tu punde umalizapo...
Wakati mzuri wa kusafiri kwa mjamzito ni vizuri kusafiri katikati ya ujauzito (kuanzia wiki 14 ya ujauzito hadi wiki 28). Kwasababu katika wiki hizi, nguvu zilizopotea wakati mimba ikiwa changa...
Natumai nyote mko poa.
Mke wangu kawa mjamzito yapata wiki 3 mimi na yeye tunavutana akidai ujauzito umekimbilia kifuani na ipo dawa ma mkwe anataka alete ivaliwe kuzunguka kifua km ilizi vile et...
Nimekuwa nataabika na tatizo hili kwa muda Sasa... Kila nikitoka kuoga basi dakika kumi nitakuwa nawashwa sehemu mbali mbali za mwili tena katika hali ya kukera kabisa.. hii husababishwa na nini
Limao inaweza kusaidia katika juhudi za kupunguza uzito, lakini sio kama suluhisho la pekee. Hapa kuna jinsi limao inavyoweza kusaidia:
1. Kuongeza Ushawishi wa Kuchukua Maji: Kunywa glasi ya...
Babu yangu is now 90+, alipataga stroke lakini aliwahiwa ikapona kabisa sahiv anakata majani analisha ng'ombe zake mzima kabisa.
Kwasababu ya umri tu, masikio yana shida lakn ukiongea kwa sauti...
Wakuu natumai mko salama, poleni na heka heka za umeme.
Nimekuwa na tatizo la kutenguka kwa bega kwa zaid ya miaka 15, yan dislocation ya kwanza nlipata around 2005 baada ya hapo nimekuwa...
Hivi vidonge vya viagra,ukimeza na ukataka kuviua nguvu mwilini unatumia nini, nilikuwa na mechi ya ugenini leo,sindio nikameza vya gram50, aisee ni headache na kizunguzungu,nyuchi zitatuua wallah
Habarini wana JamiiForums?
Nahitaji msaada wa kimawazo nilikuwa natembea siku moja usiku ghafla kifua kikabana na nikahisi kuchoka.
Kesho yake hali iliendelea uchovu sana, mabega kuuma na...
Hizi ni dalili za ugonjwa wa uti wa mgongo:
1 Maumivu mkali ya mgongo
2 Maumivu makali sehemu ya kiuno (Nyongo)
3 Maumivu ya kichwa yasiyoacha
4 Maumivu ya shingo na mabega
5 Vichomi sehemu ya...
Habari, wakati tunaendelea kuchambua mkataba DP tuendelee na haya.
Mimi kipara kilianza nitokea mdogo, nikiwa na miaka 20 hivi nilianza ona dalili hizo. Niseme tu ni kitu ambacho kimenichukua...
Pemphigus Vulgaris
Nina ndugu yangu ana tatizo la ngozi kutoka malengelenge,tumetumia dawa nyingi lakini mafanikio ni madogo.
Nomba kama kuna mtu alishakutana na mgonjwa wa hii hali na kutibiwa...
Habari za masiku tele wakuu
Kwanza nashukuru kukutana na wadau tele humu JF kwa kuwa nilitoka kitambo sana na sasa nimerudi.
Mada husika
Ukwaju na kitambi ni vitu haviendani kabisa,nimeanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.